Swali la kujiuliza ni moja Tu
Je Ben saa nane alikuwa na madhara makubwa Kwa serikali?
Je beni saa nane angeweza kupindua utawala wa magufuli?
Je Ben saa nane alikuwa na madhara yoyote Kwa Rais Personal?
Kwani Tundu Lissu alikuwa na uwezo wa yote haya☝🏻☝🏻?
Alikuwa na madhara gani kwa serikali? Kwa Magufuli mwenyewe personal? Alikuwa na uwezo wa kupindua serikali..?
Majibu ya maswali yako yote hayo yako kwenye jibu la swali hili👇🏻 kama utaitendea haki nafsi yako mwenyewe kwa kulitolea jibu sahihi...
Tell us.
Why do you think Mr. Magufuli wanted Tundu Lissu to be brutally killed in that way...?
Au na wewe utarudi kulekule kuuliza, "una ushahidi kuwa Magufuli alitaka kumuua Tundu Lissu..?"
Ukiuliza swali hilo☝🏻, moja kwa moja nitakujua wewe ni mtu wa namna gani...
Katika kipengere hiki nakuachia swali muhimu hili👇🏻👇🏻
Hivi wewe kwa akili zako unadhani shetani huwa na sababu zozote za maana na za msingi anapokutafuta akuangamize/akupoteze/akuue..?
All I can say, maswali yako yote haya ni inconsequential & illogical...!
If not then Magu hawez kumuua Kwa kumpiga risasi trust me
No body with perfect mind can trust yo...
Kama hakumuua kwa "kumpiga risasi", then tell us, how he killed him? Alimpa sumu? Alimnyonga? Alimkaanga kwenye tindikali? How...??
Vyovyote iwavyo, Ben Sanane hayupo, if he's truly dead, it doesn't matter alimuua kwa njia gani. Ukweli ni mmoja tu ALIMUUA...!!
Kabendera ana history mbovu na magufuli so anaweza kusema anything
Eleza, fafanua...
Ni historia gani mbaya aliyonayo na huyo aliyeitwa John P. Magufuli...?
Au hujui kuwa Erick Kabendera ni mmojawapo wa victims wa utawala wa kikatili wa Magufuli..?
Hujui kuwa naye aliponeaga chupuchupu kuuwawa na huyo bwana...?
Ila nitakuwa wa mwisho kuamini magu alimshoot Ben saa nane
Bora ubaki huamini kuliko kujenga hoja dhaifu na mfu kutetea kutoamini kwako...!!