Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Kuna mtu ana swali tena? Mkuu umemaliza kila kitu, aliyeonewa aende Mahakamani.
 
Ukimpeleka mahakamani atawataja, mpeleke sasa
 
Hatuwezi kuvumilia uongo na ulipizaji visasi na kuzusha madai bila ushahidi. Kesho, ataibuka mwingine na utopolo kama huu. Sheria iko wazi kuwa anayedai lazima athibitishe. Ni rahisi na wazi hivyo mwanangu.
Akathibitishie wapi, maana vyombo vya kimamlaka ndio sehemu ya huo uovu.
 
Huna hoja zaidi ya kufanyakile kile unachoshauri wenzako wasifanye. Mwache Kabendera ajitetee mwenywe kw akuleta ushahidi. Vinginevyo unatupotezea muda au kutafuta kiki tu. kwa kuanzisha uzi huu
Mpeleke Kabendera mahakamani ili alete ushahidi kama hamjavuliwa nguo!
 
Ukimpeleka mahakamani atawataja, mpeleke sasa
Kama wewe hajakutaja wala kukutuhumu una locus standi gani ya kumpeleka mahakamani huyo Kabendera?

To bring a suit you have to at least meet the minimal constitutional standing requirement.

Huwezi kumburuza mtu yeyote tu mahakamani kiholela.
 
Ni kweli siwezi elewa na hata sheria sijui, lakini ninachofahamu tuhuma zozote lazima ziwe na ushahidi, je ushahidi wenu wewe na kabendera juu ya tuhuma hizi ni upi?

NB:sitaki maelezo matupu


Mimi si mwanasheria ila kwa kesi kama hii ambapo mlalamikaji na mtuhumiwa wote hawako hai, ushahidi utakaotumiwa ni ushahidi wa kimazingira. Hivyo wale wote waliokuwa pamoja katika eneo la tukio wataitwa kutoa ushahidi.
 
Kama wewe hajakutaja wala kukutuhumu una locus standi gani ya kumpeleka mahakamani huyo Kabendera?

To bring a suit you have to at least meet the minimal constitutional standing requirement.

Huwezi kumburuza mtu yeyote tu mahakamani kiholela.
Si amechafua SHUJAA wako? Anzia hapo
 
Huu unaopewa ni upande wa pili wa Magufuli, na ni ukweli mtupu. Usitake kuonyesha kuwa alikuwa na upande mmoja tu.
 
Huyo aliyetaka kubakwa ana mume ni kweli, kwani yeye ni mke wa ngapi kwa huyo mume? Je alitaka kumbaka mbele ya huyo mume wake?
 
Naanza kuamini huyu mzee wali mfix au ali be dealt with au taken care na watu wenye akili.
 
Kabendera kasema kabisa kuna watu walimpigia simu na wanafahamika. Tuchukulie hajauliwa na Magufuli, yuko wapo hadi sasa?
 
If yes what you will do?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…