Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Alizungumza na Samia pia miongoni mwa hao watu 250 ?
 
Mtu akiwa kiongiozi ataandikwa tu.

Watu wanataka kujifunza kutoka maisha yake.

Kama hakutaki kuandikwa asingechagua kuwa kiongozi.
Alizungumza na Samia pia miongoni mwa hao watu 250 ?
Kamuulize mwenyewe, mimi sijui.

Kama mnaona kasema uongo, mshitakini mahakamani mpate ukweli.
 
Kama mtu anamiliki silaha (bastola) anaweza kuitumia wakati wowote... na sababu zinaweza kuwa hizi
1: Kujilinda
2: uzembe ambao unaweza kuwa bahati mbaya.
3:Hasira za kupitiliza.

Kuliwahi kutokea kiongozi mmoja alimpiga risasi dereva wa daladala kwa sababu alifunga kioo cha mlango na kukataa kuzungumza nae,,,kiongozi alipandwa na hasira kuona amedharauliwa na ilidaiwa kwamba alimpiga risasi kwa bahati mbaya.
 
H
kwamba Magufuli katika uhai wake akiwa shule alikuwa na tatizo la kuvuta bangi, na tunajua ukivuta bangi mara moja inaweza kukaa kichwani kwa miaka 12, na hatujui alivuta bangi mara ngapi
Hapo ndio unapoweza ukaambiwa unamshambulia hayati.

Nimejaribu tu kufikiria kidogo
 
Je Ben saa nane alikuwa na madhara makubwa Kwa serikali?
Hiyo nayo inaweza isiwe hoja ya msingi sana kwa mtu anaetaka kudhuru.
Mtu mwingine hatakitu mtu mwenye mtazamo tofauti. Zingatia neno MTU MWINGINE
 
Nadhani atakua ni bwana Dito...
 
nigga pleasee, Magufuli ampige mtu risasi live tena ikulu halafu ndio ije kujulikana leo? maadui wote hao wasiseme tu? come on man, you are better than that …
Nani kasema imejulikana leo? Sema wewe ndo umejua leo. Mie taarifa hizi nilizipatq since 2020 tena magufuli akiwa hai
 
Kwa hiyo unaweza ukazusha chochote tu ili mradi unakiweka kwenye kitabu eh?

You’re babbling.
 
Nimemsikiliza huyu bwana mdogo kwa makini sana, lakini sijafanikiwa kufika mahali nikamuona kwamba he’s truthful and unbiased. Maelezo yake yanazua maswali mengi kuliko majibu. Kwa mfano:
(1) katika maelezo yake hakuna anapoonesha wazi kwamba Ben alikuwa threat kubwa sana kwa JPM kiasi cha yeye JPM kuchukua uamuzi kumpiga risasi kwa mkono wake mwenyewe. If anything, Kabendera alikuwa a much bigger threat kwa urais wa JPM, lakini aliishia kusota jela tu. Ben aliwahi kuhoji PhD ya JPM. Why and how was that more painful to JPM than any other criticisms?
(2) anasema mwili wa Ben uliokotwa mahali fulani na kupelekwa hospital fulani. As far as I know, members wa familia ya Ben hawakuwahi kuchukua mwili wa Ben na kwenda kuuzika. Kitu gani kilizuia familia ya Ben kutambua mwili wa mpendwa wao na kwenda kuuzika? I am sure familia yake ilimtafuta everywhere!
 
Kwa hiyo unaweza ukazusha chochote tu ili mradi unakiweka kwenye kitabu eh?

You’re babbling.
Wewe ndio una mtazamo wa kwamba amezusha, ambapo kumfikiria nguli wa uandishi kama Kabendera anaweza kuwa unprofessional na kuandika kitabu chenye maudhui ya kuzusha ni kuwa na akili ya kutafakari mambo iliyo chini ya socially acceptable level. Mtu kama Kabendera akiandika kitu, you first give him the benefit of the doubt kwa sababu yeye ni professional journalist. Usikimbilie kuropoka kwamba amezusha na afunguliwe mashitaka kama ulivyofanya. Huko ni kuwa na impulsive reaction na ni udhaifu mbaya kwa mwanaume hasa alie na exposure kama wewe.

Sasa soma maelezo yake ya mchakato wa kufikia kubaki na kile kilichomo kwenye kitabu uone ni vipi ulikuwa na kiherehere cha kusema ameongea vitu vya uzushi.

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4QpdGYaV7b42UJjx
 
The guy has an axe to grind against Magufuli. He is jaundiced.

You think he can be objective?

All of his allegations are far-fetched.
 
Nope. No one is above calumny.

I’m not going to give him the benefit of the doubt when I know for a fact he is jaundiced.
 
Ndiyo maana unatakiwa kusoma kitabu.

Points zako.

1.Una assume kuwa Magufuli was sane and able to asses risks accurately and dismiss things accordingly. Kabendera na watu wengi kama Dr. Diallo wamesema Magufuli alikuwa na matatizo ya akili, na file lake lipo Mirembe Hospital. Kabendera anasema hakuwa na uwezo wa ku asses risks accurately kama unavyofikiri mtu anatakiwa kuwa kwenye assumptions zako.

2. Mwili kuwa hospitali haimaanishi ni lazima familia wajue. After all tumeambiwa mwili ulitupwa mto Rufiji, hatujui timeline.

All in all, kama mnaona Kabendera kasema uongo, mshitakini aende mahakamani tujue ukweli unaosemwa chini ya kiapo
 
Aweke ushahidi upi unaotaka?au unafikiri alijisnap wkt wa tukio auau0
 
Wewe hukumfahamu Magufuli. Kilichomuudhi Magufuli zaidi ni Ben Saanane kusema PhD ya Magufuli ilikuwa fake ya kubangua korosho tu, na kwamba hakuifanya mwenye alifanyiwa na watu kwa sababu hakuwa na uwezo wa kuandika thesis, yaani kimsingi, Magufuli aliona kaitwa kilaza na amedesa!

Hilo kwa Magufuli lilikuwa kosa la kuua mtu! Labda kulikuwaa na ukweli ndio maana alikasirika sana - Prof. Mwandosya aliuliza, hawa mawaziri wanaojipatia PhD wakiwa kazini wanapata wapi muda wa kufanya utafiti na kuandika PhD zao? Kumbuka, mtu kama Sokoine, ili pte Masters degree, ilibidi aombe kukaa nje ya uongozi kwa miaka miwili

Sasa nataka ujue kwamba wengi wa mawaziri wenye Masters na PhD wakati wakiwa mawaziri, wanawalipa watu kuwafanyia research na kuwaandikia PhD zao, na hilo watu kama kina Mwandosya wanalifahamu, na kuna Maprofessor njaa wanakubali kutumika kama ma-supervisors. Magufuli ni wazi alikuwa na PhD ya hivyo na Ben Saanane alipomsema akawa ame-sign kifo chake
 
Huyu Kabendera na kitabu chake ataaminiwa na wale ambao hawajawai, kumuelewa HAYATI MAGUFURI,
Kifupi Kaandika Uharo mtupu!! habari zote ni Hearsays,
Kuna sehemu kaongelea mtoto Waagufuri, Sasa unajiuliza yule mtoto kafariki Magufuri kaandikaa pumbs tupu humo,
Hiki ni kitabu Cha wakuja Ngumi😂😂😂
 
Hili ndilo lilitokea kwa Makonda. Marekani inasema Makonda anaua watu, serikali haijibu wala kukohoa. Sasa watu wanafikiri Makonda aliua watu bila kuambiwa na Magufuli waue?
Wajiulize kuweweseka kwa Bashite mara maaskofu kumuombea, mara mashehe na wachungaji na hata akiona watu wanaimba tenzi za rohoni anaangua kilio hadharani ni nini kama sio makosa makubwa aliyo wahi kutenda na roho inateseka!
Mambo haya yalisemwa sana na yanajulikana kwa wengi kabla hata Kabendera hajaandika.
Watu wanafahamu hata mtindo wa maisha wa Jiwe na family yake tokea akiwa Nyanza, ubunge hadi uwaziri watashindwa kujua nafasi ya juu ambayo hata ukienda washroom wanajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…