Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

So wewe ndo ulikuwa unamfahamu Magufuli?
 
Na pia Kabendera ni mwandishi nguri wa habari za uchunguzi
 
Mambo yakiswahili bwana 😂 kaambiwa na aliemuambia Hana uhakika
Nasikia huko mjini watu wasema 😂😂
 
Na pia Kabendera ni mwandishi nguri wa habari za uchunguzi
Kwa hiyo hawezi kudanganya? Hawezi kuongeza chumvi?

Kila anachokiandika yeye ni gospel truth?

Classic example of confirmation bias!
 
Utawala wa Magu ulikua hovyo sana, waliojipata walipata tabu sana.

Alikua task force ya kukamata matajiri kwenye miji midogo na kuwakaba koo waseme mali wamezipata wapi.
Sijui kwanini alikua anafanya hivyo...
 
Nope. No one is above calumny.

I’m not going to give him the benefit of the doubt when I know for a fact he is jaundiced.
Sure, jut like we ignore Palestinians narratives Vs Israel, and Israel narratives Vs Nazi Germans, because of the same thinking, jaundiced people!
 
Kajifunze kuandika kwanza ndio urudi ukosoe
 
Anayeamini huo ujinga wa kabendera ni kichaa na anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa milembe Dodoma.
Kichaa utakuwa wewe, andika cha kwako utuambie aliko Ben Sanane na Azory Gwanda. Huyu ni mwandishi intenatinationaly hawezi kuzusha habari kama hii bila kufikiria career yake.
 
Mmmh!!!, Moyo wangu pa!!,baada yakusoma hii comment mwishoni, duh!!!
 
Basi mfungulieni mashitaka kabendera,kwa kutoa tuhuma hizo nzito,na zenye kutia taharuki kwenye jamii.
 
Daa! Mambo ni mazito kwelikweli. Inahuzunisha sana😢
 
Mgonjwa wa akili anayesubiri mpaka awe Rais ndipo amfumue mtu kwa risasi kweli ni mgonjwa wa akili? Kweli Bongo tuna shida!

Familia ya Ben isijue lakini Kabendera pekee yake ndiye ajue?

Huyu bwana mdogo kaandika kitabu kwa style ile ile wanayotumia kwenye magazeti ya udaku ili auze kitabu!

Umeng’ang’ana watu wanamuona Kabendera ni muongo wamshitaki, unataka JPM afufuke ili amshitaki? Ameshindwa kutaja watu walio hai kwenye kitabu chake, ambao wangeweza kumpeleka mahakamani. Isitoshe anayasema haya huku akiwa uhamishoni!
 
Ukisema hivyo, obviously, mtu wa aina hiyo lazima awe mgonjwa wa akili. Shida iko hapa: je, katika umri wake wa 60+ years, hiyo criticism ndiyo ilikuwa more painful kwake kuliko nyingine yoyote aliyopata kupewa? Halafu ni mgonjwa gani wa akili anayesubiri mpaka awe Rais ndipo agadhabike na kuua mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…