Wew malaika tulitegemea umpingeUmeandika ujinga wa kiwango Cha PhD. Walewale wajinga kama akina kabendera. Nilitegemea uweke ushahidi hapo kumbe porojo za kijinga tu. Nyie mashetani kama wewe Huwa mnazaliwa wapi na akina nani? Shetani mkubwa na ujinga wako kufa haraka tupunguze mashetani nchini.
Si useme tu ni uongo hajauwawandio kauwawa ila aliyemuua sijui
Aliye mshoot ni nani?? Maandishi na ushahidi wakabendera upingwe kwa maandishi na ushahidi VILEVILE,,,,,kwanza kaka unataka kuniambia jeshi lilishindwa kujua aliyemuua Ben saa8??? Kuna mazingira mengi ya ayosaport maandishi ya BenSwali la kujiuliza ni moja Tu
Je Ben saa nane alikuwa na madhara makubwa Kwa serikali?
Je beni saa nane angeweza kupindua utawala wa magufuli?
Je Ben saa nane alikuwa na madhara yoyote Kwa Rais Personal?
If not then Magu hawez kumuua Kwa kumpiga risasi trust me
Kabendera ana history mbovu na magufuli so anaweza kusema anything
Ila nitakuwa wa mwisho kuamini magu alimshoot Ben saa nane
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
Kama Kabendera alivyosema, alichoandika kina ushahidi kamili na ameruhusiwa kukiandika baada ya ushahidi uliopo kupitiwa na manguli wa sheria, kama anavyojieleza kuhusu hiki kitabu katika link hii hapa chini
- ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
- kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
- Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
- kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
- kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
- kwamba Magufuli alikuwa na chuki kali na vandetta dhidi ya Ben Saanane zaidi ya kukosolewa uongozi, pale Ben Saanae alipokuwa akisema Magufuli alikuwa na PhD fake ya kubangua korosho - ikumbukwe kuna waziri maarufu mstaafu na professor aliuliza hawa mawaziri wanapata wapi muda wa kufanya PhD wakiwa kazini? Ni wazi wanawalipa supervisors au watu wengine wawafanyie PhD
- kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastola akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastola mkononi. Kuua mtu kwa bastola ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
- kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; huyu ni Magufuli alifiwa mtoto katika mazingira yenye utata na ikasemwa alikufa kwa malaria, tetesi zikisema alimpiga hadi kumuua; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
- kwamba Magufuli katika uhai wake akiwa shule alikuwa na tatizo la kuvuta bangi, na tunajua ukivuta bangi mara moja inaweza kukaa kichwani kwa miaka 12, na hatujui alivuta bangi mara ngapi
- kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
- kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4QpdGYaV7b42UJjx
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
Aliye mshoot ni nani?? Maandishi na ushahidi wakabendera upingwe kwa maandishi na ushahidi VILEVILE,,,,,kwanza kaka unataka kuniambia jeshi lilishindwa kujua aliyemuua Ben saa8??? Kuna mazingira mengi ya ayosaport maandishi ya Ben
Ukipajua Ikulu hapo hakunaga swali loloteAkina johnthebaptist waje hapa kujibu maseali haya magumu badala ya kuandika kwa hisia zao.
Ebu angalia Mama Janet alivyonenepa baada ya kufiwa na mumewe ,inaonyesha alikuwa na msongo wa mawazo sana.kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; huyu ni Magufuli alifiwa mtoto katika mazingira yenye utata na ikasemwa alikufa kwa malaria, tetesi zikisema alimpiga hadi kumuua; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
Sijawahi kuwa na mashaka na ujumbe wa Kabendera kupitia kitabu chake kitakatifu.Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
Kama Kabendera alivyosema, alichoandika kina ushahidi kamili na ameruhusiwa kukiandika baada ya ushahidi uliopo kupitiwa na manguli wa sheria, kama anavyojieleza kuhusu hiki kitabu katika link hii hapa chini
- ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
- kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
- Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
- kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
- kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
- kwamba Magufuli alikuwa na chuki kali na vandetta dhidi ya Ben Saanane zaidi ya kukosolewa uongozi, pale Ben Saanae alipokuwa akisema Magufuli alikuwa na PhD fake ya kubangua korosho - ikumbukwe kuna waziri maarufu mstaafu na professor aliuliza hawa mawaziri wanapata wapi muda wa kufanya PhD wakiwa kazini? Ni wazi wanawalipa supervisors au watu wengine wawafanyie PhD
- kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastola akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastola mkononi. Kuua mtu kwa bastola ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
- kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; huyu ni Magufuli alifiwa mtoto katika mazingira yenye utata na ikasemwa alikufa kwa malaria, tetesi zikisema alimpiga hadi kumuua; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
- kwamba Magufuli katika uhai wake akiwa shule alikuwa na tatizo la kuvuta bangi, na tunajua ukivuta bangi mara moja inaweza kukaa kichwani kwa miaka 12, na hatujui alivuta bangi mara ngapi
- kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
- kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4QpdGYaV7b42UJjx
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
Magufuli kampiga mtoto wake mwenyewe mpaka kamuua, hakusubiri kuingia Ikulu kuua.Mgonjwa wa akili anayesubiri mpaka awe Rais ndipo amfumue mtu kwa risasi kweli ni mgonjwa wa akili? Kweli Bongo tuna shida!
Familia ya Ben isijue lakini Kabendera pekee yake ndiye ajue?
Huyu bwana mdogo kaandika kitabu kwa style ile ile wanayotumia kwenye magazeti ya udaku ili auze kitabu!
Umeng’ang’ana watu wanamuona Kabendera ni muongo wamshitaki, unataka JPM afufuke ili amshitaki? Ameshindwa kutaja watu walio hai kwenye kitabu chake, ambao wangeweza kumpeleka mahakamani. Isitoshe anayasema haya huku akiwa uhamishoni!
Ili mtu atengeneze hofu, utii na uoga kwa subordinates wake lazima afanye mwenyew kitendo Cha kikatili ili akitoa maagizo watekeleze bila kuhoji. Mm nakuelewaNarudia tena, Magufuli hakuwa sawa kichwani, na kuua mtu kwa risasi pale Ikulu ni profile ambayo ina-fit kabisa utu wake. Hivi kwa nini watu hawataki kukubali alimpa Makonda license to kill? Mtu anaefanya hivyo atashindwa kumpiga mkosoaji wake mkubwa risasi ya kichwa? Tundu Lisu je? Mnafikiri nani aliamrisha auwawe? Magufuli alikuwa na chuki dhidi ya wapinzani inayokaribia ukichaa. Muulizeni Mwigulu Nchemba aliambiwa nini na Magufuli kabla hata taarifa ya Lisu kupigwa risasi haijavuma. Mwigulu anaambiwa itisha press conference utangaze serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Lisu - Mwigulu akagoma, akapoteza uwaziri!
Wewe kweli Pimbi kipi kinashindikana.nigga pleasee, Magufuli ampige mtu risasi live tena ikulu halafu ndio ije kujulikana leo? maadui wote hao wasiseme tu? come on man, you are better than that …
PAJAMA ????Kama kuna watu wanasema Kabendera ni muongo, wamshitaki akatetee maneno yake mahakamani, mashahidi pia waitwe mahakamani kuhojiwa chini ya kiapo at the possible penalty of perjury.
Kwa mfano, Kabendera kasema Magufuli alikwenda kwa Samia na pajama akitaka kumbaka, Samia mpaka akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Samia aitwe mahakamani kuhojiwa kuhusu suala hili.
Ukipajua Ikulu hapo hakunaga swali lolote
Uzuri Kibendera amekiri kila kitu amesimuliwa tu
Ni afadhali hata ya Kigogo au Mange walikuwa na kamkono hadi Magogoni Lakini nao wanamshangaa Nyepesi 😂😂
Soma kitabu mkuu.PAJAMA ????
MUNGU WETU NI MWAMINIFU SANA NA ANAUPENDO KWA WATANZANIA KWA MTIRIRIKO WA HAYA TANZANIA ILIKUWA INAKWENDA KUANGAMIA MAZIMA, TUMSHUKURU SANA MUNGU WETUSawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.