Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Mimi sifanyi ushabiki hapa; ninachoangalia ni balance ya story.

Mbaya wake huyo dogo hatunaye tena duniani. Kama Kabendera anaisimamia kweli arudi nyumbani sasa ili yeyote anayetaka kumshitaki afanye hivyo kwa urahisi. Vinginevyo, anayasema haya kwa kujua uwezekano wa yeye kushitakiwa ni remote!
 
Vyeti feki huwa mna hasira sana na Magu🤣

Wakati sie tunasota juu ya dawati nyie mlikuwa wapi??
 
Huyo Kabendera Mwenyewe Ukimuangalia Vizuri tu Jinsi Alivyo kuwacha Mandevu Mengi na nywele Chafu chafu Utajua Tu Kabendera ni kichaa, na Mpumbavu Mmoja Anayetumiwa na Mabeberu
 
Hebu soma maelezo yake katika haya mahojiano juu ya uandishi wa hiki kitabu halafu utuambie ana PTS.

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4QpdGYaV7b42UJjx

Labda wewe ndio una PTS kwa kumoteza Magufuli
NImeongea from medical point of view. Nimeshauri tuu, kama ni mtu wako wa karibu, msaidie kwa kum link na msaada wa kisaikolojia. Hayuko sawa, hata kama anaweza kuwa ameandika unayopenda kusikia. Msaidie. Tuna watu wengi, matatizo yao yamebainika kwenye hatua za mwisho, wakati wanaoishi nao wangewasaidia mapema, wasingefika huko.
It's a POLITE REMINDER. Si kwa Ubaya.
 
Mtu akiwa kiongiozi ataandikwa tu.

Watu wanataka kujifunza kutoka maisha yake.

Kama hakutaki kuandikwa asingechagua kuwa kiongozi.
Kamuulize mwenyewe, mimi sijui.

Kama mnaona kasema uongo, mshitakini mahakamani mpate ukweli.
Taaluma yake haikupenda bla bla! Historia ya magufuli sio Kama inavyoandikwa kwakumchafua hivyo. Nyoyo za watanzania zinajua kung'amua uzuri na ustadi wa uongozi wake.

Mimi nilikuwa sengerema katika shule aliyokuwa Kama mwl mkuu pale, historia ya taaluma yake Ni njema na misimamo yake ilijikita ktk masuala ya msingi tu. Na unaambiwa alikuwa akishaingia darasani akaanza kufundisha Basi hata kama dent umechelewa we pitiliza ukakae kuliko kuanza kupiga hodi ili akuruhusu uingie jambo lililokuwa likimkera kiasi Cha kutoa adhabu.

Huo ndio mwenendo mwema wa kiongozi makini. Tanzania imeongozwa vizuri zaidi na viongozi zao la taaluma ya ualimu pekee na sio kwingineko. Wote waliotoka nje ya taaluma hiyo tunaona wazi wazi kutoridhishwa kwa wananchi na mwenendo wa nchi.

Lkn mnatumia nguvu kubwa Sana kuwaaminisha wananchi kwamba jpm alikuwa mbaya. Mnasema vema lkn alikuwa mbaya kwa wabaya. Ninyi endeleeni kupiga domo lkn macho Ni kipimo mkuu kiranga.
 
Mshitakini Kabendera atarudi.

Au akikataa mnaweza hata kufanya trial in absentia.

Mshitakini tupate nafasi ya kusikia maneno ya ushahidi wa mahakamani ulio chini ya kiapo.
 
Kabendera kaandika Magufuli alikuwa mtu wa fujo tangu shuleni, akafukuzwa.

Akaweka kisasi kwa miaka na miaka alivyokuwa rais alimvua uraia yule Askofu aliyekuwa kaongoza shule ya seminary aliyosoma.

Mpaka Kanisa la Katoliki likaingilia na kumwambia Magufuli aache uonevu.

Nenda kasome kitabu uone jinsi Magufuli alivyomuambukiza HIV mtoto wake mwenyewe wa miaka 16 Juliana kwa raoe mpaka mke wake Janet akampandishia Magufuli wakakorofishana, Magufuli akampiga Juliana mpaka mtoto akafariki.

Kabendera kaandika yote hayo kwenye kitabu.

Hizi ni tuhuma kubwa sana.

Kama Kabendera kaandika uongo, familia ya Magufuki imshitaki Kabendera mahakamani tujue ukwelinutakaosemwa katika ishahidi wa mahakamani chini ya kiapo at the possible penalty of perjury.
 
Mshitakini Kabendera atarudi.

Au akikataa mnaweza hata kufanya trial in absentia.

Mshitakini tupate nafasi ya kusikia maneno ya ushahidi wa mahakamani ulio chini ya kiapo.
Angekuwa mtu wa kurudi angekuwa amesharudi kitambo. Let the gullible target buy the worthless book mwenyewe apate pesa!
 
Angekuwa mtu wa kurudi angekuwa amesharudi kitambo. Let the gullible target buy the worthless book mwenyewe apate pesa!
Msipomshitaki mmekubali tuhuma na kuogopa kwenda mahakamani kuongea madudu mengine zaidi.

Silence implies consent.
 
Porojo hizo mkuu. Mbona hatujaona akishtakiwa? Sababu ishu hiyo Ni ya jinai Ni lazima ingemtoa kwenye reli ya uongozi lkn Hadi unaona vyeo vinapanda Ni kwamba uwezo wa uongozi wake ulizidi scandal zilizokuwa zikimkabili.

Ishu ya kunywa pombe hiyo sikatai maana jamaa pale sengerema Ana historia ya ulevi hatari, hata mtoto atakueleza hilo.

Mambo mengine hayo Ni kuandika kutokana na majeraha waliopitia baadhi wasio wema wakati wa uongozi wake. Sirias kiranga nakwambia hakuna yeyote mwenye chembe ya chuki juu ya jpm ambaye hakujeruhiwa ktk awamu yake. Na wote waliowahi jeruhiwa hakuna hata mmoja smart, Kama yupo mtaje tuone
 
Msipomshitaki mmekubali tuhuma na kuogopa kwenda mahakamani kuongea madudu mengine zaidi.

Silence implies consent.
He’s typical of cowards. They attack those who cannot defend themselves!
 
Mimi naelewa sana watu washua wasipoamini hizi habari.

Kwa sababu ni mbaya sana kiasi zinakufanya ujiulize maswali mengi sana.

Haziendani na ushua, kishuashua hata rais akikosea basi anakosea kishua.

Lakini hizi habari ni ut of the pale.

Na hii ndiyo sababu nasema Kibwndera ashitakiwe tusikie habari nzima mahakamani kwenye rules of evidence na perjury tujue uongo uko wapi na ukweli uko wapi.

Kabendera ashitakiwe tu tusikie habari nzima, maana mwenyewe anasema hata alichoandika ni kama robo tu ya mambo yote anayoyajua.

Sasa , wasipomshitaki, wengine tutaona labda ni kwa sababu wanaogopa asitie hiyo 75% nyingine.
 
Hata Hitler, Idd Amin, Bokassa, Mussolini bado wanasema(wanasingiziwa?) na hawana uwezo wa kujitetea. Hivyo basi Magu kama hao 'wenzake' naye ataendelea kusemwa tu, hivyo ndivyo jinsi uhalisia ulivyo.
swala sio kumsema bali wamelenga nini katika kuibua hilo jambo wakati huu kwa nini wasiseme ya samia ambae yuko hai aje ajibu shutuma zake? Au yeye ni msafi?
 
Jamani mwacheni Hayati rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli apumzike kwa amani, kwa nini mpaka sasa ni mwaka wa tatu kuelekea wa nne hayupo duniani lakini bado mnahangaika naye?
 
He’s typical of cowards. They attack those who cannot defend themselves!
Jamaa kang’angania eti mumshitaki Kabendera!

Mumshitaki akina nani?

Anarundika watu kwenye tenga moja wanaotilia mashaka hayo madai.

Mashitaka hayafunguliwi tu kiholela na yeyote yule anayejisikia au anayetaka.

Mfungua mashitaka ni lazima awe na standing. Ni lazima aonyeshe injury.

Kwenye hili, wa kwanza wanaoweza kufungua mashitaka [ambayo yatakuwa ni ya madai] ni familia: mke, watoto, labda na ndugu wengine.

Kung’ang’ana tu mshtakini…mshtakini is so disingenuous.

No one can just walk up to the clerk of court and file a lawsuit, just because.

Wanataka watu wasihoji madai ya huyo Kabendera as if he owns the truth.

Some of these people, man! SMH.
 
Tujitahidi tusomeshe watoto kwenye shule bora.
Hizo shule zenu zinawafundisha ujinga, ndio maana comments nyingi ziba expose ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…