Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Hivi unafikiri Kabendera hana ushahidi, kajiandikia tu from the blue? Basi iambie serikali impeleke mahakamani uone.
Hawathubutu kwenda mahakamani kwani wanaenda kuvuliwa nguo. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita enzi za mtandao wa Ze Utamu jamaa aliweka pichaduka inayomhusu JK ile picha ilikuwa noma sana na jamaa alisakwa hadi akapatikana na akarudishwa bongo walipanga kumshitaki lakini ikatumika busara wakamtisha tu na kumuamuru aufunge mtandao wake. Wangefungua kesi ina maana ile picha ingeonyeshwa kama kielelezo hivyo ingizidi kusambaa maana ni wachache tulioiona lakini ingekwenda mahakamani ilikuwa kuitangaza. Mtuhumiwa akaufunga Ze Utamu na ikaishia hapo. Sasa hii wajaribu kwenda mahakamani waone madudu mengi yatakavyoibuliwa.
 
Tatizo jogoo akiiona punje ya almasi ataona ni ujinga kushughulika nayo. Kwa hiyo sioni tatizo kwa mtu asie na uwezo wa kutafakari kusema nimeandika ujinga au Kabendera kaandika ujinga. Tatizo lipo kwenye kiwango chako cha kufikiri.

Hakuna mtu mwenye akili sawa atajiita Magufuli 05
 
ushahidi uwepo au usiwepo, ukweli ni kwamba nchi hii ilishawahi kutawaliwa na mtu katili sana ambaye anajutia alichokifanya huko kuzimu hata sasaivi mnavyoandika. risasi za Tundu Lisu, ben saanane, na wengine wengi. ni dhahidi. wa sasa naye Mungu amsaidie, kwa sababu kilichotokea kwa sativa na wengine ambao hawajulikani walipo hadi sasa, inasikitisha. Mwogopeni Mungu, na ninyi mlio karibu nao washaurini vyema.
 
Hili ndilo lilitokea kwa Makonda. Marekani inasema Makonda anaua watu, serikali haijibu wala kukohoa. Sasa watu wanafikiri Makonda aliua watu bila kuambiwa na Magufuli waue?
 
JIWE alishitakiwa Mahakama ya mbinguni, wala hatuhitaji kwenda mahakama za kisutu hizo. pande zote mbili kwa sasa hawawezi kwenda mahakamani, mahakama hii ya dunia, ndio maana walimshitaki kwa Hakimu wa kweli, Mungu. na wanamshitaki kwa umma pia. hiyo ni mahakama mbaya kuliko hiyo ya kisutu. na wengine wote wanaofanya maovu kama hayo, mnyonge na maskini mahakama yake ni kwa Mungu. kuna siku mtang'ata fito na mtatamani wala msingezaliwa, Mungu hadhihakiwi.
 
Kazi ya kuhakikisha yale amesema niya kwake. sio sisi
Haiingii akili eti ampige risasi wakati watu maalum wa kupiga hiyo risasi anao wamemzunguka labda uniambia alimtumia kama taegget ya kujifunzia
 
Katika harakati za kugombea ubunge, pia ana tuhuma za kumuwekea sumu mmoja ya wagombea ambaye alikuwa na cheo kikubwa pale ginnery ya chato, jamaa figo zikafeli.

Ikabidi jamaa akaanza process ya kutibiwa, akapata nafasi ya kwenda India. Ila kila muda wa safari ukifika, jalada la hospitali linapotea, wenzake wanaenda India. Suspect, JP ndiye alikuwa ana-influence ili jamaa afe, yeye abaki na ubunge

JK alipopata taarifa, akaingilia kati ndipo jamaa akaenda kutibiwa.

Kuwachapa viboko dada zake ilikuwa kawaida.

Kuna stori ya mdogo wake anaitwa Goro ambaye alitoa coaster ya hotel ili isaidie kusafirisha maiti pale pale Chato mjini. Wako njiani JP akapiga simu, anamwambia washushe hapohapo kwa kuwa ametoa gari bila ruhusa yake. Ikawa tafrani. Dogo akagoma kushusha maiti barabarani. Wakawa maadui wa kutupwa.
 
Umetumia nini kufikiri

USSR
 
Humjui mtu huyo?Basi pokea taarifa za Kabendera.

kwa hiyo unaamini kabisa raisi wa JMTZ ampige mtu risasi live ikulu halafu international community yote ikae kimya? kama tu maandamano balozi zote za kizungu huandika kwenye websites zao iwe kupigwa mtu risasi tena raisi wasiyempenda live ? nafikiri labda ni full moon leo, au haujakula vizuri na kushiba labda ? au thinking us hard for you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…