Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Hivi unafikiri Kabendera hana ushahidi, kajiandikia tu from the blue? Basi iambie serikali impeleke mahakamani uone.
Hawathubutu kwenda mahakamani kwani wanaenda kuvuliwa nguo. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita enzi za mtandao wa Ze Utamu jamaa aliweka pichaduka inayomhusu JK ile picha ilikuwa noma sana na jamaa alisakwa hadi akapatikana na akarudishwa bongo walipanga kumshitaki lakini ikatumika busara wakamtisha tu na kumuamuru aufunge mtandao wake. Wangefungua kesi ina maana ile picha ingeonyeshwa kama kielelezo hivyo ingizidi kusambaa maana ni wachache tulioiona lakini ingekwenda mahakamani ilikuwa kuitangaza. Mtuhumiwa akaufunga Ze Utamu na ikaishia hapo. Sasa hii wajaribu kwenda mahakamani waone madudu mengi yatakavyoibuliwa.
 
Umeandika ujinga wa kiwango Cha PhD. Walewale wajinga kama akina kabendera. Nilitegemea uweke ushahidi hapo kumbe porojo za kijinga tu. Nyie mashetani kama wewe Huwa mnazaliwa wapi na akina nani? Shetani mkubwa na ujinga wako kufa haraka tupunguze mashetani nchini.
Tatizo jogoo akiiona punje ya almasi ataona ni ujinga kushughulika nayo. Kwa hiyo sioni tatizo kwa mtu asie na uwezo wa kutafakari kusema nimeandika ujinga au Kabendera kaandika ujinga. Tatizo lipo kwenye kiwango chako cha kufikiri.

Hakuna mtu mwenye akili sawa atajiita Magufuli 05
 
ushahidi uwepo au usiwepo, ukweli ni kwamba nchi hii ilishawahi kutawaliwa na mtu katili sana ambaye anajutia alichokifanya huko kuzimu hata sasaivi mnavyoandika. risasi za Tundu Lisu, ben saanane, na wengine wengi. ni dhahidi. wa sasa naye Mungu amsaidie, kwa sababu kilichotokea kwa sativa na wengine ambao hawajulikani walipo hadi sasa, inasikitisha. Mwogopeni Mungu, na ninyi mlio karibu nao washaurini vyema.
 
Hawathubutu kwenda mahakamani kwani wanaenda kuvuliwa nguo. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita enzi za mtandao wa Ze Utamu jamaa aliweka pichaduka inayomhusu JK ile picha ilikuwa noma sana na jamaa alisakwa hadi akapatikana na akarudishwa bongo walipanga kumshitaki lakini ikatumika busara wakamtisha tu na kumuamuru aufunge mtandao wake. Wangefungua kesi ina maana ile picha ingeonyeshwa kama kielelezo hivyo ingizidi kusambaa maana ni wachache tulioiona lakini ingekwenda mahakamani ilikuwa kuitangaza. Mtuhumiwa akaufunga Ze Utamu na ikaishia hapo. Sasa hii wajaribu kwenda mahakamani waone madudu mengi yatakavyoibuliwa.
Hili ndilo lilitokea kwa Makonda. Marekani inasema Makonda anaua watu, serikali haijibu wala kukohoa. Sasa watu wanafikiri Makonda aliua watu bila kuambiwa na Magufuli waue?
 
Hawathubutu kwenda mahakamani kwani wanaenda kuvuliwa nguo. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita enzi za mtandao wa Ze Utamu jamaa aliweka pichaduka inayomhusu JK ile picha ilikuwa noma sana na jamaa alisakwa hadi akapatikana na akarudishwa bongo walipanga kumshitaki lakini ikatumika busara wakamtisha tu na kumuamuru aufunge mtandao wake. Wangefungua kesi ina maana ile picha ingeonyeshwa kama kielelezo hivyo ingizidi kusambaa maana ni wachache tulioiona lakini ingekwenda mahakamani ilikuwa kuitangaza. Mtuhumiwa akaufunga Ze Utamu na ikaishia hapo. Sasa hii wajaribu kwenda mahakamani waone madudu mengi yatakavyoibuliwa.
JIWE alishitakiwa Mahakama ya mbinguni, wala hatuhitaji kwenda mahakama za kisutu hizo. pande zote mbili kwa sasa hawawezi kwenda mahakamani, mahakama hii ya dunia, ndio maana walimshitaki kwa Hakimu wa kweli, Mungu. na wanamshitaki kwa umma pia. hiyo ni mahakama mbaya kuliko hiyo ya kisutu. na wengine wote wanaofanya maovu kama hayo, mnyonge na maskini mahakama yake ni kwa Mungu. kuna siku mtang'ata fito na mtatamani wala msingezaliwa, Mungu hadhihakiwi.
 
Kazi ya kuhakikisha yale amesema niya kwake. sio sisi
Haiingii akili eti ampige risasi wakati watu maalum wa kupiga hiyo risasi anao wamemzunguka labda uniambia alimtumia kama taegget ya kujifunzia
 
Katika harakati za kugombea ubunge, pia ana tuhuma za kumuwekea sumu mmoja ya wagombea ambaye alikuwa na cheo kikubwa pale ginnery ya chato, jamaa figo zikafeli.

Ikabidi jamaa akaanza process ya kutibiwa, akapata nafasi ya kwenda India. Ila kila muda wa safari ukifika, jalada la hospitali linapotea, wenzake wanaenda India. Suspect, JP ndiye alikuwa ana-influence ili jamaa afe, yeye abaki na ubunge

JK alipopata taarifa, akaingilia kati ndipo jamaa akaenda kutibiwa.

Kuwachapa viboko dada zake ilikuwa kawaida.

Kuna stori ya mdogo wake anaitwa Goro ambaye alitoa coaster ya hotel ili isaidie kusafirisha maiti pale pale Chato mjini. Wako njiani JP akapiga simu, anamwambia washushe hapohapo kwa kuwa ametoa gari bila ruhusa yake. Ikawa tafrani. Dogo akagoma kushusha maiti barabarani. Wakawa maadui wa kutupwa.
 
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.

Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!

Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
  • ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
  • kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
  • Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
  • kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine waliolina hilo tukio "walishapotezewa"
  • kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye kuchukia wapinzani kama Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
  • kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huiyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu, na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali, sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa?
  • kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
  • kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Umetumia nini kufikiri

USSR
 
Humjui mtu huyo?Basi pokea taarifa za Kabendera.

kwa hiyo unaamini kabisa raisi wa JMTZ ampige mtu risasi live ikulu halafu international community yote ikae kimya? kama tu maandamano balozi zote za kizungu huandika kwenye websites zao iwe kupigwa mtu risasi tena raisi wasiyempenda live ? nafikiri labda ni full moon leo, au haujakula vizuri na kushiba labda ? au thinking us hard for you?
 
Back
Top Bottom