Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Mimi sina ushahidi ila kwa hulka za Jiwe nilizozijua kabla hata hajawa Rais, hayo mambo yanawezekana. Muulizeni mama Janeth alibebeshwa kokoto
akiyanani yule mzee hakuwa mzima kwakeli alimbebesha mama wa watu kokoto kisa hakuwaambia walileta wamwage wapi hiko kifusi isee.. na mtoto kufeli chuo kipigo akapigwa mama wa watu nusu kufa.. aafu akajipeleka hospitali na makamera eti kwenda kumuangalia.!
mmh ingawa hakuna hakuna ushahidi wa wazi ila sijui isee anaweza fanya ukatili wa kumpiga mtu risasi kweli
 
Sasa kama mnamtetea dikteta Magufuli si mtuambie basi Saanane yuko wapi tuanzie hapo kwanza kwani tunafahamu vizuri sana kwamba ni jukumu la serikali kulinda raia wote na mali zao.

Mimi japo sielewi hili lakini ukweli ni kwamba kwa tabia ya dikteta Magufuli ya alivyokuwa mtu katili na issue ya Tundu Lissu ni ushahidi tosha siwezi kutilia shaka madai ya Kabendera.

Dikteta Magufuli alikuwa moja ya watawala wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii na kifo chake cha ghafla kilifanya niamini kwamba ni Mungu akitafuta namna ya kuokoa watanzania kutoka kwenye mdomo wa mamba. Bure kabisa.
 
Nonsense!.
Jinalako lamwanzo lilikuwa linaendana na akilizako, mods ,wangekuachatu uendelee kulitumia.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Itabakia ukweli, vinginevyo Ben aletwe akiwa hai ..

Ujinga nao ni kipaji.. Unabisha wakati huna uwezo wa kuweka ushahidi against Kabendera..
 
Nyani Ngabu umepashwa upashike (kama bado hujasahau kiswahili sanifu)
 
Kumbe jamaa alikuwa na issue ya afya ya akili?!!
 

Bado kuna watu watataka ushahidi.

Unakataa kutoa feza za matibabu kwa mtumishi wa serikali ambazo ni haki yake, Halafu unasema hujahusika
 
We nawe umeandika makorokocho gani sijui, umekunywa komoni?
 
Jaman Ben Saanane alikuwa na mke na watoto? Yaan kuna watu walikuwa wanamtegema?? Ila watu watakuwa kuni jaman niko pale mniita mbwa
 
Hakuna mahali amesema kuna mtu wa upinzani alikuwepo. Kumbuka, Kabendera kaamua kwa makusudi na sababu anazoelewa, kuelezea tukio kwa kiwango hicho. Kitabu chake si utetezi wa mahakamani. Ni mara ngapi umesoma habari ikieleza tukio bila ushahidi? Kwa mfano, mwandishi akiandika dereva alikwa amelewa akagonga mtu na kumuua, ni mara ngapi unauliza mbona hawajaweka ushahidi kuwa dereva alikuwa amelewa?
 
Dah, mzee alikuwa katili sana!
 
"Na hili nalo mlichukue mkalifanyie kazi..."

Una mwandiko mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…