Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho wapuuzi wanajifanya hawakijui..Magu kutaka kumuua Lissu ni Hear says Tu
Mara Magu mara makonda mara Nani sijui
Do you think magu angetaka kumuua Lissu angemkosa?
Unajua maana ya Rais kutoa Order?
Wangemfata bungeni na wangempa sumu au anything
Kwani lisu alikuwa anaishi mbinguni?
Si pale block D tena majengo yanalindwa na Askari ambao wanatii Amri ya Rais?
Magu angetaka Lissu Afe then Leo asingekuwepo duniani
WANAOTAKIWA KUJIBU NI SERIKALI , UONGOZI WA IKULU NA SIO FAMILIASawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
- ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
- kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
- Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
- kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
- kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
- kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
- kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
- kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
- kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Unafahamu utaratibu wa kupublish kitabu?na ikitokea unayoongea ni uongo ufanywe nn?Kwanini usishauri apelekwe mahakamani akatoe ushahidi?
Curious!!!! Kwa sababu tu Kabendera kaandika basi niamini, kama siamini nilete Ushahidi.Asieamini ya Kabendera bila kuwa na ushahidi wa kuyapinga ni kichaa hata zaidi!
Wewe ni mtumish wa Mungu, sifa kuu ya watumishi wa Mungu ni kusema ukweli.ushahidi uwepo au usiwepo, ukweli ni kwamba nchi hii ilishawahi kutawaliwa na mtu katili sana ambaye anajutia alichokifanya huko kuzimu hata sasaivi mnavyoandika. risasi za Tundu Lisu, ben saanane, na wengine wengi. ni dhahidi. wa sasa naye Mungu amsaidie, kwa sababu kilichotokea kwa sativa na wengine ambao hawajulikani walipo hadi sasa, inasikitisha. Mwogopeni Mungu, na ninyi mlio karibu nao washaurini vyema.
Kama mtaalam wa afya ya akili, ninasema pasi na shaka, ndugu Kabendera, anasumbuliwa sasa na Post traumatic stress disorder. Ndio maana, anapata relief kwa kuwasema wale anaodhani walikua sababu ya yeye kupitia aliyo yapitia.Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa source yake inatia watu walioko serikalini. Wengine hata wanadiriki kusema Kabendera akamatwe na kutiwa ndani kwa kuandika jambo hili!
Watu wote wanaopinga hii taarifa ya Kabendera wanapaswa kutambua yafuatayo;
Conclusion: Kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi ya kichwa point-blank ina fit vizuri kabisa profile ya Magufuli. Alikuwa mtu wa namna hiyo, upende usipende, na huo ndio ukweli. Kichaa alipewa rungu.
- ikiwa unashupalia Kabendera ni muongo, basi wewe unapaswa kujua ukweli juu ya kupotea kwa Ben Saanane au yuko wapi kama yupo hai, au unamjua aliemuua. Kama una akili sawasawa, huwezi kubisha alichosema Kabendera bila wewe kuwa na taarifa kamili tofauti na aliyosema Kabendera
- kwamba Kabendera hawezi hata siku moja kufumuka tu na kuandika kitu kama hicho kwenye kitabu. Ni wazi ana uhakika na anachokisema, na kwamba ana ushahidi zaidi na serikali haitamchukulia hatua kwa sababu wakimpeleka mahakamani watakuwa wamempa ukumbi wa kumwaga ukweli wa jambo hili na serikali ya CCM haitaki kabisa hilo litokee (sawa na Marekani waliposema Makonda ni muuaji, ulisikia serikali ikipinga au kuishutumu Marekani? Unafikiri kwa nini serikali iliufyata?)
- Magufuli kama raisi angeweza kumpiga mtu yeyote risasi na kumuua bila kushitakiwa au kufanywa lolote kwa sababu Katiba yetu inampa uhuru raisi kumuua mtu na raisi asifanywe lolote! Hata Raisi Samia leo akifanya hivyo hutamfanya chochote na ataendelea kuwa raisi
- kwamba Magufuli alipompiga risasi Ben Saanane kuna watu walikuwapo na walishuhudia hilo na hawa ndio waliompa taarifa Kabendera, wao hawawezi kuzitoa hadharani, na huenda wengine walioliona hilo tukio "walishapotezewa"
- kwamba Magufuli alikuwa anawachukia wapinzani kwa kiwango kisicho kawaida, chuki ya kiwango cha kuwa "kichaa", cha kufikia kuwaadhibu CCM waliowapa pole wapinzani wakiumwa, na hata kumwona Samia na wengine kuwa ni wasaliti walipomtembelea Lisu hospitali (the most intense level on the emotional scale of anger toward opposition parties' members, and this became animosity that was deeply entrenched towards specific individuals like Tundu Lissu, Ben Saanane etc, and he developed personal vendettas against them).
- kwamba Magufuli alikuwa na tabia ya kutembea na bastora akiwa tayari kuua mtu, hata pale alipokuwa akikagua miradi yake alishikilia bastora mkononi. Kuua mtu kwa bastora ni rahisi mno, hasa kwa mtu mwenye chuki ya juu kwa wapinzani kama ya Magufuli. Hivyo kumuua Ben Saanane kuna-fit attitude profile ya Magufuli
- kwamba kwa wanaomfahamu Magufuli watakuambia wazi alikuwa hayuko sawa kichwani na kuua mtu kwa risasi ingewezekana kabisa kwake. Huyu ni Magufuli ambae alimpiga sana mtoto wake karibu kumuua kwa kosa la kufeli mitihani tu; huyu ni Magufuli aliemkana binti yake na kusema sio binti yake tena kwa sababu aliokoka na kuolewa na mlokole; na huyu ni Magufuli aliekuwa akimpiga mkewe hadi hatua ya kukaribia kufa na kulazwa hospitali; sasa sembuse Ben Saanane ambae alikuwa sio ndugu yake na alikuwa na hasira nae ya kukosolewa? Magufuli hakuwa sawa kichwani, hilo ni wazi sana
- kama Marekani walikuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu waliopinga serikali, ni wazi alifanya hivyo kwa kibali cha Magufuli, na kama Magufuli alimruhusu Makonda kuua watu basi kwa nini yeye binafsi asindwe kumuua mmojawapo wa aiana ya watu aliomruhusu Makonda kuwaua?
- kigugumizi cha polisi katika kupeleleza na kukamata watu waliopotea au kuuwawa, hasa wapinzani wa serikali, ni wazi kwamba vifo hivi ninahusisha watu wakubwa walioko serikalini, kutia ndani mtu kama Magufuli, au kwamba viliidhinishwa na Magufuli, pamoja na jaribio la kumuua Tundu Lisu
Tupe ukweli basi kama unaujua otherwise shut the hell up.Blah blah blah!
Magufuli ni muuaji….
Magufuli ni mbakaji….
What else? Magufuli ni baba yenu mzazi?
Ha ha ha jamaa kanyookaaaaaa.Unstoppable mnyororo🙌
Tuanze na wewe unayepinga alichoandika kabendera wewe ndo umeandika ujinga unatakiwa kuwa na proof of evidence kuja kukataa hapa! Huwezi kutoka from no where unakuja kubeza hata wanaotaka kuchukua hatua lazima waje kimkakati kumbuka kitabu kimechafua taswira ya Taasisi ya Urais ambayo waligombe a wote na Rais aliyopo madarakani sasa hvi! Ile ni taasisi ya Urais siyo Personal as Magufuri inatakiwa mamlaka zitolee ufafanuzi na wasikimbilie dola au kukifungia kitabu!Anayeamini huo ujinga wa kabendera ni kichaa na anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa milembe Dodoma.
Hebu soma maelezo yake katika haya mahojiano juu ya uandishi wa hiki kitabu halafu utuambie ana PTS.Kama mtaalam wa afya ya akili, ninasema pasi na shaka, ndugu Kabendera, anasumbuliwa sasa na Post traumatic stress disorder. Ndio maana, anapata relief kwa kuwasema wale anaodhani walikua sababu ya yeye kupitia aliyo yapitia.
Hata hivyo, kwa wale mliokaribu nae, msaidieni. Mpelekeni kwa psychiatrists na clinical psychologists wamsaidie. Ukisoma yale aliyoyaandika, unaona kabisa, hakuyaandika akiwa normal.
AHURUMIWE NA ASAIDIWE.
TUkiendelea kumsangilia tutakua hatumsaidii
Nikuulize, umesikiliza alichosema Kabendera juu ya process ilivyokuwa hadi kitabu hiki kuchapishwa? Au unafikiri kaamka tu toka usingizini na kuandika Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane? Sikiliza haya maelezokisha rudi utoe comments. Kimsing anauambia, kama kuna asiyeamini aende mahakamani nilete ushahidiCurious!!!! Kwa sababu tu Kabendera kaandika basi niamini, kama siamini nilete Ushahidi.
Mimi naamini kwasababi alikuwa na roho mbaya sana. Alafu kuna ule msemo usemao "ukitaka kujua tabia ya mtu, angalia rafiki zake" mfano Sabaya, Bashite nk nk.Curious!!!! Kwa sababu tu Kabendera kaandika basi niamini, kama siamini nilete Ushahidi.
Uandishi wa kitabu hauhitaji uweke ushahidi, kwa hiyo kusema Kabendera hajaweka ushahidi kwenye kitabu ni kutoielewa tasnia ya uandishi vitabu. Kama angeweka ushahidi kwa kila alichoandika, hicho kitabu kingekuwa kikubwa kiasi gani? Ile sio encyclopedia, ni memoir. Na amesema wazi, ushahidi upo na watu wa kuthibisha wapo, sasa ni jukumu lenu msiomuamini Kabendera kuchukua hatua ili atoe ushahidi. Hata wewe unaweza kwenda mahakamani kama mtu mwenye personal interest na Magufuli kwa kuwa alikuwa raisi wako.Simjui huyo Ben mimi zaidi ya hapa JF.
Sijui kilichomtokea.
Huyo Kabendera zaidi ya maneno, hajaweka ushahidi wowote ule.
Hata kama ni investigative journalist, hiyo haimaanishi yuko above reproach.
Hawezi tu kuandika mambo yaliyo outlandish halafu tusiyahoji kisa yeye ni investigative journalist.
Kutokuhoji ni upumbavu. Wewe kama unaamini kila alichokiandika, sawa. Una haki ya kuwa mpumbavu.
Samahan naomba nikujibu tofauti na swali au hoja yako. Kuna vitu ushahidi haupo ila inaaminika ipo kama inavyosemekana kwa mfano uwepo wa malaika au YESU, kinachofanya usiamin magu kuuwa ni uwepo wa maofisa wa serikali au kukosekana kwa evidence ya picha mjongeo ?Unapotoa tuhuma nzito kama hizi unalazimika kuweka credible evidence. Sasa ushahidi wa Kabendera ni maneno ya kuambiwa na "maofisa wa serikali na watu kutoka vyama vya upinzani" Sasa tujiulize, ni mtu gani wa upinzani angeweza kuwepo wakati wa tukio hapo Ikulu?
Nakueleza principles tu.Well, “Kama kuna watu wanasema Kabendera ni muongo, wamshitaki…” Could you possibly be one of them?
Kama shida yako ni kujua mbinu na mbichi, kwa nini wewe usifanye hivyo?
Kipo Amazon.com . Kama huwezi kukipata Amazon watu wanasoma chapter by chapter na kukijadili kila siku Clubhouse, wameanza jana.ulichokitabu mkuu huwezi nisaidia nikakipata maana naona kuna meeng