Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu mzito ama mzee maarufu kuwa anataka kuuawa ni kutaka kutrend tu ili awashike wanachama, Lissu kwa kweli mbinu hizi unazotumia umefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kupata prominence lakini am sure Mbowe hawezi kukuachia uenyekiti, by hooks or crooks.
Tafuta kura kwa njia za halali sio kuzusha mambo ya uongo kuwa umechangiwa sijui umepigiwa simu utamalizwa, shame on u
Tafuta kura kwa njia za halali sio kuzusha mambo ya uongo kuwa umechangiwa sijui umepigiwa simu utamalizwa, shame on u