Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

Naona maroboti wa mbowe mmeamua kufungua akaunti mbili mbili ili mumtetee mbo-we
Eti mwakani mnakuja kutuambia sijui ccm imechoka na blah blah kibao
Hakuna kitu mwana CCM anawaza kama uchaguzi. Hizi nguvu mnazotumia kutaka kubaki madarakani mkizielekeza kwenye maendeleo na utawala bora hakika msingetumia nguvu hivi.
 
Kama ni sativa yericko nyerere yupo sahihi huyo ni mariah sarungi ndio kamshawishi kuuwa chadema maana Sativa anakaa kinyumba na mariah huko nairobi!
Hata akishawishiwa na Nchimbi hakuna shida. Mbowe amechokwa na hana mbinu mpya. Tunataka mtu mpya na mawazo mapya yatakayoijenga chadema mpya.
 
Ni jambo la kushangaza chawa wa mama wanapofurahia utia nia wa Lissu uutaka uwenyekiti wa CDM.

Lissi awe makini sana na hawa chawa wasije kumharibia au kama washaharibu tayari.
 
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu mzito ama mzee maarufu kuwa anataka kuuawa ni kutaka kutrend tu ili awashike wanachama, Lissu kwa kweli mbinu hizi unazotumia umefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kupata prominence lakini am sure Mbowe hawezi kukuachia uenyekiti, by hooks or crooks.

Tafuta kura kwa njia za halali sio kuzusha mambo ya uongo kuwa umechangiwa sijui umepigiwa simu utamalizwa, shame on u
Punguza porojo
 
Kama sio Sativa basi wew tuambie aliyelipia fomu ni nani.
 
Kama ni sativa yericko nyerere yupo sahihi huyo ni mariah sarungi ndio kamshawishi kuuwa chadema maana Sativa anakaa kinyumba na mariah huko nairobi!
Duuu wewe utakuwa unashilia PEMBE wakati SATIVA anakula UTAMU😀😀🤣🤣, inakuuma eheeeee 🤣😀🤣😀

KIPARA BILA AKILI NI SAWA NA TAKO 😀🤣😀
 
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu mzito ama mzee maarufu kuwa anataka kuuawa ni kutaka kutrend tu ili awashike wanachama, Lissu kwa kweli mbinu hizi unazotumia umefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kupata prominence lakini am sure Mbowe hawezi kukuachia uenyekiti, by hooks or crooks.

Tafuta kura kwa njia za halali sio kuzusha mambo ya uongo kuwa umechangiwa sijui umepigiwa simu utamalizwa, shame on u
Amelipiwa fomu na mumeo wako, how about that?
 
Kwani kwa kumlipia fomu,
kuna kosa kanuni au taratibu zozote zilizovunjwa kulingana na katiba ya chama chao.
Kama vipi na wewe kamlipie Mbowe ngoma iwe sawia.
Hivi kweli Lisu atafute sympathy ya watu kupitia kwa Sativa?.
Are you really serious?
 
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu mzito ama mzee maarufu kuwa anataka kuuawa ni kutaka kutrend tu ili awashike wanachama, Lissu kwa kweli mbinu hizi unazotumia umefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kupata prominence lakini am sure Mbowe hawezi kukuachia uenyekiti, by hooks or crooks.
Wewe yote haya ume yajuaje?

Na hata kama yangekuwa hivyo, kuna tatizo lolote hapo?

Na wewe msukumo wako hasa wa kuya jali yote haya ni wa nini?

Hebu tueleze tujue majukumu yako ni yapi katika haya maswala ambayo yame kuingia sana akilini mwako na kushindwa kujizuia kuyaleta hapa bila ya ushahidi wowote!
 
Back
Top Bottom