The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu mzito ama mzee maarufu kuwa anataka kuuawa ni kutaka kutrend tu ili awashike wanachama, Lissu kwa kweli mbinu hizi unazotumia umefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kupata prominence lakini am sure Mbowe hawezi kukuachia uenyekiti, by hooks or crooks.
Tafuta kura kwa njia za halali sio kuzusha mambo ya uongo kuwa umechangiwa sijui umepigiwa simu utamalizwa, shame on u
Sasa kama huamini, unataka usaidiweje Ili uamini...?
Mlitaka mseme baadaye kuwa, hata pesa za fomu ya kuomba uteuzi amelipiwa na Mch. Peter Msigwa wa CCM kama mlivyodai kwenye ishu ya ukumbi siku ya kutangaza nia kuwa Mch Peter Msigwa ndo kaulipia...?
By the way, zipo zingine zilishachangwa na wanachama na wapenzi wa CHADEMA kulipia fomu zaidi ya hizo...
Ilikuwa ni lazima na muhimu aziseme za Sativa kipekee kwa sababu mchango wake kijana yule alyepitia madhira kama aliyopitia yeye, ni very special na zaidi kuzuia yaliyokuwa yanapangwa na nyie wenyewe kama nilivyoeleza hapo juu...
This time, mmekamatika. Mambo yote yatafanyika nuruni tu. Hakuna kitakachofanyikia gizani. Nuru siku hulifikuza giza...!!
These are very stupid thoughts actually, right...?