Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

Joined
Nov 27, 2024
Posts
43
Reaction score
127
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu mzito ama mzee maarufu kuwa anataka kuuawa ni kutaka kutrend tu ili awashike wanachama, Lissu kwa kweli mbinu hizi unazotumia umefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kupata prominence lakini am sure Mbowe hawezi kukuachia uenyekiti, by hooks or crooks.

Tafuta kura kwa njia za halali sio kuzusha mambo ya uongo kuwa umechangiwa sijui umepigiwa simu utamalizwa, shame on u
 
Tutajua mbivu na mbichi.
 
we endelea na soka siasa waachie wenyewe
 
Sativa hajabisha wewe unabisha kama nani?
 
Mbona unawashwawashwa babu. Tulia
 
Vibwengo wa ccm Lissu kawashika pabaya kweli kweli mueacha kabisa mambo ya kwenu kutwa kucha mko na Lissu, hakika amwatieni la kati kabisa na limezama kweli kweli.
 
..Sativa ajitokeze kukanusha.

..pia amfungulie Lissu kesi ya madai.
 

Kama vipi tutachanga savita arudishiwe pesa yake
 
shame upon you mleta Uzi. funikwa na giza la kuzimu!


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Sasa tuambie wewe nani amemlipia??
 
hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu mzito ama mzee maarufu kuwa anataka kuuawa ni kutaka kutrend tu ili awashike wanachama
Hujitambui, mbona alielezwa ni serikali ndio inataka imshambulie alafu kelele ziangushiwe kwa Mbowe. Sasa hapo anatafuta sympathy au anamlinda Mbowe in advance just in case likimkuta lolote?
 
Kama ni sativa yericko nyerere yupo sahihi huyo ni mariah sarungi ndio kamshawishi kuuwa chadema maana Sativa anakaa kinyumba na mariah huko nairobi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…