Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote


Sasa kama huamini, unataka usaidiweje Ili uamini...?

Mlitaka mseme baadaye kuwa, hata pesa za fomu ya kuomba uteuzi amelipiwa na Mch. Peter Msigwa wa CCM kama mlivyodai kwenye ishu ya ukumbi siku ya kutangaza nia kuwa Mch Peter Msigwa ndo kaulipia...?

By the way, zipo zingine zilishachangwa na wanachama na wapenzi wa CHADEMA kulipia fomu zaidi ya hizo...

Ilikuwa ni lazima na muhimu aziseme za Sativa kipekee kwa sababu mchango wake kijana yule alyepitia madhira kama aliyopitia yeye, ni very special na zaidi kuzuia yaliyokuwa yanapangwa na nyie wenyewe kama nilivyoeleza hapo juu...

This time, mmekamatika. Mambo yote yatafanyika nuruni tu. Hakuna kitakachofanyikia gizani. Nuru siku hulifikuza giza...!!

These are very stupid thoughts actually, right...?
 
Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA.
 
Hakuna kitu mwana CCM anawaza kama uchaguzi. Hizi nguvu mnazotumia kutaka kubaki madarakani mkizielekeza kwenye maendeleo na utawala bora hakika msingetumia nguvu hivi.
Hukuna UTAWALA BORA, kuna UONGOZI BORA, hizi lugha za CCM zinawaharibu sana vijana.

Tunafahamu wao ni WATAWALA, lakini hakuna MTAWALA BORA.

Tunataka uongozi bora siyo utawala bora.
 
Mbona umekuja na new ID????
 
Umefungua acc nov 30 2024 ili kumfurahisha mumeo peter msigwa
Mkuu naona umepagawa ha ha haa nmejiunga jf ukiwa bado unasoma primary na unaenda shule peku
Tuachane na hayo.
Hivi mnataka kutuambia ndani ya chadema yote hakuna mwenye uwezo wa kuongoza chama zaidi ya mbowe? Hakika viroboti wa mbowe safari hii mmeshikwa pabaya
 

Attachments

  • Screenshot_20241218-130009.png
    220.9 KB · Views: 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…