DOKEZO Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

DOKEZO Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna ulazima gani kusema mlinzi wa kanisa, ungesema mlinzi tu haitoshi?
Kanisa ndo kituo chake cha kazi watanzania sijui katuloga nani tuko very slow sana kwenye mambo muhimu kazi ya polisi ni kumshika mtuhumiwa ili taratibu za kwenda mahakamani zifatie sasa baada kesi apeleke mahakamani anakaa kulialia na polisi ambao hawata msaidia kwa lolote maana wao siyo watoa hukumu
 
Huyu mwamba angejua yanayotokea huku kwetu angetengua kauli, au basi awambie hao wafuasi wake umri wa mwanaume kufanywa hivyo kama ilivyo kwa mabinti
Wengi wetu hapa ni watumiaji wa Twitter na ukipekua vizuri aluuuuuuuu utakuja kushangaa sana hivi vitu vina nguvu na ndomn hauwezi simama mahakamani na shoga na ukapewa haki yako awa watu sijaelewa mamlaka wanayopewa hapa duniani
 
Acha polisi ifanye upelelezi yakinifu isije kuwa mlinzi kasingiziwa. Maana Kuna ustadh mmoja wa madrasa kule Arusha naye alisingiziwa kawalawiti watoto wa madrasa ila baadae ikaonekana hajatenda Hilo kosa.
 
Mbona huko sinza nasikia kuna K zinauzwa hadi buku 2 why mtu alawiti mwanaume mwenzake
na kama anataka nya pia zipo
Anyongwe au apigwe mawe tu afe basi
 
Acha polisi ifanye upelelezi yakinifu isije kuwa mlinzi kasingiziwa. Maana Kuna ustadh mmoja wa madrasa kule Arusha naye alisingiziwa kawalawiti watoto wa madrasa ila baadae ikaonekana hajatenda Hilo kosa.
hili nalo neno
ukute mlinzi ni boyfriend wa mama mtoi
 
Acha polisi ifanye upelelezi yakinifu isije kuwa mlinzi kasingiziwa. Maana Kuna ustadh mmoja wa madrasa kule Arusha naye alisingiziwa kawalawiti watoto wa madrasa ila baadae ikaonekana hajatenda Hilo kosa.
Ndio muda mwngine tufahamu, utofauti wa binadamu unasingizia mtu kosa kubwa hivyo.
 
Wengi wetu hapa ni watumiaji wa Twitter na ukipekua vizuri aluuuuuuuu utakuja kushangaa sana hivi vitu vina nguvu na ndomn hauwezi simama mahakamani na shoga na ukapewa haki yako awa watu sijaelewa mamlaka wanayopewa hapa duniani
Ukipekua vizuri utakuta hivi vitu vina nguvu ?? Hapo una maanishaje
 
All in All kwa ujumla wake mambo ya kesi mahakamani ni magumu sana.... Kesi iwe kubwa au ndogo.... Ni mahangaiko kwa kifupi...
 
ETI AKANIOMBA MSAMAHA YAISHE SIKUMWELEWA KABISA......Kuna jambo la mlinzi na mama mtoto.... NA ROHO ZA WANAWAKE NI NZITO KAMA ANAWEZA KUKUITA MWIZI NA UNAKUFA NA NIMPENZI WAKO STILL KUNA MENGI YA KUJIFUNZA
 
Kasema hajapewa ushirikiano na kanisa wakati ni fellow wa hapo sasa huoni ni ubaguzi wa kanisa kwenye matatizo binafsi tena yamesabibshwa na mliz wao ambaye analipwa kupitia sadaka zenu
Ushirikiano wa kanisa ni kuiacha polisi ifanye kazi yake. Sasa alitaka kanisa lifanyeje? Utaratibu unafahamima. Kanisa sio chombo cha ku enforce sheria. Polisi na mahakama ndio watafanyia kazi suala lake.
 
Kuna ulazima gani kusema mlinzi wa kanisa, ungesema mlinzi tu haitoshi?
Kwani sio mlinzi wa kanisa?Unataka ifichwe ili iwe nini?
Angekuwa ni mtoto wako amelawitiwa ungesema hivyo?
Unataka kituo cha kazi kifichwe ili kimfaidishe nani?
 
Dah inasikitisha mno, dogo marinda yake hayapo tena, dunia hii...

Kulawiti dr~2.jpg
 
Back
Top Bottom