Kanisa ndo kituo chake cha kazi watanzania sijui katuloga nani tuko very slow sana kwenye mambo muhimu kazi ya polisi ni kumshika mtuhumiwa ili taratibu za kwenda mahakamani zifatie sasa baada kesi apeleke mahakamani anakaa kulialia na polisi ambao hawata msaidia kwa lolote maana wao siyo watoa hukumuKuna ulazima gani kusema mlinzi wa kanisa, ungesema mlinzi tu haitoshi?
Wengi wetu hapa ni watumiaji wa Twitter na ukipekua vizuri aluuuuuuuu utakuja kushangaa sana hivi vitu vina nguvu na ndomn hauwezi simama mahakamani na shoga na ukapewa haki yako awa watu sijaelewa mamlaka wanayopewa hapa dunianiHuyu mwamba angejua yanayotokea huku kwetu angetengua kauli, au basi awambie hao wafuasi wake umri wa mwanaume kufanywa hivyo kama ilivyo kwa mabinti
Kwani Si mlinzi wa kanisa?Kuna ulazima gani kusema mlinzi wa kanisa, ungesema mlinzi tu haitoshi?
hili nalo nenoAcha polisi ifanye upelelezi yakinifu isije kuwa mlinzi kasingiziwa. Maana Kuna ustadh mmoja wa madrasa kule Arusha naye alisingiziwa kawalawiti watoto wa madrasa ila baadae ikaonekana hajatenda Hilo kosa.
Ndio muda mwngine tufahamu, utofauti wa binadamu unasingizia mtu kosa kubwa hivyo.Acha polisi ifanye upelelezi yakinifu isije kuwa mlinzi kasingiziwa. Maana Kuna ustadh mmoja wa madrasa kule Arusha naye alisingiziwa kawalawiti watoto wa madrasa ila baadae ikaonekana hajatenda Hilo kosa.
Hahaha wakina mama, wakiamua kukukomesha aise, watasema hata umeua..ndio kama ulikua unaishi nae, atasema ulikua unamlaga goti.hili nalo neno
ukute mlinzi ni boyfriend wa mama mtoi
Ukipekua vizuri utakuta hivi vitu vina nguvu ?? Hapo una maanishajeWengi wetu hapa ni watumiaji wa Twitter na ukipekua vizuri aluuuuuuuu utakuja kushangaa sana hivi vitu vina nguvu na ndomn hauwezi simama mahakamani na shoga na ukapewa haki yako awa watu sijaelewa mamlaka wanayopewa hapa duniani
Kwani ikisemwa hivyo inakukera nini! Kwa sababu ni kweli ni mlinzi wa kanisa.Kuna ulazima gani kusema mlinzi wa kanisa, ungesema mlinzi tu haitoshi?
Hapa umegusa kwenye point Kuna mtu apo nimesema kesi Haina mashiko anasema ingelikua mwanangu tatizo hatupendi kuumiza kichwahili nalo neno
ukute mlinzi ni boyfriend wa mama mtoi
ni washenzi sana, hawatakiwi kupewa uhuruHahaha wakina mama, wakiamua kukukomesha aise, watasema hata umeua..ndio kama ulikua unaishi nae, atasema ulikua unamlaga goti.
Anza na mmiliki wa Twitter ukishamwelewa sina lolote la kukuongezeaUkipekua vizuri utakuta hivi vitu vina nguvu ?? Hapo una maanishaje
Ushirikiano wa kanisa ni kuiacha polisi ifanye kazi yake. Sasa alitaka kanisa lifanyeje? Utaratibu unafahamima. Kanisa sio chombo cha ku enforce sheria. Polisi na mahakama ndio watafanyia kazi suala lake.Kasema hajapewa ushirikiano na kanisa wakati ni fellow wa hapo sasa huoni ni ubaguzi wa kanisa kwenye matatizo binafsi tena yamesabibshwa na mliz wao ambaye analipwa kupitia sadaka zenu
Kwani sio mlinzi wa kanisa?Unataka ifichwe ili iwe nini?Kuna ulazima gani kusema mlinzi wa kanisa, ungesema mlinzi tu haitoshi?