Sheria na Haki sio necessarily the same thing kuna sheria kandamizi, kuna sheria ambazo sio sustainable na sheria nyingi zimekaa kisiasa.., kwahio tutakuwa kama maroboti kusoma sheria na kutaka kuzisimamia kama vipofu bila kujadiliana kuboresha kilichopo na ni vipi kinafanya au hakifanyi kazi... (Au nyie watunga Sera wawakilishi wetu kupeleka / kuchukua mawazo yetu katika utungaji wenu wa Sera)
Hapa hatupo mahakamani nadhani tuna brainstorm the way forward na kila mtu kwa nafasi yake ni mdau / expert wa eneo lake..., be it Konda, Mmiliki, Mwanafunzi, Mwenye Nchi (Mwananchi) au Mtumiaji wa hizi Huduma...