Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
- Thread starter
-
- #101
Watu waliosajiliwa kutoa huduma kwa mujibu wa sheria hutoa maoni kwa msajili na siyo kuacha kutoa maoni kisha kuendelea kuvunja Sheria huku wakisema, sisi tumesajiliwa na hii. Hapo kidogo inakuwa mtihani bila majawabuSheria na Haki sio necessarily the same thing kuna sheria kandamizi, kuna sheria ambazo sio sustainable na sheria nyingi zimekaa kisiasa.., kwahio tutakuwa kama maroboti kusoma sheria na kutaka kuzisimamia kama vipofu bila kujadiliana kuboresha kilichopo na ni vipi kinafanya au hakifanyi kazi... (Au nyie watunga Sera wawakilishi wetu kupeleka / kuchukua mawazo yetu katika utungaji wenu wa Sera)
Hapa hatupo mahakamani nadhani tuna brainstorm the way forward na kila mtu kwa nafasi yake ni mdau / expert wa eneo lake..., be it Konda, Mmiliki, Mwanafunzi, Mwenye Nchi (Mwananchi) au Mtumiaji wa hizi Huduma...
Ulitaka kusemaje mkuu kwamba karuka stage moja huko shule au mambo ya bashite MakondaNa huu ndio mwandiko wa waziri, ok
π π π Wewe rafiki karibu kwanza Dodoma bungeni uje unipe haya maoni yako mubashara nione nakujibu niniwaache kununua mabus ya kampeni wakununulie school bus?[emoji28] Ccm ife kwanza, but dada yangu Dkt. Gwajima D abaki hapo hapo kwenye hii wizara aliopo sasa, tunampenda sana mchapa kazi huyu.
Mi sipo mkuuUlitaka kusemaje mkuu kwamba karuka stage moja huko shule au mambo ya bashite Makonda
Alitaka tu nimpe hi πUlitaka kusemaje mkuu kwamba karuka stage moja huko shule au mambo ya bashite Makonda
Nadhani unakaa ofsini sanaMimi sijambo kabisa, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa majicho yangu ποΈ π.
Sasa, hakuna kipindi ustawi wa jamii imejipambanua kwenye majukumu yake kama hivi sasa. Subiri data uje uone kwa kiasi gani hoja za kijamii kutafuta huduma za ustawi wa jamii zimeongezeka ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla ya wizara hii ambapo, walikuwa hawajui uwepo wa kada hii wala huduma zake.... Utaona taasisi huru za kijamii zilizohamasika kuungana na ustawi wa jamii kwenda kuelimisha jamii, ngoja tusimalize habari taarifa ya utekelezaji wa miaka mitatu ya wizara hii yaja.....
Benki yetu ya maoni kutoka kwenye jamii inasema tofauti na yako haya. Tukubaliane tu kutofautiana maana taifa la watu milioni 62 huwezi kupata maoni yanayofanana. Na ninapoenda field nikileta taarifa hapa hukomenti, na ninapofanya kliniki ya jamii kidigitali napokea taarifa za nchi nzima Kila asubuhi kutoka kwenye jamii zako sipokei.Nadhani unakaa ofsini sana
Hujui uhalisia wa udhaifu wa hiyo Taasisi yako ya ustawi wa Jamii
Hiyo haistawishi jamii Bali inabomoa jamii
Mmejaza ma feminist hawana ndoa wanavunja ndoa za watu na kuhimiza talaka
Toka ofsini Mh
Unajua nn mheshimiwa, wee ndo unatakiwa ueleze hao wahusika, juu ya makundi maalumu, namna ya kuhudumiwa pindi wawapo ktk uwanda wao, na sio kuwatupa kwa LATRA kuwa wafuate sheria na kanuni, km ambavyo usajiri wao uko.Mimi sijambo kabisa, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa majicho yangu ποΈ π.
Sasa, hakuna kipindi ustawi wa jamii imejipambanua kwenye majukumu yake kama hivi sasa. Subiri data uje uone kwa kiasi gani hoja za kijamii kutafuta huduma za ustawi wa jamii zimeongezeka ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla ya wizara hii ambapo, walikuwa hawajui uwepo wa kada hii wala huduma zake.... Utaona taasisi huru za kijamii zilizohamasika kuungana na ustawi wa jamii kwenda kuelimisha jamii, ngoja tusimalize habari taarifa ya utekelezaji wa miaka mitatu ya wizara hii yaja.....
πππ Tayari umeshama kwenye mjadala wewe rafikiAhsante waziri kwa kujibu comment zetu. Ila najua hapa unajibu kwa niaba ya serikali ila rohon unajua Khali halisi ya watanzania waziri ww mtu kama ww ni muhimu sana ktk nchi ubarikiwe mama
Kama una binti mimi sijaona makaa japo niwe mkwe wako
Kumeanza kukucha sasa, ππππNadhani unakaa ofsini sana
Hujui uhalisia wa udhaifu wa hiyo Taasisi yako ya ustawi wa Jamii
Hiyo haistawishi jamii Bali inabomoa jamii
Mmejaza ma feminist hawana ndoa wanavunja ndoa za watu na kuhimiza talaka
Toka ofsini Mh
Kwahio sisi ambao sio watoa hizo huduma ila tunaona sehemu fulani hapako sawa au tuna ushauri au tunaona hao wasajili hawafanyi kazi yao, au tunaona miaka nenda rudi status quo haifanyi kazi tunazungumza wapi au kutoa maoni yetu wapi ? Au hatuna Say yoyote kwenye huu mjadala ?Watu waliosajiliwa kutoa huduma kwa mujibu wa sheria hutoa maoni kwa msajili na siyo kuacha kutoa maoni kisha kuendelea kuvunja Sheria huku wakisema, sisi tumesajiliwa na hii. Hapo kidogo inakuwa mtihani bila majawabu
Asante Kwa muda wakoBenki yetu ya maoni kutoka kwenye jamii inasema tofauti na yako haya. Tukubaliane tu kutofautiana maana taifa la watu milioni 62 huwezi kupata maoni yanayofanana. Na ninapoenda field nikileta taarifa hapa hukomenti, na ninapofanya kliniki ya jamii kidigitali napokea taarifa za nchi nzima Kila asubuhi kutoka kwenye jamii zako sipokei.
Hapa tu Nina rufaa ya kesi ya kilosa ... na iringa nk..... Yaani mimi nimepewa neema kubwa ya kuwa nipo ilipo jamii na jamii yenye uhitaji inajua hili..... Tunasonga mbele... Na wewe ukinihitaji au jamaa zako wape namba za wizara ziko tano na namba za maafisa ustawi wa jamii mikoa yote na 116 (24 hrs) na yangu 0765345777 waandike ujumbe.
Fursa ya kidigitali inatuunganisha ki teleconference dailyπ
Ona umoja huu π
Maoni yako ni muhimu sana ila ni kufahamu tu kuwa maoni gani target ni wapi. Unaweza kuwa na maoni mazuri ila sasa wapi huwa unatoa ukajikuta una miss target π― na yakaishia njianiKwahio sisi ambao sio watoa hizo huduma ila tunaona sehemu fulani hapako sawa au tuna ushauri au tunaona hao wasajili hawafanyi kazi yao, au tunaona miaka nenda rudi status quo haifanyi kazi tunazungumza wapi au kutoa maoni yetu wapi ? Au hatuna Say yoyote kwenye huu mjadala ?
Nadhani hizi technicalities na kujibanza nyuma ya so called utaratibu unazuia watu kutoa michango yao positive, binafsi nadhani kila raia ana civic duty ya kusema lolote popote kama anaona kitu fulani hakipo sawa na yoyote mwenye masikio anaweza akalichukua na kulifanyia kazi au kulifikisha linapoweza kufanyiwa kazi no matter amelisikia kutoka wapi. Sababu mimi ni Janitor haimaanishi nikiona vyombo ni vichafu na nina muda na uwezo wa kufanya sitafanya hivyo, au nitaacha kumwambia fundi bati kwamba alivyoozeka bati linavuja.
Shukrani Sana, nawe pia ahsante Sana kwa muda wako na kuchangia mjadala. Nina Imani maoni haya yataleta mchango chanya kwenye maboresho mbalimbali. Duniani Kila sauti huwa ina maana yake ikichambuliwa vema hivyo, tuendelee kushirikiana daima π€ πAsante Kwa muda wako
Asante sana mheshimiwa waziriShukrani Sana, nawe pia ahsante Sana kwa muda wako na kuchangia mjadala. Nina Imani maoni haya yataleta mchango chanya kwenye maboresho mbalimbali. Duniani Kila sauti huwa ina maana yake ikichambuliwa vema hivyo, tuendelee kushirikiana daima π€ π
Basi wale ambao inabidi waya-consume hayo maoni ndio wanamakosa sababu kama bado wana njaa (kuna mambo hayaendi sawa) basi the ONUS is on them kutafuta maoni yote ambayo mengine yali miss target na kuyachekecha na kuona kama yanaweza kutumika..., after all sababu issue kama hii ipo kitambo tangi enzi za kina Tambaza kuwapiga Makonda na mpaka leo zinaendelea basi common sense inaniambia hazijawahi kutafutiwa ufumbuzi..., be it sasa hivi zina afadhali which means makonda wamestaarabika kidogo; sasa kuliko kuendelea kutegemea cha ndugu-zetu (ambao nao ukisoma benki akaunti zao na mikopo unaweza kuwaonea huruma) kwanini tusiboreshe na vya kwetu ambavyo vingine tumeviua mfano kina UDA...Maoni yako ni muhimu sana ila ni kufahamu tu kuwa maoni gani target ni wapi. Unaweza kuwa na maoni mazuri ila sasa wapi huwa unatoa ukajikuta una miss target π― na yakaishia njiani
Taasisi za huduma hizi Zina viongozi wake, hizo changamoto zote waende huko LATRA wawasilishe wajadili. Ndiyo maana ya kutoa huduma kwa mujibu wa sheria iliyokusajili. Kumnyima mtoto mdogo huduma ni kuvunja Sheria uliyoitii ikusajili. Na ukivunja Sheria hatua zake ni kuwajibika kisheria. Hivyo, dawa ya kukwepa yote haya ni kurudi kwa msajili na kuzungumza. Mambo ndiyo huenda hivyo tafadhali na siyo vinginevyo.
Mwishoni mwa mwaka jana tulikuwa tunarekebisha Sheria na 21 ya mtoto ambapo, utaratibu wa kutangaza jamii ilete maoni ulifanyika kupitia tovuti mbalimbali kuanzia ya Bunge Ili wa online nao wapate muda wa kuchangia na mimi nikaleta hapa JF kuwa jamani someni mtoe maoni, uliza sasa wangapi walikuja kutoa hayo maoni yenyewe πSheria nyingi sana katika hii Nchi yetu zina mapungufu makubwa Sana, nyingi hazitekelezeki (impracticable laws). Hazitekelezeki kwa sababu Sheria hizo zimekuwa zikitungwa bila ya kufanyika kwa ushirikishaji mpana wa Umma. Wananchi wenyewe binafsi wamekuwa hawashirikishwi kwenye michakato ya awali kabisa ya Uanzishwaji wa hizo Sheria. Sheria nyingi sana kama siyo zote kabisa zimekuwa zikitungwa kwa mtindo wa zimamoto