Ni mfano halali kabisa. Pia watoto wapewe sare, viatu, daftari nk karibu na bure na wenye maduka!Mbona serikali haiamuru wanafunzi kula mgahawani Bure? Kwani watoto hawapati njaa shuleni
Kwanini serikali iwaonee daladala, serikali haijui hii ni biashara
Msimamo wangu: ili kuepuka usumbu wanafunzi walipe nauli kamili
Wee mama Vicky unajificha kwenye kichaka cha usajiri, sheria na kanuni zake. Ili kuitetea serikali, kwa kua wee unalamba asali.Na mimi najiuliza swali moja: unaenda kusajili biashara, unasoma Sheria na kanuni unaelewa kuwa, kwa utaratibu huu hapa sitapata faida, bado unasajili na maoni hutoi wala ushauri, unaingia kwenye mkataba wa kisheria kwa huduma hiyo halafu unaenda kutekeleza unakiuka Sheria, watu wanakulalamikia, unasema msinilalamikie..... Jamani kwani hii inaitwaje jamani? π
Hawezi kujibu hili, kuna swali nilimuuliza jana hajajibu hadi sahivi, na nilitaka ajibu ili tubambane zaidi, kaamua kukimbia.Ukiachana na sheria
Je mmefikiria kununua magari ya kuwabeba wanafunzi kama ambavyo wanafanya wenzenu wa Shule za private?
Jibu hili swali kwanza.
Hatari sana hawa latra wangetusaidia huku daladala hizi muda wa abiria wengi, zinajibanza nyuma kidogo ya vituo rasmi ili watupige bei kubwa kwa lengo la kupata siti. Hii changamoto ya miakaWee mama Vicky unajificha kwenye kichaka cha usajiri, sheria na kanuni zake. Ili kuitetea serikali, kwa kua wee unalamba asali.
Chukua maoni hapa, wapelekee wahusika huko, hakuna kuogopana, ukweli lazima tuseme. Iwe unataka au hutaki, habari ndo hiyo
Hili tutajadili siku nyingine, leo tuko na suala la ubebaji wa wanafunzi kwenye dala dala.Hatari sana hawa latra wangetusaidia huku daladala hizi muda wa abiria wengi, zinajibanza nyuma kidogo ya vituo rasmi ili watupige bei kubwa kwa lengo la kupata siti. Hii changamoto ya miaka
cocastic bhanaπWee mama Vicky unajificha kwenye kichaka cha usajiri, sheria na kanuni zake. Ili kuitetea serikali, kwa kua wee unalamba asali.
Chukua maoni hapa, wapelekee wahusika huko, hakuna kuogopana, ukweli lazima tuseme. Iwe unataka au hutaki, habari ndo hiyo
Hujambo mkuuRhabhekhaaaa!! ππ
Mie sijambo, hofu kwako.Hujambo mkuu
Niko salama BrotherMie sijambo, hofu kwako.
Maoni hata wewe unaweza kuyapeleka tu moja kwa moja Ili yabaki original bila usanifu. Namba zenyewe kwa urahisi wako ndiyo hizo hapo tafadhaliWee mama Vicky unajificha kwenye kichaka cha usajiri, sheria na kanuni zake. Ili kuitetea serikali, kwa kua wee unalamba asali.
Chukua maoni hapa, wapelekee wahusika huko, hakuna kuogopana, ukweli lazima tuseme. Iwe unataka au hutaki, habari ndo hiyo
Katika hili nakupongeza Mhe Waziri kwa kufanyika daraja na kutoa majibu ya maswali japo kwa ufupi hakika wewe ni kiongozi wa kuigwa , kama wizara zote zingekuwa na viongozi active kama wewe hakika Kuna lawama nyingne zingepungua katika jamii. Chukua maua yakoNi kweli kabisa maoni ni hatua endelevu na hapa sasa mmejua na mawasiliano ya kituo cha LATRA nadhani sasa ni kuendelea kutoa mrejesho moja kwa moja. Ahsante Sana kwa muda wako.
Siyo lazima nijibu Kila kitu kwa kuwa haya ni maoni na siyo mahakamani ambako lazima ujibu hivyo, kama unayo mengine tiririka tu kwa kumbukumbu na matumizi ya baadae tafadhali π€Hawezi kujibu hili, kuna swali nilimuuliza jana hajajibu hadi sahivi, na nilitaka ajibu ili tubambane zaidi, kaamua kukimbia.
πππππ
Tuendelee kushirikiana daima na wale wa kuiga mazuri yangu machache Mungu awape Rehema βπ»Katika hili nakupongeza Mhe Waziri kwa kufanyika daraja na kutoa majibu ya maswali japo kwa ufupi hakika wewe ni kiongozi wa kuigwa , kama wizara zote zingekuwa na viongozi active kama wewe hakika Kuna lawama nyingne zingepungua katika jamii. Chukua maua yako
Unajifanya unatukana bila kuwa hata na nidhamu. Issue kama hii imekuwa raised humus na kiongozi wa serikali wewe unalibeba jukumu la matusi badala ya kujadili hoja.We khanisi lazima utetee unyanyasaji kwa watoto!
Sio ruti rasmIHiyo route imesajiliwa lini LATRA?
NI route ya kufoji ingawa njia ipo nzuri tu, so polisi wana haki ya kuwakamata. Lakini kama ujuavyo, ukikamatwa huko unatoa chochote kitu unatembea.
Ila Mheshimiwa mama Dorothy gwajima,hili suala ni very sensitive kwa upana wake ni muhimu wadau wanaohusika waelimishwe na sio kushurutishwa.Hapo kwenye bango kuna namba za LATRA, hebu katoe maoni tafadhali. Uwe na jioni njema ya Baraka βπ»ππ½