Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
Sijambo Dr,Hujambo? Kadri jamii inavyoendelea kuniTag kuhusu hoja mbalimbali, nitaendelea ku reply kadri ya mipaka ya majukumu ya wizara hii na kuwaongoza kuhusu nini zaidi kifanyike iwapo wanahitaji maelezo zaidi. Ahsante sana.
Umenikumbusha aisee..!! Kwenye DCM unatanguliza bag unalirushia dirishani halafu nafata mwenyewe kupitia dirishani 😹😹😹Na vitoto vya siku hizi mayaimayai sana...Wenzao tushakula rumba sana kwenye DCM za TMK -Mwenge,na unasukumana na konda hadi unawahi kwa Kipingu....sasa siku hizi konda anawaambia hao watoto hakuna kupanda vimekaa tu kama vi broiler vinapelekwa kibra.We LIKUD njoo huku uone raha ya kusoma shule za serikali.
Ila waziri hili suala la usafiri muwafikirie na wafanyabiashara, huwezi kupakia wanafunzi route ya Temeke-Tegeta kwa 200..!!🤣🤣🤣🤣🤣 Wala hasweki ndani na mtu yoyote ila unabaki unamtazama tu ligi ya maneno makombe yote abebe yeye maisha yaendelee mbele
Huu uzi huu unasomwa moja kwa moja na LATRA. Ninachofanya mimi siku zote huwa ni kuwafungua macho jamii wajue mifumo na miundo na wajibu na majukumu ya vyombo mbalimbali Ili siku ingine wasiwe wanahangaika wanapokuwa na hoja kumtafuta gwajimad. Siku moja hatakuwepo na elimu itabaki kwao na itawasaidia. Uzoefu umenionesha kuwa, wengi hawajui miundo, mifumo, vyombo na taasisi na majukumu yao na hata wizara mbalimbali pia hawazijui, nani sasa atoke kuwapa elimu? Si kama hivi sasa tunapeana elimu 🤗Sijambo Dr,
Unafanya vizuri ila pia kama ulivyochukuwa wajibu wa kuwaeleza wananchi juu ya sheria mbalimbali pia ungechukua maoni yao kuyapeleka sehemu husika ili yakafanyiwe kazi kuliko kutaka mwananchi mmoja mmoja ayapeleke mwenyewe wakati wewe upo kuwawakilisha wananchi huko serikalini
Kundi fulani lipi?Kwanza nashukuru nimepata wasaa wa kujibizana nawee mama Vicky, maana kusemezana na waziri sio jambo dogo.
Afu ujue nn, mie nakukubali sana, tena mnoo, afu ni shabiki ako toka uko wizara ya Afya. Napenda pia unajipambanua wazi wazi ktk kutatua changamoto za wizara yako, hata za wizara nyingine ikiwa utahitajika uhusika wao.
Kongole kwako mama Vicky, bado nina jambo nawee kuhusu kundi maalumu fulani, nikitulia nitaleta hapa km uzi, na nita kutag ili uweze kutoa hata suluhisho na wengine wafaidike pia.
Uwe na siku njema!! 💖💖
Wanafunzi hawasafiri bure, bali wamepangiwa nauli kwa kuzingatia uwezo wao, na kuwa watu wazima wanavyolipa nauli inafidia msafirishaji asipate hasara. Hivyo sio sahihi kwa msafirishaji kukataa kubeba wanafunzi.Mbona serikali haiamuru wanafunzi kula mgahawani Bure? Kwani watoto hawapati njaa shuleni
Kwanini serikali iwaonee daladala, serikali haijui hii ni biashara
Msimamo wangu: ili kuepuka usumbu wanafunzi walipe nauli kamili
Eheeeeee yaani nadhani we unaelewa nichozungumza maisha ni vita hao madogo wachangamke aisee🤣🤣Umenikumbusha aisee..!! Kwenye DCM unatanguliza bag unalirushia dirishani halafu nafata mwenyewe kupitia dirishani 😹😹😹
Kundi flani au sio😂😂Kundi fulani lipi?
Coca ushaanza kutaka kutetea vidampa!! 😀
Wamezidi kudeka mno, hawajui maisha mapambano..!!Eheeeeee yaani nadhani we unaelewa nichozungumza maisha ni vita hao madogo wachangamke aisee🤣🤣
Hapo ni vidampa hakuna jipya 😹😹Kundi flani au sio😂😂
Ukomavu wa kidemokrasia🤣🤣🤣🤣🤣 Wala hasweki ndani na mtu yoyote ila unabaki unamtazama tu ligi ya maneno makombe yote abebe yeye maisha yaendelee mbele
Mmmh mbona kama unamsingizia mwenzio jamani?itakuwa anataka kutetea wanawake na watoto😅😅Hapo ni vidampa hakuna jipya 😹😹
Subiri aandike huo uzi uone.
Sio kuwa hawana elimu bali mifumo ya serikali ndio mibovu hata ukitoa maoni sehemu husika kwa mwananchi wa kawaida hayafanyiwi kaziHuu uzi huu unasomwa moja kwa moja na LATRA. Ninachofanya mimi siku zote huwa ni kuwafungua macho jamii wajue mifumo na miundo na wajibu na majukumu ya vyombo mbalimbali Ili siku ingine wasiwe wanahangaika wanapokuwa na hoja kumtafuta gwajimad. Siku moja hatakuwepo na elimu itabaki kwao na itawasaidia. Uzoefu umenionesha kuwa, wengi hawajui miundo, mifumo, vyombo na taasisi na majukumu yao na hata wizara mbalimbali pia hawazijui, nani sasa atoke kuwapa elimu? Si kama hivi sasa tunapeana elimu 🤗
Thubutuu!! Subiri uone. 😹😹Mmmh mbona kama unamsingizia mwenzio jamani?itakuwa anataka kutetea wanawake na watoto😅😅
Yaani ni vizembeee....kuna familia nilienda mtoto kamaliza form 4 hajui kkoo,nilichoka sana.....sasa huyo ndio akapande daladala konda akimpiga biti moja analala stand....Wakati enzi zako shoga yangu ukitoka shule huyooo mara ukaogelee mto mzinga,mara siku nyingine uko Rongoni,mara ununio yaaani ni tafrani🤣🤣🤣🤣🤣Wamezidi kudeka mno, hawajui maisha mapambano..!!
Na mfollow ili akiandika tu ninao😁😁😁Thubutuu!! Subiri uone. 😹😹
😹😹😹 umenichekesha mpk machozi yani nilikua na hekaheka jamani..!!Yaani ni vizembeee....kuna familia nilienda mtoto kamaliza form 4 hajui kkoo,nilichoka sana.....sasa huyo ndio akapande daladala konda akimpiga biti moja anala stand....Wakati enzi zako shoga yangu ukitoka shule huyooo mara ukaogelee mto mzinga,mara siku nyingine uko Rongoni,mara ununio yaaani ni tafrani🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja kwanza Makonda wavichangamshe...😂😂😹😹😹 umenichekesha mpk machozi yani nilikua na hekaheka jamani..!!
Wazazi pia inabidi wajiongeze,ukijifanya kuna sheria itamlinda mtoto hakika watakao umia ni watoto wetu....Hii nchi yenyewe inaeleweka hata ukilipeleka hilo gari LATRA bado na kesho utaliona linapiga route hapo ndio utajua hujui....Tulinde watoto wetu,waatengezenezee mazingira rafiki kwenye kusaka maarifaHatari Sana.
Wewe unakaa Bunju au Kijichi huko unataka upeleke mtoto Bunge kwa kutegemea hisani za makondakta. Mtoto kutwa nzima kuhangaika na hekaheka za barabarani.
Ndio maana Dsm ni Moja ya mikoa inayofelisha Sana hapa nchini.
Kama kila kata kuna shule ya serikali kwa nini Watoto wapande daladala kwa gharama za wafanyabiashara? Mbaya zaidi inakuwa lazima hapo ndipo dhulma ilipo.
Labda hiyo Sheria iwe ilitungwa zamani shule zikiwa chache lakini Kwa sasa haina Tija Sana