Ninyi waislam dini yenu imejaa utapeli na kudanganya juu ya kupokea mapokea ya kimwili ya waarabu juu ya mavazi na ujinga mwingi lakin ninyi maisha ya kiroho hamuyawezi kabisaAsante
Verry good, tena wanavuliwa chupi, kwanza akikujibu nitag.Etugrul Bey Mbona haujajibu zaidi ya kutoa maoni yako tu?
Zile video siyo fake zimepigwa Makkah na mwandishi mwanamke Msaudia aliyelalamika yupo. Siyo mtu wa kufikirika.
Kuna post moja imewekwa humu ya mwanamke anapigwa makofi na askaii wa ulinzi wa hapo hapo Makkah al kaaba. Hiyo nayo unasemaje?
Mwisho kama Mwijaku tu anaweza fanya usanii kwenye alkaaba wanaume watashindwa nini kutomasa wamama wanaokuwa hawajavaa hata chupi?
Ajenda nyingine tofauti ndiyo!Kama hayo unayaona ni maoni kwako ni sawa
Kuhusu askari kumpiga kibao huyo mwanamke inaweza kutokea ingawa sidhani kama ni jambo zuri hasa ukichukulia mtu yupo kwenye ibada,ni swala la kuelekezana tu
Napinga muislamu kufanya matukio ya aibu huko al kaaba,labda huyo anayefanya hayo ameenda kwa ajenda nyingine tofauti
Naomba nijibu nukta moja au mbili kati ya yale ambayo umeyaelezeaAjenda nyingine tofauti ndiyo!
Wewe unatetea vitu chanya vinavyostahili kufannywa, ni sawa kabisa kutokana na imani yako, lakini je kama vipo vitu hasi vinavyofanyika, wewe unavikanusha kwa fact za utafiti gani ulioufanya?
Hao wenye ajenda zingine, wewe unawezaje kusimama kuwatetea?
Kwanza utaratibu huo mbovu wa kuvua nguo zote na kujitanda kipande cha shuka nani aliuasisi?
Kama ndiyo wahenga waanzilishi, hamuwezi kuubadili huo utaratibu mkaendana na mazingira ya hali halisi ya mbanano wa watu wanaokuwepo!
Kwa hiyo ukiambiwa kuna 'lambalamba' kwenye mwendo kasi, utasimama na kukanusha kwa sababu wewe haujawahi kushuhudia?
Umejiingiza kwenye utetezi wa kutetea dini kishabiki sana.
AsanteNinyi waislam dini yenu imejaa utapeli na kudanganya juu ya kupokea mapokea ya kimwili ya waarabu juu ya mavazi na ujinga mwingi lakin ninyi maisha ya kiroho hamuyawezi kabisa
Endeleen kudanganyana huku mkiongea kiarabu lugha ya Allah
Hiyo ibada haijaanza leo,,,kuna wajinga wanataka kuichafua hiyo ibada na hawaweziHuna facts unaongea hisia zaidi. Badilisheni utaratibu wa kutenganisha wanaume na wanawake huko ibadani.
Hiyo ibada tayari imeshachafuka. Mwijaku anaongelea no reforms no election hapo kwenye hiyo kaaba kuashiria hakuna utukufu wowote... msipojirekebisha Shirima hatasita kufungua duka la kitimoto maeneo hayo.Hiyo ibada haijaanza leo,,,kuna wajinga wanataka kuichafua hiyo ibada na hawawezi
Kwani ngono siyo ibada? Kama siyo, kwanini wote mnavaa nguo moja tena bila kitu ndani ili iweje? Kwanini muwatenge miskitini huku uswahilini lakini mchanganyikane nao umangani kama hamna ajenda ya siri?View attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Ngono siyo ibadaKwani ngono siiyo ibada? Kama siyo, kwanini wote mnavaa nguo moja tena bila kitu ndani ili iweje? Kwanini muwatenge miskitini huku uswahilini lakini mchanganyikane nao umangani kama hamna ajenda ya siri?
Huu nfio ukweli,hata,hii ibada haifanyiki mara,moja,inafanyika kila saa,kwa,siku na anayemaliza,anaondoka,iweje mwanamke ajiingize katikati ya mkusanyiko wa wanaume.Huku tu,tunachanganyika masokoni,mqshuleni,kwenye daladala,hayatokei hayo ya kudhalilishwa ila mtu atake mwenyewe.View attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Wanaume na wanawake wanavyaa nguo tofauti.Kwani ngono siiyo ibada? Kama siyo, kwanini wote mnavaa nguo moja tena bila kitu ndani ili iweje? Kwanini muwatenge miskitini huku uswahilini lakini mchanganyikane nao umangani kama hamna ajenda ya siri?
Acha kudanganyana kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,na kudanganyika.Ninyi waislam dini yenu imejaa utapeli na kudanganya juu ya kupokea mapokea ya kimwili ya waarabu juu ya mavazi na ujinga mwingi lakin ninyi maisha ya kiroho hamuyawezi kabisa
Endeleen kudanganyana huku mkiongea kiarabu lugha ya Allah
Wamekuelewa,ila watajifanya hawajakuelewa.Ngono siyo ibada
Ibada ni vitendo vizur na maneno mazuri anayoyapenda Mwenyezi Mungu
Ndugu yangu siku ya kiama tutasimamishwa mbele ya Mola wetu kama tulivyozaliwa siku ya kwanza,ila hakuna atakaye kuwa na muda wa kumuangalia mwenzake
Dhumuni la wote wanao enda kufanya ibada ya hija kuvaa vile kwanza ni kuonyesha uzalili wao na unyonge wao mbele ya Allah,watambue kwamba wao sio chochote mbele ya Mola wao
Pili wote wajisikie ni waja wa Mwenyezi Mungu na asiwe mbora mbele ya wengine,ndio maana mfalme,raisi,makamu wa raisi,tajir na maskini wote wanavaa nguo moja dhalili sana kuonyesha utumwa wao mbele ya Allah
Kwahiyo hawavai tuu kama kuvaa bali inawakumbusha haijalishi wana status gani katika maisha,wajue pale wapo kwa Mola wa viumbe na mfalme wa wafalme
Asante
Huu ndioHuo uwezekano hakuna kutokana na mazingira yao hapo hawako vocation,hapo wapo kwenye ibada tukufu
Kwa kila muislamu mwenye akili timamu na imani thabiti hawezi kufanya huo ujinga,nitasimami huo msimamo wangu
Huu ndio ukweliHuo uwezekano hakuna kutokana na mazingira yao hapo hawako vocation,hapo wapo kwenye ibada tukufu
Kwa kila muislamu mwenye akili timamu na imani thabiti hawezi kufanya huo ujinga,nitasimami huo msimamo wangu
Wewe ndio hao wanawake hadi ubishe?View attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Wanawake wanavaa chupi au skin tight?Wanaume na wanawake wanavyaa nguo tofauti.
😸😸😸😸🤓kumnawa