Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

Kumbe wanaingia pale wakiwa hawajavaa makufuli na wanabanan waume kwa wake????? Heheehhh MUDI MUZUNGU anateleza anatelezaaaaaaaaaaaaaa.......
 

Attachments

  • 20250331_154242.jpg
    39.5 KB · Views: 24
Mzee naona bado hujanielewa, hayo ni maswala ya marketing tu, it's simply marketing.

Na ndio maana nika point out kwamba majority of consumers wa hizo porn ni watu wa middle East ambao majority are muslims, unadhani kwann??

Tofautiana, binadamu tuna kinks(desire) tofauti, wewe maybe unapenda wanawake wa kizaramo, mm napenda wanawake wa kihaya, mwingine ni muislamu ila anapenda wanawake wa kikristo, mwingine ni mkristo lakini anapenda wanawake wa kiislamu.
Unadhani kwa watu wenye kink na wanawake wa kiislamu "aesthetically" hawatotamani kuangalia hizo aina za porn zinazosema "muslim woman f*cks" ??
Simply ni maswala ya marketing na kuongeza diversity.

Ukiachana na huo mfano wako, kuna category za racial porn, utakuta wameandika....
"Hindu woman gets f*cked by white guy" unadhani wanajaribu kuwachafua Indians/Hindus??

"Japanese woman f*cked by black guy" unadhani wanajaribu kuwachafua Japanese women??

Don't take it personal, wanataka tu kuongea watazamaji.

Okay let's say ndio wanataka kuuchafua uislamu hio haipaswi kukupa wewe presha.
Mwamini Mungu wako.
Muabudu Mungu wako.
Mpende Mungu wako.
Muweke Mungu wako moyoni mwako, usiangalie pembeni, usiangalie watu wanafanya nn, mara yule kasema hivi kuhusu uislamu, mara yule kaandika hivi kuhusu uislamu, utaumiza kichwa na kukukosesha raha bure.
Dini ya kweli ni mahusiano kati yako wewe na Mungu wako, wakiigiza video zao ngono wakaandika "muslim woman f*cked" inakupunguzia nn kweny mahusiano yako wewe na Mungu wako?

Tengeneza mahusiano mazuri na Mungu wako achana na wanadamu, kama Mungu unayemwamini ni wa kweli na ana uwezo, atashughulika nao yeye mwenyew.
 
Binafsi sitaki kujadili uhalisia wa hilo tukio, ila kiukwel mamlaka ya saudia inafanya makosa sana kuruhusu FBI walinde mecca. Allah katika quran anatwambia alimuamrisha muhammad awafukuze makafikir wasihudumie mahujaj hapo mecca.
 
Kwenye m Kwenye maelezo yako kama unaingia na kutoka hivi

Satirical iko hivi dini ni kitu sensitive sana,tofauti na utaifa au makabila

Iko hivi uislamu ni dini ambayo imenyoka na imejipambanua kupinga aina zote za maovu na machafu,tofauti na dini nyingine ambazo zinalegeza misimamo yao juu ya mambo fulani fulani

Kwahiyo unatajwa uislamu makusudi kuonyesha kwamba hata mabinti wa kiislamu wanacheza porn,trust me hii huwaathiri mabinti wengine wa kiislamu kuona kwamba kumbe haya mambo yanawezekana

Hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya ila wanaingiza fikra kwa vijana wa kike wa kiislamu ili baadae washawishike kufanya hayo machafu

Nadhani katika hili tulimalize ibakie kukubaliana kwa kutokukubaliana

Katika uislamu mafundisho yetu yana tutaka kuamrisha mema na kukataza mabaya,ndio maana tumeitwa sisi ni umma bora

Kwahiyo kuamrisha mema na kukataza mabaya ni ibada na maagizo kwetu

Halafu tambua kitu kimoja,jamii ikiachwa iharibike jua kwamba hata kizazi chako kitaharibika,mathalani tusipo upiga vita ushoga ujue kijana wako na wangu hawatakuwa salama baada ya mda fulani

Kwahiyo acha hizo vifra za kusema nimwabudu Mungu mwenyewe,nimuamini mwenyewe na kadhalika wakati ametupa maelekezo ya kuwa mabalozi wa kuamrisha mema na kukataza mabaya

Sisi tunafanya kazi walizo fanya mitume ingawa wao hawapo lkn tunaendelea kuyafanya yale ambayo walifanya kutengeneza umma bora

Asante
 
Uzalili ni nini?
 
Kwaiyo ww unadhan pale saudia hamna wahuni...au unadhan watu wote wanasafiri.
Hoja yako haina mashiko
 
Kama waenda hija ni hawahawa kina mwijaku, point number 2 na namba 3 hazina mashiko.

Ukiangalia unafiki wa mwijaku na ukasoma sheria za Mungu, Makkah na Yerusalemu ni miji inayokuzwa na propaganda.
 
Let's wrap this up.

Sijasema usiwe against porn, Pinga aina zote za pornography, sio tu zile zilizoandikwa "muslim woman gets f*cked"

Ukisikia kuna maswala ya abuse yamefanyika, hata kama yanachafua uislamu, fuatilia kwa kina na simama upande wa haki, usikimbilie tu kusema "Uongo"

Wote tukifanya hivo, nadhani tutakuwa umma bora.
 
Kama watu wanahalalisha kuoa binti wa miaka 6, tushangae hilo tena kwa watu wazima..
Kama kweli moto upo, kuna watu watachomwa na moto wa makaa ya mawe, sababu ya unafiki wa kiwango cha juu
 
Kuna watu akili zao wazijua wenyewe chance ndogo tu akiipata anachofanya huwezi kuamini hata ukiadithiwa..
Nimeshangaa jamaa anajifanya hajui Kuna watu wa hovyo wengi tu kama Mwijaku wanakwenda huko. Tena mpaka video karekodi halafu huyu jamaa anajifanya hajawaona wahuni wakifanya uhuni huko.
Mtoa mada Kuna tofauti kati ya IDEAL situation na REAL situation.
Pili watu wakisema ubaya usikimbilie kutetea tu.. Mengine ni sehemu ya kujisahihisha.
 
Huna hoja yoyote upuuzwe vikali

Kama mwijaku nae kaenda na kufanya mambo ya hovyo kama Yale hivyo kupinga kwamba wanawake hawa nyanyaswi kingono ni kujitoa ufahamu tu. Kwa watu kama mwijaku lolote linaweza kutokea muda wowote hata kama ni hadharani ama kwa kificho!
 
Pointless
 
Hivi ndani ya lile jiwe Kuna nini Hadi kina Mwijaku waliomba.
 
Iko hivi uislamu ni dini ambayo imenyoka na imejipambanua kupinga aina zote za maovu na machafu,tofauti na dini nyingine ambazo zinalegeza misimamo yao juu ya mambo fulani fulani
Mkuu una uhakika?
 
Hivi ndani ya lile jiwe Kuna nini Hadi kina Mwijaku waliomba.
Lile sio jiwe ni nyumba yenye chumba kimoja kikubwa,na nyumba hiyo imefunikwa na kitambaa cheusi

Na waislamu hawafanyi shiriki ya kuomba kitu kingine isipokuwa Allah tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…