Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #61
Kwahiyo mwijaku ndio mtu wa kumtolea mfano katika uislamu?Huna hoja yoyote upuuzwe vikali
Kama mwijaku nae kaenda na kufanya mambo ya hovyo kama Yale hivyo kupinga kwamba wanawake hawa nyanyaswi kingono ni kujitoa ufahamu tu. Kwa watu kama mwijaku lolote linaweza kutokea muda wowote hata kama ni hadharani ama kwa kificho!
Mwijaku ni nani kwenu? Mbona kila mtu anamtolea mfano mwijakuNimeshangaa jamaa anajifanya hajui Kuna watu wa hovyo wengi tu kama Mwijaku wanakwenda huko. Tena mpaka video karekodi halafu huyu jamaa anajifanya hajawaona wahuni wakifanya uhuni huko.
Mtoa mada Kuna tofauti kati ya IDEAL situation na REAL situation.
Pili watu wakisema ubaya usikimbilie kutetea tu.. Mengine ni sehemu ya kujisahihisha.
Mwijaku ni mwislamu pure.Kwahiyo mwijaku ndio mtu wa kumtolea mfano katika uislamu?
Ebu jiongeze basi
Mwijaku anatabia ya kujionyesha lkn hawezi kufanya mambo ya aibu kama hayo yanayo semwaMwijaku ni mwislamu pure.
Tunamtolea mfano kuwa watu wenye tabia kama hizo wanaenda pia hija..wewe umesema mtu huyo anakuwa na kicho na utii kwa mwenyezi mungu kiasi kwamba mwanamke si kitu kwakwe.
Hapo una sahau kuna watu wenye akili kama mwijaku wapo na huenda.
Inawezekana kwa Makka tuKumbe inawezekana kuswali bila kutenganishwa ibadani
Unajua kwa nini walisukumana?Unalosema mtoa mada huenda ni kweli,lakin kwa ule msongamano ubanane na mwanamke hana chupi unazan abdala kichwa wazi atashindwa kusimama?
Atasimama na utamgusa mwanamke wa watu na atasema umemfanyia makusudi kumbe hata sio kweli
Kama watu waliwah kufa hapo kwa kusukumana,unazan kwann isiwezekane watu kubambiana
Ni kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa sana ya watu ambayo eneo lilishindwa kuwahandleUnajua kwa nini walisukumana?
Ni sahihi lkn maafa yalitokea kwasababu ile kaaba ndio nyumba ya kwanza kuwekwa kwa ajili ya kumwabudu MunguNi kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa sana ya watu ambayo eneo lilishindwa kuwahandle
Watu wengi sana wanaharibu ibada zao kwa kujionyesha,kitendo cha kujionyesha kuwa nawe ulienda kuhiji unaharibu ibada yakoToka nilipoanza kuona watu wanajipiga mapicha hapo,nikajua tayar hapo watu wameshapachafua
Sheikh Unajichanganya sana. Kwa hiyo tunakubaliana watu wana kosea kwenye ibada wapo au unapinga kabisa hawawezi kuwepo?Watu wengi sana wanaharibu ibada zao kwa kujionyesha,kitendo cha kujionyesha kuwa nawe ulienda kuhiji unaharibu ibada yako
Na kwa mujibu wa uislamu,ukifanya ibada ya kujionyesha basi utalipwa thawabu na hao ambao unajionyesha kwao
Kwamba kule binadamu anaondolewa hisia za kibinadamu za matamanio?Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Pale tunazungumzia sehemu tukufu sana,na sio namtumbo paleKwamba kule binadamu anaondolewa hisia za kibinadamu za matamanio?
Kweli dini inawafanya watu easier rational, wasitumie akili yao sawasawa kufikiei kwa uhuru.
Kwa fikra kama hizi ndipo baadhi ya waumini huwaweka hatarini wake na watoto wao mbele ya viongozi wazinzi wabakaji.
Unakuta mtoto analalamika anatendewa sivyo na mchungaji, padri au sheikh, au maalumu wa madrasa mzazi haamini anamuadhibu mtoto kwa kumzushia kiongozi wa dini.
Shetani alianza uhasi akiwa sehemu tukufu kwa mtukufu mwenyewe Mungu.Pale tunazungumzia sehemu tukufu sana,na sio namtumbo pale
Asante
Watu wanakosea kwenye ibada ndio,lkn je kwa makosa gani?Sheikh Unajichanganya sana. Kwa hiyo tunakubaliana watu wana kosea kwenye ibada wapo au unapinga kabisa hawawezi kuwepo?
Swali la pili, alichofanya Mwijaku kiko Sawa au sio Sawa? Na usije kuuliza Mwijaku ni nani kwenye uislam. Jibu ni muislam. Tunamtaja kwa sababu ni mfano Hai wa watu waliofanya mzaha hapo mahali patakatifu.
Mimi nafikiri kilichowakwaza ni kejeli na kebehi za watu tu lakini concern ya GBV ni genuine. Na sio kosa la Uislam Bali binadamu.
Unachotaka kutuaminisha kuwa kila anaekwenda hijja anabadilika ghafla na kuheshimu dini 100% ni UONGO na UOGA wa kukosolewa.