Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #81
Je chanzo cha uovu wa shetani kwa Mungu ni unyanyasaji wa kingono?Shetani alianza uhasi akiwa sehemu tukufu kwa mtukufu mwenyewe Mungu.
Eneo halimuondolei hisia za ngono au ubazazi binadamu.
Noma sana.Shetani alianza uhasi akiwa sehemu tukufu kwa mtukufu mwenyewe Mungu.
Eneo halimuondolei hisia za ngono au ubazazi binadamu.
Hawa huwa wanapenda sana ligi pale linapokuja swala la uislamuHizo ni propaganda za makafiri Yani shekhe kaacha wake 4 nyumbani alafu abambie mwanamke katika ibada kubwa kama hiyo?
Makafiri Wana shida sana
Je chanzo cha uovu wa shetani kwa Mungu ni unyanyasaji wa kingono?
Kwani hakuna wanaopenda ligi linapokuja suala la kikristo?Hawa huwa wanapenda sana ligi pale linapokuja swala la uislamu
Ni wa kuwapuuza tu baadhi yao
Hapa unatuonea tu makafiri. Hizi mada wamezianzisha ndugu zenu katika Imani tena huko Saudia.. Sisi ni mashabiki tu. Shida yenu mkikosolewa mnaona uislam unashambuliwa.Hizo ni propaganda za makafiri Yani shekhe kaacha wake 4 nyumbani alafu abambie mwanamke katika ibada kubwa kama hiyo?
Makafiri Wana shida sana
Mkuu hao nao hawaelewi makafiri ni nini?Hapa unatuonea tu makafiri. Hizi mada wamezianzisha ndugu zenu katika Imani tena huko Saudia.. Sisi ni mashabiki tu. Shida yenu mkikosolewa mnaona uislam unashambuliwa.
Nikuulize mbele Yako kuna mwanamke hajavaa chupi wewe upo nyuma yake hujavaa chupi Wala boxer mna vi mtandio tu umelibana Tako la mwanamke Hana chupi , dudu lazima iamke yenyewe bila wewe kupendaMwijaku ni nani kwenu? Mbona kila mtu anamtolea mfano mwijaku
Watu wa hovyo wapo lkn sio hapo alkaaba,na wingi huo wa watu ambao wanafanya ibada hapo huo ujinga mtu ataanza kuufanyia wapi?
Msiwe wepesi wa kupokea vitu na kuviamini kirahisi tu,think big
Kwa hiyo na shetani anakaa sehemu tukufu? Maana yupo apo anapigwa mawePale tunazungumzia sehemu tukufu sana,na sio namtumbo pale
Asante
King Mswati ana wake 15 na bado akaenda kuoa mtoto wa Jacob Zhuma.Hizo ni propaganda za makafiri Yani shekhe kaacha wake 4 nyumbani alafu abambie mwanamke katika ibada kubwa kama hiyo?
Makafiri Wana shida sana
Ni wachache mnoKwani hakuna wanaopenda ligi linapokuja suala la kikristo?
Nimemuelewa sana,,akili kichwani kwakeUmemuelewa anachoamaanisha?
Huna akili mleta mada, unawajua binadamu au unawasikia? Shehe aliyezoea kufira watoto wa miaka 5 madrasa atashindwa nini kushika kalio la mwanamke Makka?View attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Hakuna kitu kama hichoo.Ni wachache mno
Thibitisha kwamba si kweli!!View attachment 3283640