Madai ya watuhumiwa kulawitiwa na kupigwa video na picha za uchi. Je, wanaorekodi wanazipeleka wapi?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
 
bonface mwangi kwa drama anafahamika vizuri,
apuuzwe tu :pulpTRAVOLTA:
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Swali lako ni gumu kulijibu.....waulizwe wao!
 
Hao matapeli, yaani aingiliwe kinyume na maumbile halafu kesho yake aitishe kikao na waandishi wa habari? Labda kama ni mzoefu
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Kilichokufanya uamini ni kitu gani?
 
Nenda na wewe wakuingilie afu ufanye drama
anatafuta pesa kwa kiki za kijinga mno mwangi,
in fact angeguswa huko nyuma na kitu fulani hangeweza hata kutembea au kuongea, angekua hana nguvu hata ya kutoa machozi kinafiki vile :pulpTRAVOLTA:
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Hiyo kazi hufanywa kwa kuagizwa, hivyo video huchukuliwa na kumpelekea mtekaji mkuu kama uthibitisho kwa ajili ya malipo ya kazi hizo ovu. Mtekaji mkuu anajua matukio yote kwa uhakika maana anapelekewa video.
 
Back
Top Bottom