Madai ya watuhumiwa kulawitiwa na kupigwa video na picha za uchi. Je, wanaorekodi wanazipeleka wapi?

Wakisharekodi hizo video huwa wanampelekea kule Dodoma aangalie watu wanavyofumuliwa marinda. Anapenda hizo video kwa kuwa naye ni mdau.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mbona jamaa alisema hakulawitiwa ila aliingiziwa matango kwenye puru...
 
Ushafanyiwa kwahiyo unajua inakuaje, enhee tueleze ukifanyiwa kesho yake huwezi amka? Wala kuongea. Tupe wewe uzoefu wako siku ya kwanza ilikuaje?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jamani BL, Kwanini lakini?
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Baada ya kukushtukia ukijifanya mtu wa mfumo, una kamamlaka kwenye wizara now ni Dr? Nyuuoookooo wewe ni kauka nikuvae tu, acha kujipa tittle zisizo zako. Hakuna Dr mjinga na punguani kama wewe. Wewe ni mlendamlenda tu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naomba unisaidie mwandishi,hivi ukiacha mwangi na agatha ni kina nani wengine waliwahi kutoa hayo madai?
 
Tanzania tumejidhalilisha kinyama. Kuna jamaa wakati kenya inapiga makelele kaniandikia msg. Anauliza hii tabia ni kweli dola inawafanyia mahabusu unyama huo. Na picha ya Mwandi na yule dada kanitumia. Ilibidi nimblock hali ya hewa ipite.

2017 alitaka kumshawishi boss wake awekeze Tanzania kwa sababu anafanyakazi Kenya na Afrika kusin.

Kipindi cha Magu kila mtanzania hatakaa asahau lile dishi lilivyoyumba.

Ule mradi waliupeleka Zimbabwe.
 
Huu ni itamaduni wa coastline, huenda Hawa ni mercenaries from visiwa vya marashi.
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau

Uhalifu mbaya kama huu unakidhi vigezo vya mashitaka chini ya Mahakama ya Uhalifu dhidi ya binadamu ya ICC -The Hague. Watawala wa nchi hii wanapaswa kulitambua suala hili.
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Wanampelekea Chura Kiziwi labda

Au humwelewi Jezebel ni mwanamke wa namna gani?

Huyo ndiye mama wa ukahaba duniani!
 
Huwa wanaambiwa wakae kimya, siku wakiropoka Video zao zinaachiliwa, ila naona yule Mkenya kagoma kukaa kimya.

Ndiyo maana utaona wengi Watanzania waliotekwa, Huwa wanasema kidogo tu then wanaahidi kusema zaidi wakati mwingine, na wengi huamua kuhama Nchi.
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Kwa aliyewatuma Kama ushahidi ili wamaliziwe malipo.. Mara nyingi hizi kazi chafu hulipwi kabla. Unalipwa baada.. Sana sana utapewa kianzio
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Wanawatishia wasitoe siri
 
Back
Top Bottom