Madai ya watuhumiwa kulawitiwa na kupigwa video na picha za uchi. Je, wanaorekodi wanazipeleka wapi?

Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Wanampelekea aliyewatuma
 
Hiyo kazi hufanywa kwa kuagizwa, hivyo video huchukuliwa na kumpelekea mtekaji mkuu kama uthibitisho kwa ajili ya malipo ya kazi hizo ovu. Mtekaji mkuu anajua matukio yote kwa uhakika maana anapelekewa video.
Alaaniwe na vizazi vyake
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Vida Tafadhali
 
Polisi wa mama
 
Scripts za hao wapumbavu kutoka kenya ...Wajinga kabisa eti mtu abakwe si ujinga kabisa ,hakuna polisi mwenye akili hizo.
Na je vipi wale Watanzania wanaotoa madai ya kufanyiwa maovu kama hayo?
 
Wewe umewahi kuongilia au kuingiliwa Ili uweze kujua the appropriate time interval? Btw tangu tukio limetokea mpaka anaongea na press kuweka kumbukumbu sahihi ni muda Gani? How do you know kwamba ni the following day after the abuse was done? Mjinga wewe
Wewe hapana umenfurahishaa 🤣
 
Na je vipi wale Watanzania wanaotoa madai ya kufanyiwa maovu kama hayo?
Inawezekana watanzania ,kumbuka hilo kosa hata CCM hawawezi kuruhusu ,hao jamaa ni wanaharakati na wanajulikana kimataita kama yule wa uganda ...Hizo drama achaneni nazo hakuna mwenye roho hiyo ,kama ile ya Maria Sarungi kutekwa kenya.

Hapo wanatafuta pesa ,kaa kijanja.
 
Naomba unisaidie mwandishi,hivi ukiacha mwangi na agatha ni kina nani wengine waliwahi kutoa hayo madai?
Watatoaje wakati wanaona aibu, hilo ni jambo la haya eti! Ni hao tuu ndo hawana aibu kufichua walotendewa ndo wengine now wanaanza kuinuka na kusema
 
Msiba wa kujitakia hauna pole. Hao wageni wapigwe tena wakiendelea kuingilia yasiyowahusu huko kwao kuna shida tele aanze na kwao.
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Kimsingi waliowateka Mwangi na Atuhaire wako nyuma sana ya teknolojia wale wana vipandikizi mnemba kwenye miili ndio maana hata walipowavua nguo kukwepa vipandikizi vya kwenye nguo bado vya kwenye miili yao viliweza kuchukua matukio mazima namna walivyowafanyia. Siku sio nyingi matukio yataanza kurushwa hadharani hasa kampeni za uchaguzi zikianza watawala watashika midomo wazi kwa kutenda matendo maovu bila kutumia maarifa ya kukopa kwenye teknolojia.
 
Sidhani
 
Huu ni itamaduni wa coastline, huenda Hawa ni mercenaries from visiwa vya marashi.
Mijamaa inabaka na kulawiti afu ikiwa inawashughulikia inawaambia ******* Asante Samia
 
Back
Top Bottom