Madai ya watuhumiwa kulawitiwa na kupigwa video na picha za uchi. Je, wanaorekodi wanazipeleka wapi?

Drama ya kusema umeingiliwa kinyume nw maumbile?
huwezi kuguswa huko nyuma halafu ukae kwenye kiti kama alichokali huyo mwangi comfortably na kuongea na waandishi wa habari kwa ufasaha na sauti nyororo kama huyo mwangi mzee wa drama :pulpTRAVOLTA:
 
Hiyo kazi hufanywa kwa kuagizwa, hivyo video huchukuliwa na kumpelekea mtekaji mkuu kama uthibitisho kwa ajili ya malipo ya kazi hizo ovu. Mtekaji mkuu anajua matukio yote kwa uhakika maana anapelekewa video.
Aiseee
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Unataka utumiwe hizo video uzitumie kupiga masterbshn?
 
Hao matapeli, yaani aingiliwe kinyume na maumbile halafu kesho yake aitishe kikao na waandishi wa habari? Labda kama ni mzoefu
Wewe umewahi kuongilia au kuingiliwa Ili uweze kujua the appropriate time interval? Btw tangu tukio limetokea mpaka anaongea na press kuweka kumbukumbu sahihi ni muda Gani? How do you know kwamba ni the following day after the abuse was done? Mjinga wewe
 
Wewe takratakra mimi ni daktari
 
Hiyo kazi hufanywa kwa kuagizwa, hivyo video huchukuliwa na kumpelekea mtekaji mkuu kama uthibitisho kwa ajili ya malipo ya kazi hizo ovu. Mtekaji mkuu anajua matukio yote kwa uhakika maana anapelekewa video.
Nimewaza hivyo pia. Mtekaji mkuu anahakiki kama kazi ukweli ilifanyika kabla ya malipo kwa watekaji.
 
Vipi na wewe umeishafirwa ndo ukaamini kuwa huwa wanafirwa?

HELA ZA FORD FOUNDATION ZITAWAFANYA MUONGEE HATA KWA KUJIDHALILISHA SANA
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Kikosi cha utekaji kina kila aina ya mashetani. Nadhani hata wale walionusurika kumuua Tundu Lissu ni class fulani ya mabanditu waliong'olewa DNA za ubinadamu wakapandikizwa DNA za wanyama. Hivi mtu anajisikiaje anapolipwa mshahara kwa ajili ya kuteka na kuua watu anaenda kula na familia yake. Anaenjoy maisha kweli? Yaani mtu unaua watu ili kufanya familia yako iishi? Unakuwa na furaha na amani hapa duniani kweli?
 
Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.

Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.

Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?

Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.

Karibu wadau
Wakisharekodi hizo video huwa wanampelekea kule Dodoma aangalie watu wanavyofumuliwa marinda. Anapenda hizo video kwa kuwa naye ni mdau.
 
Hilo nimejiuliza pia, If anal rape is being used on male victims, what does that say about the psychology of the perpetrators? Je, wanatafuta tu udhalilishaji au pia wanaelekea kwenye tabia za kishoga zilizopinduka kimaadili? 🤔
 
Scripts za hao wapumbavu kutoka kenya ...Wajinga kabisa eti mtu abakwe si ujinga kabisa ,hakuna polisi mwenye akili hizo.
 
Back
Top Bottom