Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,421
- 30,962
Mnashangalia ujinga.
Kama ambavyo wao walifanya ujinga kuingilia yasiyowahusu.
Mnashangalia ujinga.
Kusikiliza kesi ni ujinga?Kama ambavyo wao walifanya ujinga kuingilia yasiyowahusu.
Vitendo vya hovyo kama hivi ,lengo kunyamazisha wahanga , that's wengi huwa hawajitokezi kusema adharani ,kwa kuhofia utu wao kuwekwa wazi katika jamii na kumharibia mhusika katika jamii kwa kumchafua, ila dawa sio kukaa kimia ni kusema tu mbwai mbwai ,bora jamii kujua kuliko kukaa kimiaNi aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video.
Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa niliamini.
Swali ni je, kina nani hao wanaingilia watuhumiwa kinyume na maumbile?
Je Wanaorekodi video za uchi wanazipeleka wapi au wanaziuza wapi?
Je hiki kikosi kina Mashoga? Maana kumuinngilia mwanaume kinyume na maumbile(anal sex) sio rahisi.
Karibu wadau
Kusikiliza kesi ni ujinga?
Kenya,Uganda na Tanzania ni East Africa na hushirikiana kwa mambo mengi.Huko kwao hakuna kesi za kusikiliza?
Washenzi halafu wanasema hawataki ushoga Tanzania wakati ni mashoga makubwa.Jamaa wakala mzigo kwa zamu - hii dhambi ni kubwa mno mno. Na wakati wanakula wanamwambia muhusika aseme jina la kiongizi mkuu kwamba ni shujaa - aisee!!
Kenya,Uganda na Tanzania ni East Africa na hushirikiana kwa mambo mengi.
Tanzania ya leo siyo ile tuliyoizoea.Kumbe shule za kata zina madhara makubwa katika ulimwengu huu na ujao.Ukihitajika utaitwa sio kujipeleka. Ishi nayo hiyo hata wewe at personal level.
Tanzania ya leo siyo ile tuliyoizoea.Kumbe shule za kata zina madhara makubwa katika ulimwengu huu na ujao.
Next move yupo ubeberuni yeye na familia yake.
Kwamba wewe kuwa daktari unashindwa kusema what is appropriate time tangu mtu kufanyiwa hivyo anafaa aje Kwa public kuongea?Wewe takratakra mimi ni daktari
Kwamba akili za polisi ni kupiga watu hadharani tu?Scripts za hao wapumbavu kutoka kenya ...Wajinga kabisa eti mtu abakwe si ujinga kabisa ,hakuna polisi mwenye akili hizo.
Ukute na wewe ushaingiliwa kinyume na maumbile ndio maana povu tele.Nenda na wewe wakuingilie afu ufanye drama