Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai


Bro huo ni ushamba tu. Kuna maisha ya hayo mambo.
 
Gharama zitaongeza kwenye wizara,
Tunaingia gharama kubwa kufundisha lugha mbili ambazo hazileti matokeo Mazur kwanini?

Tuwe na lugha mmoja Tu kama ni Kiswahili AU English,
Baadaye MTU atajifunza lugha anayotaka mwenyewe
 
Tabia ya ukimbelembele isiyo na maana yoyote ile, nao hao masudani yamejitakia why hayakwenda Kenya au Uganda acha yakome tu
 
Mkuu iyo contracts zitakuwa ni za Kiswahili AU English,na lizama bidhaa unayo iyuza iwe na maelezo ya kutosha , ili mnunuzi anunue
Kwamba tranlators wamekufa, sasa kwanini niishie tu kwenye kujua lugha ili nisome mkataba kwanini nisisome kabisa Sheria ? Kwahio niuza Russia nijifunze niongee Kirusi na German niongee Kijerumani ? Narua Lugha ni Nyenzo muhimu ila haupunguzi umahili wa mtu katika their core skill...; Mfano naenda kwa doctor fulani sababu anaongea sana kisukuma lakini utabibu wake una mashaka,,,
 
Inategemea na tasnia for sure, kama ni mfanya biashara au mkulima for sure lugha haiplay major role.
Lugha ina maana sana ni communication bila ku-communicate ni tatizo kwahio hata mabubu wana lugha za alama; wafanya biashara kuna lugha yao, na wakulima pia kuna lugha zao (jargon n.k.) hata madaktari wana lugha zao ambao mtu wa kawaida huenda usielewe...

That said huwezi kuja kwangu mimi wewe ndio una shida alafu unasema hunielewi sababu sijui lugha unayojua wewe (jifunze ili unielewe) na mimi nikija kwako tafanya hima nikuelewe
 
Hata Russia na Germany wanajifunza English,
Tena Germany vyuo vyao vinataka international students wanajua English fluently kabisa
 
We mzee unataka kuwaponza watu , waje kupata aibu ukubwani
 
N
Mkulima wa parachichi huko mbeya Kwa kina chichi akiwa na anafanya mawasiliano na wateja wa nje ya Nchi, mfano wateja wa south Africa atazungumza lugha Gani ?
Nn kaz ya technology na Artificial intelligence? Hapo hamna nguv kubwa kuwasiliana. Ndo maan bidhaa za china zimetapakaa ulimwenguni!
 
N

Nn kaz ya technology na Artificial intelligence? Hapo hamna nguv kubwa kuwasiliana. Ndo maan bidhaa za china zimetapakaa ulimwenguni!
AI si imukuja juzi Tu hapa ,
 
N

Nn kaz ya technology na Artificial intelligence? Hapo hamna nguv kubwa kuwasiliana. Ndo maan bidhaa za china zimetapakaa ulimwenguni!
Kumbe ndio maana munaleta bidhaa feki kutoka china coz munatumia AI na translater
 
Mkuu Asante 🤝
 
Mkuu wa idara anajifanya bubu
Mkuu Bora hata MD rika la wastani 45,
Ila above hawa ila 45> ni kichekesho Sana,
Sijui walifoji vyeti
Sijui ni madeni ya mikopo inawachanganya akili
Mkuu wa idara wapi Temeke au.
Mbna wako Vizuri wote na wote ni Vijana na hata Ubungo.Pia...
Mayb kuna tatizo mahali ambalo hawakuliweka wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…