Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuchukua number za sim za watoto wa Ki Sudan mmeshindwa, daa mmeliabisha TaifaNgoja madaktari tutoe utetezi kwenye hili DR Mambo Jambo Dr Restart DR HAYA LAND
Mna kipi cha kuongeza hapa. Ila mimi nadhani madaktari walijaribu kurusha vocal wakachemsha 😃😃 siamini kwamba lugha ndio tatizo
Hilo atajibia pia DR HAYA LANDHata kuchukua number za sim za watoto wa Ki Sudan mmeshindwa, daa mmeliabisha Taifa
😀😀Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.
Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.
Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma
Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
Sasa ningeandika Kwa english, hata comments zimekuwa chache Sana, na kusudi la Uzi kwa walengws lisinge fikiwa
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
yani hapo issue ni mchele bongo tena hakuna cha bure weka mchele hapo uone ppo zitavoongea hadi kichina hwang chin hong hanMwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
Inashangaza sana na kuchekesha maana watanzania wape habari kichwa watatafuta wao .Ukiniuliza mimi Ntakwambia kuna Shida nyingine tofauti na Language barrier..
Kwanini..
Kwanza Daktari ndo translator Mkubwa kwenye tasnia..
Kwa sababu anasikiliza Hostoria ya Mgonjwa kwa Kiswahili anaiandika maelezo kwa kingereza..
Halafu akishaiandika anaelezea kwa kiswahili kwa mgonjwa..
Pili sitaki kuamini kwamba Daktari akiwa Muhimbili anakuwa anaongea Kingereza vizuri ila akiwa Temeke,Mwananyamala na Ubongo kingereza kinamponyoka...
Maana yake ni kwamba Daktari akipata ajira mubimbili anaingiwa na pepo la kingereza anaongea.kingereza fresh kabisa....
Daktari huyo huyo akiajiriwa Temeke au Kigamboni pepo la kingereza linamtoka anakuwa hajui kingereza na anakuwa mkali..
Kuna kitu ambacho kinafichwa nyuma ya pazia..
Anywei..
Mafunzo ya Udaktari yote MD mpaka Zaidi ya hapo yanafundishwa kwa lugha ya kingereza hata Practical.zake zote hufundishwa kwa kingereza Presentation za wagonjwa Wodini plus mitihani ya Wagonjwa na clinical yote ni kwa lugha ya kingereza hata akiwa wodini ni hivyo hivyo...
Sasa ghafla mtu ambaye kasoma kingereza miaka 6 bila Chembe ya kiswahili ghalfa anasahau kingereza????
mwenye huo muda ni nani kwanza watu wana vijiwe vyao mazingira ya kazi magumu mambo ni mengi inshort...yani wao wamewamwaga tu kwamba waende wapewe tu ushirikiano bila kuwapoza wazawa mhh sisi tu tulio kua field bila kujituma mwenyewe unatoka mkavu.Haha 🤣, itakuwa wizarani wameifikichia pesa zao,
Ma daktari walivyo na madeni 🤣🤣, watauwana
Mkuu Hata Sisi tulikataa kabisa ile report, baada ya uchunguzi kufanyika ikabainika wazee English haipandi kabisa.Inashangaza sana na kuchekesha maana watanzania wape habari kichwa watatafuta wao .
Yaani kweli hao jamaa zangu walishindwa hata kuongea kilugha kwa kuchanganya na kiinglishi ili wasudani waseme Tz doctors wana morphology ngumu sana ?
Njooni na lingine sio hili la leo
Kiswahili ni uchafu wa lugha wa kwetu. Tuliema linapokuja suala la international communication, kiingereza hakikwepeki. Rais alishindwa kwenda nje kwa vile kiingereza kilikuwa kinampiga chengashauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
Huo ndio ukweRiii dokta.😅😅😅🤣🤣
Nilimisi Kucheka
Mi nimeshajibu 😁😁😆😆😃Ngoja madaktari tutoe utetezi kwenye hili DR Mambo Jambo Dr Restart DR HAYA LAND
Mna kipi cha kuongeza hapa. Ila mimi nadhani madaktari walijaribu kurusha vocal wakachemsha 😃😃 siamini kwamba lugha ndio tatizo
Mkuu kote wamezinguaMi nimeshajibu 😁😁😆😆😃
Kwenye #200 na #41..
Hapo kuna kitu kingine ila sio Kingereza..
Labda angeniambia Kule Temeke ENT ndo kuna wale maDr wachaga yule Dada na yule kaka wote Watu wa Marangu wale.."Mchaga na Kingereza wapi na wapi"...
CHLOROQUINE na QUININE, mseto, hizi zote ni biashara za politicians,Huo ndio ukweRiii dokta.
Ukishapata NEUROPATHY au PERIPHERAL NEURAL DAMAGE anakwambia usijali, hizo ni SIDE EFFECTS ZA KAWAIDA. Usijali, relax!!!!!
Miaka ya 2000's wazee wa madawa walituletea SUMU zinazoitwa CHLOROQUINE na QUININE, ukimeza masikio yanakufa kabisa unakuwa KIZIWI!
Lakini madaktari wakawa wanazigawa tu wanakwambia msihofu hizo ni SIDE EFFECTS ZA KAWAIDA TU, relax, hii ni SAYANSI! Hata ukiwa kiziwi haina shida, ni side effects za kawaida tu za KISAYANSII 🥺🧐🙄
Nyie watu mnatisha! Kila dawa kutoka kiwandani mnaisukumiza kwa wananchi bila kuhoji!
Hapo ukibalance story swala la posho halikosekani mzeeMkuu kote wamezingua
Yeleuwiiii 🤣🤣🤣🤣The panadol times two then wash mouth.. Put the mouth close