Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dokta una matatizo gani lakini? Eeeh? 🤣
 
hapo busara ndogo tu ilikosekana
kwa sababu lugha ya wazawa ndo inayotumika zaidi ilitakiwa hao wasudan wafundishwe kwanza kiswahili hata kwa mwaka mmoja ndo wapelekwe huko ili waende sawa
 
Niambie wewe mwenyewe unajivunia lugha ipi Kati ya English na Kiswahili ?
Mimi sijivunii chochote lugha ni nyenzo tu na nikipata muda na uwezo tajifunza lugha yoyote na popote pale napoongea naweza kuchanganya lugha yoyote ambayo itateleza kutoka kwenye ulimi wangu....nikiongea na google natumia sana english sababu google ananielewa vizuri nikiwa hapa jukwaani inategemea context na lugha ipi itatumia maneno machache kufikisha ujumbe...

Na bado nilitaka kujifunza C nikaona ngoja nijifunze c++ lakini nikaghairi nikasema sasa hivi mambo ya apps labda Ajax au Kotlin lakini nimejikita kwenye Flutter ili mashine na ziweze kunielewa
 
hapo busara ndogo tu ilikosekana
kwa sababu lugha ya wazawa ndo inayotumika zaidi ilitakiwa hao wasudan wafundishwe kwanza kiswahili hata kwa mwaka mmoja ndo wapelekwe huko ili waende sawa
Wizara ilijua MD Kwa kupitia masomo waliyo soma , kutema Yai haitakuwa issue kwao, but vise versa is True.
 
Sio kweli!!! Mtu amesoma muda wa miaka 40 unasema hajui kiingereza? Sio kweli, ni chuki tu za wabongo.Tunawajua.
 
Anhaa ushaisha boss wangu lakini wa mwezi unaoanza utakusubiri kwa hamu kwa hiyo ni wewe kukwea pipa kushuka maeneo ya kujidai
Asante dokta, ntafanya hima nije tuutafune huo mshahara nionje jasho lako!

Kama akiwepo na rafiki yangu DR Mambo Jambo itapendeza tutumbue minyama kwa pamoja huku namchamba kuhusu machanjo.
 
Sio kweli!!! Mtu amesoma muda wa miaka 40 unasema hajui kiingereza? Sio kweli, ni chuki tu za wabongo.Tunawajua.
Mzee hayo mambo yapo, na hawa MD mabubu wapo wengi Tu 😂
 
King -Eleza

Wewe kuwa na hapana wazo

Naona wazungu watoe asylum kwa watu wanao ona wananyimwa kujifunza kiingereza. loh
 
Sio kweli!!! Ww ulikuwepo wakati hao madaktari wanashindwa, kusikiliza kiingereza cha wasudani? Au ulisikia kwa mtu?
Kwani wewe ulikuwepo ? Na kama ulikuwepo mbona umenyamaza
 
Kwani wewe ulikuwepo ? Na kama ulikuwepo mbona umenyamaza
Naomba unijibu? Ulisikia daktari ameshindwa kumjibu huyo msudani??? Au ulisikia tu kwa watu??? Naomba jibu kijana. Usichafue madaktari wetu. Communication skills ni simple kuliko masomo wanayosoma hao madaktari. Yaan washindwe communication skills?? Acha uongo Dogo.
 
Sasa Kiswahili ni lugha ya kimaitaifa? Mpaka MTU ajifunze.
Kiswahili ni kiluga kama kilivyokuwa kisukuma
Tufanye wewe umeenda kwenye jamii ya maporini huko kwa wahadzabe, je ni jukumu lako wewe kujitunza kihadzabe ili muwasiliane au utawalazimisha wenyeji wali wajifunze kiswahili wakusikilize?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…