[emoji23][emoji23][emoji23]Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.
Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.
Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma
Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku [emoji119]
Hahah Usijali Ngoja niandae maokoto ya Posho za chanjo na Mshahara tuje tupige Mdudu na Bia za kwendaAsante dokta, ntafanya hima nije tuutafune huo mshahara nionje jasho lako!
Kama akiwepo na rafiki yangu DR Mambo Jambo itapendeza tutumbue minyama kwa pamoja huku namchamba kuhusu machanjo.
Eti kijana ππ.Naomba unijibu? Ulisikia daktari ameshindwa kumjibu huyo msudani??? Au ulisikia tu kwa watu??? Naomba jibu kijana. Usichafue madaktari wetu. Communication skills ni simple kuliko masomo wanayosoma hao madaktari. Yaan washindwe communication skills?? Acha uongo Dogo.
nimeishi nchi kadhaa Ulaya na marekani, zipo ambazo hawajui kiingereza kupita maelezo, na hawajisikii vibaya kwasababu kuanzia mifumo ya computer na kila kitu kimeandikwa na kinaendeshwa kwa lugha yao, na anathamini lugha yao kuliko kiingereza, sisi tu waafrika huku huwa tunaona kama mtu asipoongea kiingereza vizuri basi hana akili. mnasahau kuwa MUHAS hiyo hiyo mnayoidharau imewazidi vyuo vya kenya wanaoongeza kimombo zaidi, na pia, wapo madaktari wanajua kiingereza kilichopo kwenye vitabu na uhalisia wake ila kukiongea wanaweza wasiwe fluent sana.Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz πΉπΏ, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
Mkuu natambua juhudi za MD kwanzia mazingira Ambayo ni hatarishi kufanya kazi + maslahi dunia.nimeishi nchi kadhaa Ulaya na marekani, zipo ambazo hawajui kiingereza kupita maelezo, na hawajisikii vibaya kwasababu kuanzia mifumo ya computer na kila kitu kimeandikwa na kinaendeshwa kwa lugha yao, na anathamini lugha yao kuliko kiingereza, sisi tu waafrika huku huwa tunaona kama mtu asipoongea kiingereza vizuri basi hana akili. mnasahau kuwa MUHAS hiyo hiyo mnayoidharau imewazidi vyuo vya kenya wanaoongeza kimombo zaidi, na pia, wapo madaktari wanajua kiingereza kilichopo kwenye vitabu na uhalisia wake ila kukiongea wanaweza wasiwe fluent sana.
halafu, kwa MUHAS, nachelewa kusema huo unaweza kuwa uongo, kwasababu specialist wengi wa madaktari huwa wamesoma nje, wameishi nje, watashindwaje kuongea kiingereza sasa, na kama amefaulu hadi kufikia hatua ya kuaminiwa kufundisha, huyo anajua, sema labda mmeamua tu kuwachafua.
Nime cheka kinyamaπ€£πUnaombwa kuleta teaser wewe unaleta scissors ilimradi mambo yafanane na wakati wa mnara wa babeli πππ
Next time mzee mlete tuzungumze nae kijapani π€£πIla Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.
Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.
Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma
Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku π
Dahπ€£π, sija enda Shule, ila nili zungukwa na watu wanao specialize kwenye lugha hiyo.Ila ni aibu Mkuu
Imagine mtu amekupigia yeye simu lakini unatamani wewe ndiyo uikate ili kufupisha mazungumzo kuogopa Ung'eng'e
Unasingizia "I'm sorry can I get back to you soon"? I see some one is knocking my door ππ
kwa wastani, Watanzania wengi sana wanajua kuongea kiingereza kuliko wazungu wengi ukipima kila nchi moja moja, hii inatokana na kwamba, watanzania wote waliobahatika walau kufika form six hadi chuo, hao hata wakiongea broken English lakini wanao uwezo kucommunicate na kuwasiliana na yeyote duniani anayejua kiingereza. ukienda supermarkets bongo karibia zote zimeweka lugha zote mbili, kiingereza na kiswahili. ila kuna nchi ulaya huyo, chukua mfano Norway, Denmark, Finland, Italy, hata Ufaransa, majority wanaongea lugha yao tu na usijifikiri wameunganishwa ile Schengen kwa kiingereza no, kwasababu ulaya nchi zinazoongea English ni UK peke yake (Ireland, england, wales, scotland), zingine zote unaweza kuta english ni second au business language tu. nenda ujerumani, uswiss na ubelgiji, ,majority hivyo viingereza wamejifunzia vya kusafiria na biashara na sisi tunaweza kuwa tunajua kuliko wao.Mkuu natambua juhudi za MD kwanzia mazingira Ambayo ni hatarishi kufanya kazi + maslahi dunia.
Na nina tambua mchango wa kuokoa maisha ya wa tz πΉπΏ.
Nchi za ulaya wana EU Ambazo zinawaunganishwa kwenye mamba mengi, ss tuje Africa EA, AU π ukiziΓ ngalia Kwa umaki utaona ziko kisiasa Zaidi.
Sasa SS tz πΉπΏ tuna kitu gani nitakacho tuunganisha na dunia kama Sio lugha ya English ?
oga ndo nini....mshamba_hachekwi hi mada wanaigeria wange kazana ogaπ€£
Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde πππππππHao wasudan walitakiwa kujifunza kwanza kiswahili kwa mwaka mmoja. Wasitusumbue
Yani daktari kweli ushindwe kuwasiliana na msudani ambaye kingereza chakentena kiko wazi sana na hakina mbwembwe yeyote na wao wala sio kizuriβ¦hapo busara ndogo tu ilikosekana
kwa sababu lugha ya wazawa ndo inayotumika zaidi ilitakiwa hao wasudan wafundishwe kwanza kiswahili hata kwa mwaka mmoja ndo wapelekwe huko ili waende sawa
Naunga mkono hojaMwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz πΉπΏ, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
Sio kweli. Madaktari wa Sudani walioenda Tanzania wanaongea kiingereza kizuri sana.Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde πππππππ
Senior or boss, ni neno la yorubaoga ndo nini....
Hahahah hatari sanaβ¦β¦.Ma daktari wetu wameshinda hata kuchukua number za sim za watoto wa Sudan, daa Noma sana π€£
Mkuu hicho kingerezΓ cha kimakonde kikoje ?Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde πππππππ