Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.

Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.

Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma

Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
King -Eleza

Wewe kuwa na hapana wazo

Naona wazungu watoe asylum kwa watu wanao ona wananyimwa kujifunza kiingereza. loh
Serikali yako inataka kufundisha Masomo Kwa Kiswahili kwanzia vidudu mpaka vyuo vikuu
 
Naomba unijibu? Ulisikia daktari ameshindwa kumjibu huyo msudani??? Au ulisikia tu kwa watu??? Naomba jibu kijana. Usichafue madaktari wetu. Communication skills ni simple kuliko masomo wanayosoma hao madaktari. Yaan washindwe communication skills?? Acha uongo Dogo.
Eti kijana 😂👆.
Ela hivi sio wote but mostly of them wamepuyanga, ,
 
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi

Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.

Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.

Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.

Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.

Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.

Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.

So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.

Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.

View attachment 2918900
nimeishi nchi kadhaa Ulaya na marekani, zipo ambazo hawajui kiingereza kupita maelezo, na hawajisikii vibaya kwasababu kuanzia mifumo ya computer na kila kitu kimeandikwa na kinaendeshwa kwa lugha yao, na anathamini lugha yao kuliko kiingereza, sisi tu waafrika huku huwa tunaona kama mtu asipoongea kiingereza vizuri basi hana akili. mnasahau kuwa MUHAS hiyo hiyo mnayoidharau imewazidi vyuo vya kenya wanaoongeza kimombo zaidi, na pia, wapo madaktari wanajua kiingereza kilichopo kwenye vitabu na uhalisia wake ila kukiongea wanaweza wasiwe fluent sana.

halafu, kwa MUHAS, nachelewa kusema huo unaweza kuwa uongo, kwasababu specialist wengi wa madaktari huwa wamesoma nje, wameishi nje, watashindwaje kuongea kiingereza sasa, na kama amefaulu hadi kufikia hatua ya kuaminiwa kufundisha, huyo anajua, sema labda mmeamua tu kuwachafua.
 
Mkuu natambua juhudi za MD kwanzia mazingira Ambayo ni hatarishi kufanya kazi + maslahi dunia.
Na nina tambua mchango wa kuokoa maisha ya wa tz 🇹🇿.
Nchi za ulaya wana EU Ambazo zinawaunganishwa kwenye mamba mengi, ss tuje Africa EA, AU 👈 ukiziàngalia Kwa umaki utaona ziko kisiasa Zaidi.

Sasa SS tz 🇹🇿 tuna kitu gani nitakacho tuunganisha na dunia kama Sio lugha ya English ?
 
Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.

Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.

Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma

Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
Next time mzee mlete tuzungumze nae kijapani 🤣😁
 
Ila ni aibu Mkuu

Imagine mtu amekupigia yeye simu lakini unatamani wewe ndiyo uikate ili kufupisha mazungumzo kuogopa Ung'eng'e

Unasingizia "I'm sorry can I get back to you soon"? I see some one is knocking my door 🙌😜
Dah🤣😁, sija enda Shule, ila nili zungukwa na watu wanao specialize kwenye lugha hiyo.
So nili master mapema.
 
Mkuu natambua juhudi za MD kwanzia mazingira Ambayo ni hatarishi kufanya kazi + maslahi dunia.
Na nina tambua mchango wa kuokoa maisha ya wa tz 🇹🇿.
Nchi za ulaya wana EU Ambazo zinawaunganishwa kwenye mamba mengi, ss tuje Africa EA, AU 👈 ukiziàngalia Kwa umaki utaona ziko kisiasa Zaidi.

Sasa SS tz 🇹🇿 tuna kitu gani nitakacho tuunganisha na dunia kama Sio lugha ya English ?
kwa wastani, Watanzania wengi sana wanajua kuongea kiingereza kuliko wazungu wengi ukipima kila nchi moja moja, hii inatokana na kwamba, watanzania wote waliobahatika walau kufika form six hadi chuo, hao hata wakiongea broken English lakini wanao uwezo kucommunicate na kuwasiliana na yeyote duniani anayejua kiingereza. ukienda supermarkets bongo karibia zote zimeweka lugha zote mbili, kiingereza na kiswahili. ila kuna nchi ulaya huyo, chukua mfano Norway, Denmark, Finland, Italy, hata Ufaransa, majority wanaongea lugha yao tu na usijifikiri wameunganishwa ile Schengen kwa kiingereza no, kwasababu ulaya nchi zinazoongea English ni UK peke yake (Ireland, england, wales, scotland), zingine zote unaweza kuta english ni second au business language tu. nenda ujerumani, uswiss na ubelgiji, ,majority hivyo viingereza wamejifunzia vya kusafiria na biashara na sisi tunaweza kuwa tunajua kuliko wao.

although kwa upande mwingine daktari aliyesoma miaka sita sekondari, akasoma miaka sita chuo, na miwili specilization, (14yrs kwa kimombo) is expected to be fluent in English, pamoja na kwamba sijui kwenye masomo yao pengine kuna lugha za kidaktari ambazo mkiongea na daktari yeyote duniani ataelewa kwasababu wanatumia vitabu vilevile n.k.

kwani china kuna kiingereza? japan kuna kiingereza? hawatibu? korea kuna kiingereza? kwa Asia utakuta Singapore na HongKong na labda Taiwan ambao either walishawahi kuwa makoloni ya kiingereza au wapo close sana na wamarekani/waingereza ndio wapo fluent.
 
Hao wasudan walitakiwa kujifunza kwanza kiswahili kwa mwaka mmoja. Wasitusumbue
Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde 😂😂😂😂😂😂😂
 
hapo busara ndogo tu ilikosekana
kwa sababu lugha ya wazawa ndo inayotumika zaidi ilitakiwa hao wasudan wafundishwe kwanza kiswahili hata kwa mwaka mmoja ndo wapelekwe huko ili waende sawa
Yani daktari kweli ushindwe kuwasiliana na msudani ambaye kingereza chakentena kiko wazi sana na hakina mbwembwe yeyote na wao wala sio kizuri…
 
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi

Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.

Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.

Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.

Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.

Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.

Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.

So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.

Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.

View attachment 2918900
Naunga mkono hoja
 
Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde 😂😂😂😂😂😂😂
Sio kweli. Madaktari wa Sudani walioenda Tanzania wanaongea kiingereza kizuri sana.
 
Hao madaktari wetu kama hawawezi kuongea kingereza na wasudani wataweza kuongea na mgonjwa wa kimarekani kweli? Kwa sababu wa sudani kingereza chao kama wamakonde 😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu hicho kingerezà cha kimakonde kikoje ?
 
Back
Top Bottom