Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Unakalia roketi popote ulipo..
 
 
Kujifunza kiswahili for that period of time ya practical ni uongo, is why english ipo, even madkatari wetu entire syllabus ni english, sasa kama wamefuzu na hawajui, i doupt kiwango cha elimu yetu
Kwan hiyo na wewe unaamini Kuna daktari hawezi kuongea kiingereza cha kumuelekeza daktari mwenzake?
 
Kwamba wao walifadhiliwa na serikali tangu chekechea huko nje ya nchi mpaka washindwe kuzungumza kiswahili,hakuna lolote hapo wanajipaisha tu,kujua kiingereza si ubobevu katika taaluma husika.
 
Kwamba wao walifadhiliwa na serikali tangu chekechea huko nje ya nchi mpaka washindwe kuzungumza kiswahili,hakuna lolote hapo wanajipaisha tu,kujua kiingereza si ubobevu katika taaluma husika.
Ni Kweli mkuu, mambo ni mengi sana
 
Kutema yai ndiyo kigezo cha ubobezi au ni ulimbukeni tu?
Nimekaa nchi ya Finland kwa miaka mingi, na kigezo cha kupata kazi ya utabibu kule ni uzungumze na kukielewa Kisuomi kwa ufasaha.

Tunapaswa kujivunia lugha yetu maana hatutaweza kuwa wabunifu kwenye sayansi kupitia lugha za kigeni
 
Wao wenyewe wanasoma kwa kiarabu
The primary language of instruction in North Sudanese universities is Arabic. This is primarily due to the policy of "Arabicization" implemented in the country since the 1960s, which aimed to promote Arabic language and culture in education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ