Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipewa mwaka unasoma bure ? Ni choice yako ili uelewe vizuri unachukua language haulazimishwi kusoma...; Hayo mambo ya lugha ni ni vizuri hakuna aliyebisha na sio English tu hata kama unaweza kujua lugha zote za duniani poa tu..., ila kama haujui hata neno moja halikupunguzii umahili wako... Duniani madaktari magwiji na wa kutosha wapo huko Cuba ingawa umahili wao sio kwenye lugha kwahio wewe ukiwaleta hata kama hawajui kiswahili au english utawapa translator (its cheaper that way)Nchi za nje, unapewa mwaka mmoja wa lugha, hapa tumewapa kipindi gani?
Yes dkt hapimwi kwa lugha, but kuna scenarios unafanya kazi na dkts wa nje? Unadhani universal language ni ipi? English. Am sorry dunia imechange sana, hata wenzetu wana lugha zao, but wana kuwa recommended kufaham zaidi ya lugha moja, miaka ya kukarir only single language inaisha
Bila kiswahili unadhani hii Tanzania si ungekuwa ukitoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni kama umesafiri kwenda nchi nyingine ?Wadau naomba faida ya lugha ya Kiswahili Nchi Tanzania?
Kwani tz 🇹🇿 lugha ya kimaitaifa ni ipi?Nchi za nje, unapewa mwaka mmoja wa lugha, hapa tumewapa kipindi gani?
Yes dkt hapimwi kwa lugha, but kuna scenarios unafanya kazi na dkts wa nje? Unadhani universal language ni ipi? English. Am sorry dunia imechange sana, hata wenzetu wana lugha zao, but wana kuwa recommended kufaham zaidi ya lugha moja, miaka ya kukarir only single language inaisha
Hawa ndio wale makanjanja wanaotudunga machanjo ya ajabu ajabu kwa kukurupuka!BICHWA KOMWE - and DR Mambo Jambo mje mtoe muongozo kwenye hili.
Si wangetumia English kuwa ndio lugha kuwaunganisha wa tz 🇹🇿 woteBila kiswahili unadhani hii Tanzania si ungekuwa ukitoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni kama umesafiri kwenda nchi nyingine ?
Tanzania tuna bahati sana Africa (Kiswahili kinatuunganisha)
Hawa ni makanjanja, wakiwa chuoni wanasoma kiujanja ujanja mpaka wanatoboa.Ukiniuliza mimi Ntakwambia kuna Shida nyingine tofauti na Language barrier..
Kwanini..
Kwanza Daktari ndo translator Mkubwa kwenye tasnia..
Kwa sababu anasikiliza Hostoria ya Mgonjwa kwa Kiswahili anaiandika maelezo kwa kingereza..
Halafu akishaiandika anaelezea kwa kiswahili kwa mgonjwa..
Pili sitaki kuamini kwamba Daktari akiwa Muhimbili anakuwa anaongea Kingereza vizuri ila akiwa Temeke,Mwananyamala na Ubongo kingereza kinamponyoka...
Maana yake ni kwamba Daktari akipata ajira mubimbili anaingiwa na pepo la kingereza anaongea.kingereza fresh kabisa....
Daktari huyo huyo akiajiriwa Temeke au Kigamboni pepo la kingereza linamtoka anakuwa hajui kingereza na anakuwa mkali..
Kuna kitu ambacho kinafichwa nyuma ya pazia..
Anywei..
Mafunzo ya Udaktari yote MD mpaka Zaidi ya hapo yanafundishwa kwa lugha ya kingereza hata Practical.zake zote hufundishwa kwa kingereza Presentation za wagonjwa Wodini plus mitihani ya Wagonjwa na clinical yote ni kwa lugha ya kingereza hata akiwa wodini ni hivyo hivyo...
Sasa ghafla mtu ambaye kasoma kingereza miaka 6 bila Chembe ya kiswahili ghalfa anasahau kingereza????
Wa South sudan wanabonga English vizuri tuMeta mada muongo hao wa Sudan kingereza Chao shida sana chetu kina afadhali
Kwanini ? Hivi kwa Mtanzania kujua English au Swahili kipi ni rahisi (kutokana na mother tongue kwa mtoto ni rahisi kujua kingereza) hilo ni moja; Mbili hivi unajua lugha mpaka kufika hapa ni asset kubwa sana, ikikosa waongeaji si itakuwa dead language kama kilatini ?Si wangetumia English kuwa ndio lugha kuwaunganisha wa tz 🇹🇿 wote
Vipi wachina na wajapan, wafaransa na wajerumani umahili wao kwenye English ?Hatar sana, Sio tu madaktar hata mavyouni malecture hoihai. Nao Wana English ya kumeza tu. English itabak kua changamoto Kwa taifa. Na ukiangalia wenzetu Kenya wako vzr pamoja na kua ni nchi mdogo kupita ss economy Yao Iko juu. Lugha ndo kichocheo!
😅😅😅🤣🤣Hawa ni makanjanja, wakiwa chuoni wanasoma kiujanja ujanja mpaka wanatoboa.
Ukifika hospitali badala ya kupona unaongezewa tatizo lingine jipya, anaweza kukung'oa hata maini yote nje! Maini nje maini ndanii!!
Kanjanja linabukua hadi linakuwa dokta, usiombe ukumbane nae! Maini huna!!
Au kutokana na ujinga wake na akili ndogo isiyoweza kuhoji, anakudunga machanjo ya corona unapata NEUROPATHY au PERIPHERAL NEURAL DAMAGE unakufilia mbalii.
Vipi wachina na wajapan, wafaransa na wajerumani umahili wao kwenye English ?
Ukifatilia vzr hawa walikuza economy zao kupita industrial revolution, capitalism na wengine wakati wa slavery! Sasa hvi dunia imebadilika. Kuna decentralization!Vipi wachina na wajapan, wafaransa na wajerumani umahili wao kwenye English ?
Facts kabsa hiz mkuu, tatzo linakuja kwenye utekelezaj🤣Kiswahili hakijitoshelezi katika nahau na maneno ya medical terms.
Ni serikali isisitize kupata waalimu wa kiingereza wazuri kuanzia primary hadi A Level.
Serikali isione haya kuagiza waalimu wa kufundisha somo la kiingereza kwa unahiri ngazi ya primary, secondary school kutoka Malawi, Zambia, Zimbabwe, Uganda na Kenya.
5v
Baada ya miaka 10 - 15 tutakuwa na waalimu wetu mahiri wa kufundisha somo la kiingereza na pia watu mtaani, ofisini, sokoni, mnadani n.k watakuwa inapobidi wanazungumza kiingereza cha ufasaha kwa wingi hadi vijijini
Facts kabsa hiz mkuu, tatzo linakuja kwenye utekelezaj🤣
Dunia sasa hivi imebadilika ukitaka kuongea na wachina unachat nao wao wanaongea wanachojua wewe unaweza kuweka english yako ya kuunga unga lakini chat ina-translate mnaelewanaUkifatilia vzr hawa walikuza economy zao kupita industrial revolution, capitalism na wengine wakati wa slavery! Sasa hvi dunia imebadilika. Kuna decentralization!
Bora kukopa kuliko fedheha,Kiswahili hakitoshi, kina mapungufu mengi, hata ukisema tukitumie kufundishia bado kuna mengi sana ya kukopa.