BABUU ISAKI RITTE
Senior Member
- Jan 20, 2024
- 198
- 195
Kwa nini ni baadhi na si wote?.Baadhi Tu 😂 mkuu japo si Haba ni wengi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini ni baadhi na si wote?.Baadhi Tu 😂 mkuu japo si Haba ni wengi,
Mkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.
Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.
Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma
Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
Hufundishiki, nani wa kulaumiwa?Haha 🤣 binadamu Hatuko sawa
Na hapo ndipo utata ulipoSio poa.
Madaktari walitakiwa kuongea Kingereza muda wote wa kazi😆😆😆
Niliwahi tembea mikoa mbalimbali sidhani ata kama tunakijua kiswahili vizuri ,sehemu nyingi tu wanapiga kilugha na lafudhi ya kiswahili kibovu tu .Kwangu Mimi Kiswahili kimechangia kuleta umaskini nchi Tanzania
Hii ni Kweli nilikuwa na rafiki yangu msukuma tulikuwa wote chuo kikuu, akaniambia alitegemea akifika chuo ataweza kuongea English, lakini anashanga Yuko chuo na English bado haipandiKusoma MD au degree yoyote Hapa Tz na kujua kuongea kiingereza vizuri ni mambo mawili tofauti
Mfano ukifika chuo kikuu unaweza kukubaliana na hili ,yaani kuwa na degree na kuwa fluent katika kiingereza ni tofauti.
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
Shida inakuja mkenya anaongea English fluently, mbongo SS yes you knowNiliwahi tembea mikoa mbalimbali sidhani ata kama tunakijua kiswahili vizuri ,sehemu nyingi tu wanapiga kilugha na lafudhi ya kiswahili kibovu tu .
Nchi ya kenya wamenufaika kupitia kiswahili kuliko Tanzania kimataifa na kitaifa .
Ata wewe umefeli ,nini maana ya kuongea kiswahili "broken " kwa lugha ya kiswahili,Mkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?
Kwa mfano, hata wewe kwenye "comment" yako hapo juu, kama si "typing error", basi umekosea:
Tunaferi [emoji735]
Tunafeli [emoji736]
Yeah ni kweliMkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?
Kwa mfano, hata wewe kwenye "comment" yako hapo juu, kama si "typing error", basi umekosea:
Tunaferi ❎
Tunafeli ✅
Nasikia vilikua vijuaji balaaMwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi
Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.
Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.
Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.
Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.
Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.
Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.
So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.
Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
View attachment 2918900
Nchi za nje, unapewa mwaka mmoja wa lugha, hapa tumewapa kipindi gani?Mwenye shida ndio unajifunza kama Umekuja Bongo kwa Waswahili jifunze lugha...; Unadhani ukienda Russia huko hautajifunza lugha yao ?
Kujua na kuongea lugha au confidence ya kuongea lugha nyingine ni vitu viwili tofauti kabisa; In short Doctors are not measured their prowess by mastering a certain lingo...; kuelewa syallabus na masomo huitaji kuwa mahiri wa language englisha ya kuunga unga haikufanyi hushindwe kuelewa human anatomy
Ila ata wakenya japo kwenye kiswahili wana broken nyingi ila wana misamiati mingi sahihi kwenye kiswahili ambayo sisi hatuijui kabisa.Shida inakuja mkenya anaongea English fluently, mbongo SS yes you know