Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Sio poa.Ila Kiingereza bado ni changamoto kubwa sana Kwa wasomi wetu.
Ajabu wale waliosoma miaka ya 60/70/80 wanatema Lugha barabara sijui sisi wengine tunaferi wapi.
Nina rafiki yangu Mzungu anaishi London, weekend hii alinipigia simu Whatsapp, niliongea naye dakika 15 hivi baada ya kumaliza kuongea naye nikawahi Panadol faster maana kichwa kilishaanza kuniuma
Imagine sasa hao Madaktari wenyeji walipaswa kuongea nao Kila Siku masaa 7 ama 8 Kwa Siku 🙌
Madaktari walitakiwa kuongea Kingereza muda wote wa kazi😆😆😆