Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Mkuu unakosea Sana kutoa maamuzi ya jumla,
Hicho ndo ninachokijua Boss, make nimeishi nao kwa miaka kadhaa enzi tunatoka Arusha na mabasi ya Taqwa unapanda basi SAA kumi jioni, make basi lilikuwa linaanzia sAFARI DAR, then Namanga mpaka NRD, NRB Lodwar, Kakuma JUBA.
Unakaa JUBA visa ikiisha unarudi mpakani unagonga unarudi tena maisha yanaendelea. Enzi hizo bado ukikutwa unachepuka na tayari uko kwenye ndoa shimo linakuhusu mpaka shingoni alafu mawe mpaka ufe. Kama wewe ni balehe viboko 100. Kama sijakosea make ni siku nyingi nimetoka huko. Sisi tulikuwa tunaponea kwa wajasiriamali kutoka Uganda tofauti na hapo utapigwa upwiru mpaka uchakae.
 
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz 🇹🇿, hapa Nchi

Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.

Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.

Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.

Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.

Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.

Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.

So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.

Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.

View attachment 2918900
Aise,kama ni kweli basi Hali mbaya
 
Mwisho wa mwaka 2023 Wanafunzi wa masoma ya udaktari kutoka Sudan, wanao fadhiliwa masomo Yao na serikali ya tz [emoji1241], hapa Nchi

Walisambazwa kwenye hospital za hapa Dar es salaam, wakitokea muhimbili, Kwa ajili ya kufanya practical training . Ili kuwapa sehemu zingine Sio wote wakae Tu muhimbili.

Katika hospital walizopelekwa ni mwananyamala, Temeke, ubungo, kigamboni etc.

Waka kabidhiwa Kwa wakuu wa idara mbalimbali Katika hospital hizo.

Cha kushanga wakuu wa idara wakashindwa kuwapa ushirikiano wa kutosha , wakawa Wana kula Kona, wengine wanakuwa wakali ili wasiulizwe maswali.

Shida kubwa ni Kwamba ma daktari walishindwa kuongea Nao English, kama taifa tumeingia matopeni Tena coz masoma wanayosoma ni Kwa lugha ya English.

Kwa hiyo hawa wanafunzi wakawa Wana lalamika kukosa ushirikiano report ikaja kuwa kuna language berrier. Na hawawezi Endelea Tena na practical training Yao, coz hakuna wanaoweza kufanya Nao communication.

So mwanzoni wa February 2024 ikabidi warudishwe muhimbili wakamalizie practical training Yao.

Ushauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.

View attachment 2918900
Na wewe ni Daktari? Siyo "language berrier" ni "language barrier"
 
Back
Top Bottom