Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Wadau naomba faida ya lugha ya Kiswahili Nchi Tanzania?
 
Ukipewa mwaka unasoma bure ? Ni choice yako ili uelewe vizuri unachukua language haulazimishwi kusoma...; Hayo mambo ya lugha ni ni vizuri hakuna aliyebisha na sio English tu hata kama unaweza kujua lugha zote za duniani poa tu..., ila kama haujui hata neno moja halikupunguzii umahili wako... Duniani madaktari magwiji na wa kutosha wapo huko Cuba ingawa umahili wao sio kwenye lugha kwahio wewe ukiwaleta hata kama hawajui kiswahili au english utawapa translator (its cheaper that way)
 
Kwani tz 🇹🇿 lugha ya kimaitaifa ni ipi?
 
BICHWA KOMWE - and DR Mambo Jambo mje mtoe muongozo kwenye hili.
Hawa ndio wale makanjanja wanaotudunga machanjo ya ajabu ajabu kwa kukurupuka!

Ukimgusa kidogo, ooooh mimi ni mwanasayansi!! Kingereza hajuiiiii, ni majangaaaa!

Huko chuoni wanasomaje kama lugha ya kufundishia hawaielewi??

Hawa ndio watu unawaokabidhi mwili wako jumla jumla ili wakutibu huku wao wenyewe hawaelewi wanachotibu!

Cc: DR Mambo Jambo
 
Bila kiswahili unadhani hii Tanzania si ungekuwa ukitoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni kama umesafiri kwenda nchi nyingine ?

Tanzania tuna bahati sana Africa (Kiswahili kinatuunganisha)
Si wangetumia English kuwa ndio lugha kuwaunganisha wa tz 🇹🇿 wote
 
Hawa ni makanjanja, wakiwa chuoni wanasoma kiujanja ujanja mpaka wanatoboa.

Ukifika hospitali badala ya kupona unaongezewa tatizo lingine jipya, anaweza kukung'oa hata maini yote nje! Maini nje maini ndanii!!

Kanjanja linabukua hadi linakuwa dokta, usiombe ukumbane nae! Maini huna!!

Au kutokana na ujinga wake na akili ndogo isiyoweza kuhoji, anakudunga machanjo ya corona unapata NEUROPATHY au PERIPHERAL NEURAL DAMAGE unakufilia mbalii.
 
Hatar sana, Sio tu madaktar hata mavyouni malecture hoihai. Nao Wana English ya kumeza tu. English itabak kua changamoto Kwa taifa. Na ukiangalia wenzetu Kenya wako vzr pamoja na kua ni nchi mdogo kupita ss economy Yao Iko juu. Lugha ndo kichocheo!
 
Si wangetumia English kuwa ndio lugha kuwaunganisha wa tz 🇹🇿 wote
Kwanini ? Hivi kwa Mtanzania kujua English au Swahili kipi ni rahisi (kutokana na mother tongue kwa mtoto ni rahisi kujua kingereza) hilo ni moja; Mbili hivi unajua lugha mpaka kufika hapa ni asset kubwa sana, ikikosa waongeaji si itakuwa dead language kama kilatini ?

By the way the Pan Africanist of the Past kina Kwame walitaka Kiswahili kizungumzwe Afrika nzima sio Tanzania tu...;
 
Hatar sana, Sio tu madaktar hata mavyouni malecture hoihai. Nao Wana English ya kumeza tu. English itabak kua changamoto Kwa taifa. Na ukiangalia wenzetu Kenya wako vzr pamoja na kua ni nchi mdogo kupita ss economy Yao Iko juu. Lugha ndo kichocheo!
Vipi wachina na wajapan, wafaransa na wajerumani umahili wao kwenye English ?
 
😅😅😅🤣🤣
Nilimisi Kucheka
 
Kiswahili hakijitoshelezi katika nahau na maneno ya medical terms.

Ni serikali isisitize kupata waalimu wa kiingereza wazuri kuanzia primary hadi A Level.

Serikali isione haya kuagiza waalimu wa kufundisha somo la kiingereza kwa unahiri ngazi ya primary, secondary school kutoka Malawi, Zambia, Zimbabwe, Uganda na Kenya.
5v
Baada ya miaka 10 - 15 tutakuwa na waalimu wetu mahiri wa kufundisha somo la kiingereza na pia watu mtaani, ofisini, sokoni, mnadani n.k watakuwa inapobidi wanazungumza kiingereza cha ufasaha kwa wingi hadi vijijini
 
Vipi wachina na wajapan, wafaransa na wajerumani umahili wao kwenye English ?

Vipi wachina na wajapan, wafaransa na wajerumani umahili wao kwenye English ?
Ukifatilia vzr hawa walikuza economy zao kupita industrial revolution, capitalism na wengine wakati wa slavery! Sasa hvi dunia imebadilika. Kuna decentralization!
 
Facts kabsa hiz mkuu, tatzo linakuja kwenye utekelezaj🤣
 
Facts kabsa hiz mkuu, tatzo linakuja kwenye utekelezaj🤣

Tena hili halihitaji fedha za kigeni, waalimu toka nchi jirani mahiri wa kingereza waliofanyiwa usaili interview na waTanzania wabobezi wa lugha ya kiingereza watakuja wengi kulipwa hela za madafu.
 
Ukifatilia vzr hawa walikuza economy zao kupita industrial revolution, capitalism na wengine wakati wa slavery! Sasa hvi dunia imebadilika. Kuna decentralization!
Dunia sasa hivi imebadilika ukitaka kuongea na wachina unachat nao wao wanaongea wanachojua wewe unaweza kuweka english yako ya kuunga unga lakini chat ina-translate mnaelewana

Kwanza nikwambia jambo moja Waingereza wamepitwa sana sasa hivi wao wanajiona lugha nyingine hazifai kila mtu atajifunza English wenzao France, Germany na hata wachina wanajifunza zote.... Lugha ni Skill kwahio wewe ukijua zaidi ni kwamba umeongeza ujuzi (ni jambo jema) lakini wewe kama ni mkulima utapimwa kwanza kwa ukulima wako (kujua kongea na kuuzia wateja hio ni ziada) core skill yako ni kulima.... Thus I had rather have competent Doctors who cant utter a word of English than otherwise...
 
Ukweli hausemwi, ukweli unazungukwa, lugha mtu anajifunza vizuri akiwa mdogo, Masomo yote ya primary yalitakiwa yafundishwe kwa kiingereza, ndio suluhisho pekee, vitoto vya English medium vinajitahidi sana bila kujali ufaulu wao.

Shule za Kata mtu ana division one Ila hawezi kuongea sentensi yoyote ya kiingereza, madaktari terminology za madawa na magonjwa wanazijua, ila mawasiliano sasa zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…