Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Kwa hiyo mkuu, mkulima wa parachichi huko mbeya Kwa kina chichi , akiwa na anafanya mawasiliano na wateja wa nje kama South Africa, inabidi atumie translate app unafikiri ni rahisi hivyo, na ndio maana makulima wa Bongo kila mwaka ni vilio Tu πŸ˜‚, wanapigwa na madalali
 
Hayo ni mawazo yako tu,ila nikwambie tu umekuja kwangu kama mgeni wangu utaishi kama mimi na kufuata utaratibu wangu na sio mimi nijifunze utaratibu wako
 
Na walitakiwa waongee nao kila mgonjwa anapojieleza wao watafsiri. Shughuli ilikuwa ngumu. Cha ajabu mgonjwa akijieleza, wao taarifa wanaiandika katika Kiingereza!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ma daktari wetu wameshinda hata kuchukua number za sim za watoto wa Sudan, daa Noma sana 🀣
Sema baadhi wewe wako wengi tu kingereza hadi kifaransa kinapanda wamesona kuanzia chekechea English and French medium .Wako kibao .

Hata mleta mada kwa kichwa tu cha habari alichoweka unaona wazi kabisa kuwa akili hana alitakiwa kuandika baadhi ya madaktari

Lakini kwa kichwa cha mada alichoweka na yeye kichwani nusu kaputi.Hahitajiki nabii kuthibitisha hilo.Kichwani na yeye hazimo kabisa
 
Mkuu umeongea ukweli,
Unakumbuka Hata kigangwala , aligombona na km wake , anataka watoto wake walipewe ada ya international school πŸ˜‚
 
Mkuu kunywa maji Kwanza..
Kama ingekuwa hivyo unavyosema basi wangebaki , na Sio kurudishwa muhimbili
 
Madaktari wanatumia "jargon" zao kama wanasheria ,kusema kwamba hawajui sidhani ila hawakutaka tu kuwapa ushirikiano.


Kingereza ni kipana sana yupo mtu anayejua kingereza ila ukimpa asome hukumu kuna maneno lazima atafute dictionary.

Kiufupi hawakutaka ushirikiano na hao ,sudan kweny kingereza weupe huwezi kufananisha hata na Uganda .

Kwa kumbukumbu enzi za o level kwamba watu wa sayansi ndio kioo cha shule ,kweny ufaulu hata wakija wageni wa kizungu wanaongea nao .

Point yangu πŸ‘‰ Hawakutaka ushirikiano nao kabisa ,yaani walijuweka mbali kabisa ,wabongo ni cheap labors kweny makampuni ya wageni ila wanatoa ushirikina kwa ma'supervisors wao wanaongea kingereza.
Madaktari
 
Yeah na hili ndo nimeliona huenda kulikuwa na tatizo mahali..
Ndugu mwanasheria πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Lugha inawekwa kama njia ya kufundishia na sio njia ya maongezi.

Changamoto ni kuwa lugha ya kuzungumza ni tofauti na Ile claiming ya Biology kama somo
 
Assistant Medical Officers..
Madaktari wasaidizi..
WNa level ya Advance Diploma in Clinical medicine..
Wanasoma Diploma miaka 3 plus 2 ya kufanya kazi plus 2 ya Advance diploma..
Mkuu wa idara anajifanya bubu
Mkuu Bora hata MD rika la wastani 45,
Ila above hawa ila 45> ni kichekesho Sana,
Sijui walifoji vyeti
Sijui ni madeni ya mikopo inawachanganya akili
 
Point yangu πŸ‘‰ Hawakutaka ushirikiano nao kabisa ,yaani walijuweka mbali kabisa.
πŸ‘†.
Unakabidhiwa mtoto wa Ki Sudan, unaamuna kujiweka mbali huu si mzaha.
Daktari unaogopa Nini kutoka Kwa mwanafunzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…