Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Kumbe yule mtoto mweupe mzuri ndio alikuwa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilkuwa mm si unaona nilivyokuwa nawacheki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hyo ni kweli kwa huko nje I do believe ma Dr wengi hutunukiwa huko nje kwa kujali tu wagonjwa hasa kina Dada maana duh, mtu hajawahi treatiwa hivo sasa akikutana huko nje kifuatacho ITV....
Kabisaaa wala hujakoseaaaa
 
Unajua haya mambo huwa yanategemeana. Mwanaume hawezi kuwa malaya bila uwepo wenu wanawake.

Sasa hapa inabidi muwe mnakaza.

Kuna jambo nilitaka niongezee hapa,ila navuta subira kidogo.
Naimani umeashaongezeaaa
 
Ungewalaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…