Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Madaktari wa kiume ni mahandsome sana!!

Hahaha kwa sababu umesoma masomo magumu lazima msura wako mbayaaaaa
[emoji23] [emoji23] hapana mkuu hebu nione kidogo
me.jpg
 
Kuna hospital hapa jijini ina ma daktari handsome hatari na ma nurse warembo had ukiwaona maumivu yanapungua, mi nikienda kwa daktari napenda mda wa physical examination huku anakutekenya kishavu kwa mbali. Ma dr mahandsome hutupunguzia wagonjwa maumivu
 
Yaani ungejua nilivyokuwa nakufukuzia!!! Lakini ndo hivyo tena, umesha nidisqualify.
Hahahah kuna askari magereza wa isangaa ni matapeli uwiii sjui akili zao zimeathiriwa na vichaaa wa mirembe ukiwa naye kwenye mahusiano umekulaaa kwakoo
 
Kuna hospital hapa jijini ina ma daktari handsome hatari na ma nurse warembo had ukiwaona maumivu yanapungua, mi nikienda kwa daktari napenda mda wa physical examination huku anakutekenya kishavu kwa mbali. Ma dr mahandsome hutupunguzia wagonjwa maumivu
usiombe akufanyie ultra sound mhhhhhg achaaaaaa takupapasa unoo jaman jaman alafu handsomeee agrrrr
 
Hahahah kuna askari magereza wa isangaa ni matapeli uwiii sjui akili zao zimeathiriwa na vichaaa wa mirembe ukiwa naye kwenye mahusiano umekulaaa kwakoo
Ungejaribu mmoja, unaweza kukutana na mpingo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom