Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] hapana mkuu hebu nione kidogoHahaha kwa sababu umesoma masomo magumu lazima msura wako mbayaaaaa
Yaani ungejua nilivyokuwa nakufukuzia!!! Lakini ndo hivyo tena, umesha nidisqualify.Nakuona askar
hahahaaa! sio wote, wengine bado tunakula za darfur!Hahahaha nyie mnapenda mikopo
Si ulinambia kuwa wewe mwalimu wa primary hapo MakoleNan mwalimu sasa unayemuuliza hapaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbayaaa agrrrr[emoji23] [emoji23] hapana mkuu hebu nione kidogoView attachment 874251
HahaaaaaHahaha kwa sababu umesoma masomo magumu lazima msura wako mbayaaaaa
Hahahah kuna askari magereza wa isangaa ni matapeli uwiii sjui akili zao zimeathiriwa na vichaaa wa mirembe ukiwa naye kwenye mahusiano umekulaaa kwakooYaani ungejua nilivyokuwa nakufukuzia!!! Lakini ndo hivyo tena, umesha nidisqualify.
[emoji23] [emoji23] natatua suala lolote kuhusu afya daktari hapaHahahaha muongoo wewe Askari magereza
usiombe akufanyie ultra sound mhhhhhg achaaaaaa takupapasa unoo jaman jaman alafu handsomeee agrrrrKuna hospital hapa jijini ina ma daktari handsome hatari na ma nurse warembo had ukiwaona maumivu yanapungua, mi nikienda kwa daktari napenda mda wa physical examination huku anakutekenya kishavu kwa mbali. Ma dr mahandsome hutupunguzia wagonjwa maumivu
Ungejaribu mmoja, unaweza kukutana na mpingo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahah kuna askari magereza wa isangaa ni matapeli uwiii sjui akili zao zimeathiriwa na vichaaa wa mirembe ukiwa naye kwenye mahusiano umekulaaa kwakoo
Umeona eeeh hafu huwa wanaongea kwa kubembeleza sana aisee ukiona hvo na wewe mgonjwa unajifanya umezidiwa kumbe eeeehusiombe akufanyie ultra sound mhhhhhg achaaaaaa takupapasa unoo jaman jaman alafu handsomeee agrrrr