DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nilikua Bukoba na kundi la wageni. Tumeenda hospitali, mmoja alikua ana homa. Vipimo vikaonyesha hana shida. Cha ajabu daktari akamuandikia lundo la dawa. Yule mzungu alishangaa sana na kutukana matusi mengi ya kuonyesha kwamba watu weusi hatuna akili. Aliniuliza, hivi ndivyo mambo yanafanyika? Na, je Dar ni hivihivi? Sikuvunga nikamchana ukweli. Akasikitika sana.
 
Ndo maana nimesema kuwa mtoa mada alitakiwa ajue tatizo lake kabla hajaenda hospital.
Siku hizi ukiweka dalili zote unaletewa majibu, dawa etc
Yule dogo nilimkimbia sikuona sababu ya kwenda ningeweza kubaki home nigoogle mwenyewe
 
Umesaidia kuongeza ubovu kwenye field kwanini u-hide idendity? unaona kabisa mwezio ameyumba na hiyo digital inampoteza maboya wewe umekaa tuu ili uje umseme huku JF?

umezingua kabisa mkuu ...
Inawezekana ukawa sawa. Ila kama nilivyosema mwanzo, sikutaka kujitambulisha kama daktari ili kumpa uhuru yule daktari, asiwe under pressure au asi feel intimidated. Pili, baada ya kuwa disappointed, kama ningeongea pale kuhusu hilo ningeweza kuongea hovyo sana na hata kupoteza my calmness, so nikaamua ni-shut down tu, nisepe zangu.
 
I remember kuna Dr Mmoja Dr Fabian (mwana Mama) I think so wa MUCHS (UDSM College enzi zile ) tulikutana Abroad alikuja kikazi aliwahi tamka kubadili mfumo Kuyoka term system kwenda semester taifa litazalisha ma dakitari wauaji ni kweli kabisa. MD wa Tanzania ni killers kwa sehemu kubwa. Sijui kifanyike nini.
 
 
Sawa nmekuelewa mkuu
 
Ndugu yngu kafanya vipimo tukaambiwa ana tatizo la brucella, daktari anasema ili apone anatakiwa anywe doze ya TB akichanganya na dawa inaitwa Doxycycline [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] vindonge mamia kwa mamia.

Baadhi ya madaktari wa siku hizi ni changamoto
 
mi nadhani pia mtoa huzi kitaaluma zaidi pia ilibidi umsaidie huyo daktari kumueleza juu ya umuhimu wa physical examination haswa kwa wagonjwa wenye complain ya shida ya moyo na mapafu kwanza alafu ndio uje kuongea jf lakini pale umeshindwa kumsaidia unakuja kuongea hapa je tatizo ni nani sasa?
Taaluma hii ndio inaongoza kwa kuchukiana sana nina huzoefu wa mda mrefu kazini ila madaktari punguzeni chuki ninyi kwa ninyi alafu shirikianeni unapotengeneza negativity kwenye jamii impact yake ni kubwa so wewe ndio shida sana
 
@Mwifwa Carlos The Jackal hebu toeni ukweli hapa ni kweli Lecturers wengi huko mavyuoni wengi ni MD tu
 
hii ilinikuta aisee nilipimwa nikakutwa na malaria 4 kwenye dawa nikapewa zile za wajawazito kuzuia malaria badala ya kutibu malaria.... akaniambia baada ya week mbili nipate dose nyingineee..nikarudi home naona siku mbili sioni unafuu ...bahati nzuri nina mdogo wangu anasoma muhimbili pale akaja kunicheck eeenh kuona zile dawa akasema bro utakufaa twende faster hospital hizo dawa walizokupa siku hizi hazitumiki kabisa.... ndio ilikuwa pona yangu
 
Majanga matupu!
Tena nikwambie Bora CO anaweza kuwa vzr kuliko MD, as for me Kwa ss nitatibiwa na baba angu,shemeji yangu na mama angu , full stop!
Siamini Dr yyt kirahisi mpaka nione namna anatibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…