Kwanini walikuwa wanapewa boom walipokuwa Muhas il-hali kulikuwa na hostels? Mahitaji ya mtu mzima si accomodation na chakula tu. Madaktari interns wa kike hospitali zitakuwa zinawapa pedi na pesa za kusuka nywele?What's wrong with that...so long as an accommodation and meal are of standard order I second the government move!
mkuu hatuna sheria za kulinda haya, leo hii tuna sacrifice anakuja mwengine kesho anaanza mengine upya.Wengine wanasema eti 'entertainment ' ....!
Watanzania tuanze kuamini katika kujitegemea...kujitegemea hakuwezi kuja kirahisi. Lazima tubane matumizi...na ukiona unaumia kwa kubana matumizi ujue wewe ni mtu muhimu katika nchi hii maana unaitengeneza Tanzania ya kwako, ya watoto wako na vizazi vijavyo ambayo itakuwa inajitegemea kiuchumi na kijamii. Hatutahitaji tena misaada yenye masharti ya kutudhalilisha na kututaka tufanye ushetani.
Watanzania tumuunge mkono rais kwa kila hatua anayoifanya kuelekea kutengeneza Tanzania imara, inayojitegemea kiuchumi na kijamii. Tunaweza tusikatishwe tamaa.
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.
Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
Sikujua km kujitegemea ni kuwaumiza watu wa hali ya chini kwa kuwanyima mahitaj yao ya msingi huku wengine wakiendelea kuogelea kweny ukwasi. Wakuu wa wilaya wamekuw retained licha ya kuonekan ni vyeo visivyo na umuhim mkubwa kwa maendeleo ya nchi. Wanatembelea ma vx v8 kwa kodi hiyo hiyo tunayosema tunataka kubana matumizi. Unataka kumnyang'anya intern anayefanya kazi kama punda kile kidogo anachokipata kwa kisingizio cha kubana matumizi ili kumtengenezea msongo wa mawazo anyway nyinyi na familia zenu mkiugua hamtibiwi hospital za umma ndio maana unaongea ukitawaliwa na wivu.Wengine wanasema eti 'entertainment ' ....!
Watanzania tuanze kuamini katika kujitegemea...kujitegemea hakuwezi kuja kirahisi. Lazima tubane matumizi...na ukiona unaumia kwa kubana matumizi ujue wewe ni mtu muhimu katika nchi hii maana unaitengeneza Tanzania ya kwako, ya watoto wako na vizazi vijavyo ambayo itakuwa inajitegemea kiuchumi na kijamii. Hatutahitaji tena misaada yenye masharti ya kutudhalilisha na kututaka tufanye ushetani.
Watanzania tumuunge mkono rais kwa kila hatua anayoifanya kuelekea kutengeneza Tanzania imara, inayojitegemea kiuchumi na kijamii. Tunaweza tusikatishwe tamaa.
mkuu hivi unamlipaje mbunge posho na kumwacha intern dr ambaye kimsingi anatoa tiba?Haya mambo eti ya kubana matumizi yatatufikisha pabaya. Mwenyezimungu apishe mbali
WACHA ZIENDELEE KUWA TETESI TUKuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.
Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
Wewe ni tajiri ila sisi wengine hadi TASAF IJEtutaenda hata private... hakuna shida!
Mmmmh Kazi ipo mwaka huu 😎😎Tangu mwaka jana walikuwa wanajadili hilo. Nahisi kwa sababu ya uchaguzi wakaona wasubiri kwanza.
Acha kufkiria kwa makalio wewe tumia kichwa, tunaongelea intern hapa hatujaongelea field, kwani ulisikia daktari analipwa mshahara akiwa field.? kwanza kumbuka intern doctor sio mwanafunzi ni mhitimu wa chuo mwenye cheti chake kabisaKwani walimu wanafunzi wakiwa field huwa wanalipwa 80% ya mshahara? If no why to doctors? Ifike mahala pasitokee watu kujifanya wao ni peculiar kuliko wengine.
Posho zote Magufuli afute hata za Maaskari kuondoa matabaka na minong'ono kwa watumishi wengine wa umma,
Kwani walimu wanafunzi wakiwa field huwa wanalipwa 80% ya mshahara? If no why to doctors? Ifike mahala pasitokee watu kujifanya wao ni peculiar kuliko wengine.
Posho zote Magufuli afute hata za Maaskari kuondoa matabaka na minong'ono kwa watumishi wengine wa umma,
Kwani nani aliyekukataza kusoma udaktari? Kwa taarifa yako ukienda hospitali kubwa kama Muhimbili au Bugando daktari wako ni intern ambapo kama wewe hujui chochote kuhusu medicine huwezi jua kama ni intern doctor. Kinacho kusumbua wewe ni wivu tu. Ushindwe na ulegeeKwani walimu wanafunzi wakiwa field huwa wanalipwa 80% ya mshahara? If no why to doctors? Ifike mahala pasitokee watu kujifanya wao ni peculiar kuliko wengine.
Posho zote Magufuli afute hata za Maaskari kuondoa matabaka na minong'ono kwa watumishi wengine wa umma,
Acha ujinga wewe ndorobo.hivi huyu intern doc anayefanyia mafunzo mbeya wakati yeye ni wa kigoma akimaliza mafunzo arudije kwao???akiugua na si madawa yote yanapatikana hosp za serikali nani atanunua hzo dawa,na pesa ya vocha ya kuwasiliana na seniors wake pindi ahitajipo msaada wa kiutendaji nani ampe acha kutumia kiuno kufikiria kakaWhat's wrong with that...so long as an accommodation and meal are of standard order I second the government move!
Amen.MUNGU AFANYE WEPESI TUEPUKANE NA UTAWALA HUU INSHAALLAH.
Field za walimu ni tofauti internship, hiyo field ni sehemu ya masomo ya chuo na hata wanafunzi wa udaktari wanazo, internship ni nje ya madomo ya chuo na wanakuwa governed na wizara sio chuo tena.Kwani walimu wanafunzi wakiwa field huwa wanalipwa 80% ya mshahara? If no why to doctors? Ifike mahala pasitokee watu kujifanya wao ni peculiar kuliko wengine.
Posho zote Magufuli afute hata za Maaskari kuondoa matabaka na minong'ono kwa watumishi wengine wa umma,