Nilichogundua ulikuwa unatamani sana kuvaa koti jeupe lakin ndo hivo tena qualifications zilikutema hata hizo D mbili ulikosaNimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.
Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.
Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.
Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.
Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.
Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.
Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.
Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.
Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.
MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Una hasira zako binafsi wala usiwashambulie wataalamu wetuNimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.
Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.
Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.
Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.
Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.
Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.
Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.
Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.
Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.
MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Ngoja nikupe elimu kidogo kwanza daktar,nesi, hawahusiki kabisa na kuvumbua dawa za magonjwa sugu yanayotusumbu huwezi kuelewa sababu upo out of this field. Nipo hapa scientist ngoja nikueleweshe mpaka sasa bado tunaendelea na tafit mbali mbali tena ambazo zinatumia gharama kubwa mnoo usifikir vitu vinaenda kama nyanya kwenye tenga zinavyoenda sokoni watu wapo kazin hawalali kila siku tafit zinaendelea na ni hapa hapa tz na wataalam wetu wa hapa hapa ndo wanaendelea na Tafit hizo na kuandaa maandiko ya kisayansi ipo siku na sisi tutakuwa tu kama nchi za wenzetu kingine elewa kwamba wenzetu wametuacha kwa miaka mingi sanaa wapo mbele yetu sana sisi hapa tz unaweza ukawa upo tayari kufanya tafit fulani kuhusu gonjwa fulani eneo fulani ili uweze kuleta matokea chanya kwenye kutafuta fund sasa ili uweze kuendesha tafit yako asee uta struggle sana na huwezi fanikiwa! kwaiyo wewe tulia tutafika tu acha papalaNimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.
Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.
Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.
Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.
Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.
Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.
Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.
Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.
Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.
MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Nafurahi sana kukuelimisha BICHWA KOMWE -Hao oncologists kazi yao ni nini huko mahospitalini mbona kila ukienda wanakwambia kansa haina dawa??
Mimi nilifikiri kazi ya wataalamu ni kutoa suluhisho, kumbe kazi yao ni kukueleza kwamba jambo fulani halina suluhu! Eboo!!
Sasa kama ni hivyo, si waondoke hapo hospitali wakawe vibarua wa mashamba ya alizeti tupate mafuta mengi tuongeze uchumi wa taifa.
Sukari ilipoadimika akasema ndiyo vizuri tusiugue ili wapumzike.Janabi kaanzisha haya
Umeongea kiundani, lakini bado mtoa mada kama ana hoja ya msingi, kada ya afya kama kada nyingine tu bado tupo nyuma sana.Nafurahi sana kukuelimisha BICHWA KOMWE -
Sasa Nisikilize..
Katika Kada ya Afya au Katika Matibabu..
Kuna sector Kuu Tatu au kuna Kada kuu tatu..
Sasa Rafiki ni kwamba Kila sector inategemea nyingine japo zinafanya kazi kwa utofauti sana..
- Matibabu/Tiba
- Kinga
- Utafiti/Research/Study
Matibabu/Tiba inahusika na Kuzuia magonjwa kutosababisha madhara zaidi kwenye mwili wa Binadamu (Baada ya mtu akishapatwa nayo) na pia kuzuia kifo na hii mara nyingi ndo watu huiiona kwa sababu iko Mahospitali na Bituo vingi vya afya.
Kinga hii inafanya kazi kwa ukaribu sana na hiyo ya kwanza ambapo Mtu huweza kuzuia Magonjwa kabla hayajatokea kwa Kutoa Dawa kinga kama Prophylaxis na hasa Chanjo (Ambazo najua wengi wanazo)..
Utafiti/Research/Study Hapa tunadeal sana sana na kufanya Reseaech kuhusu Magonjwa yaani Hapa mambo ya Epidemiology na Biostatistics sana kujua magonjwa yanatokeaje magonjwa haya yanapata watu gani na kwanini yawepate na yanaambukizwaje na hawa ndo wenye jukumu la kuingia maabara na kuja na suluhisho la matibabu au kutoa suluhisho la Chanjo kwa ajili ya Ugonjwa..
Sasa, Hivi vitengo haviingiliani japo vinafanya kazi kwa pamoja huwezi kuta Mtu wa chanjo anamwambia Mtu wa matibabu kwanini unatibu wakati mimi natoa chanjo ya huo ugonjwa?
Au mtu wa matibabu anawambia mti wa chanjo kwanini unatoa Chanjo wakati mimi natibu huu ugonjwa??
Kwahyo kitengo cha kinga hakiwezi kumwingilia kitengo cha matibabu japo watu wanaofanya kazi kwenye Kinga wanaweza kufanya kazi kwenye matibabu pia..
Sasa kulingana na Kazi yao hawa hupokea Mrejesho wa kimatibabu na Kikinga kutoka kwenye utafiti na kuufanyia kazi..
Ikumbukwe kwamba wanaofanya utafiti pengine wana elimu sawa na wanaofanya Tiba au kinga ila ni kuachiana majukumu tu..
Japo haiko Limited kwa yoyote anayefanya kazi kwenye Utafiti/tiba/Kinga kutofanya kazi za hao wengine na wengine nao hivyo hivyo likewise..
Wanaofanya kwenye Tiba huwa ni HOSPITALI,VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI..
wanaofanya Kwenye Kinga ni Chanjo,Vituo vya afya Kitengo cha kinga n.k
Wanaofanya Utafiti ni NIMR,na IFAKARA pia wanafanya
Sasa Tunapokosea ni kuchukua Swali la NIMR au IFAKARA kumuuliza Daktari anayefanya kazi Kwenye Kinga au Tiba badala ya kuuliza Daktari anayefanya kazi kwenye Utafiti
Karibu kwa maswali zaidi BICHWA KOMWE -
F***a kweli ww, tukutane opd either utakuja mwenyewe au utaletwa tuNimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.
Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.
Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.
Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.
Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.
Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.
Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.
Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.
Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.
MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Ni kweli kabisa kuna Uzembe mwingi..Umeongea kiundani, lakini bado mtoa mada kama ana hoja ya msingi, kada ya afya kama kada nyingine tu bado tupo nyuma sana.
Baadhi ya vifo ni uzembe tu, huduma zipo hovyo kabisa, watu wanakatwa miguu lakini mguu huo huo ukienda nje unarudi safi kabisa au hatuna podiatrist.
Anyway yapo mambo mengi sana, nimeyaona kimsingi bado tuko nyuma, hasa decision zinazofanywa na watumishi wa afya.
Kumbe bichwa komwe ni mwanamke 🤯🤯🥺🥺😳😳Wizo una hoja naomba usikilizwe 😘😘
Umeeleza kisanii zaidi, haujatoa majibu.Nafurahi sana kukuelimisha BICHWA KOMWE -
Sasa Nisikilize..
Katika Kada ya Afya au Katika Matibabu..
Kuna sector Kuu Tatu au kuna Kada kuu tatu..
Sasa Rafiki ni kwamba Kila sector inategemea nyingine japo zinafanya kazi kwa utofauti sana..
- Matibabu/Tiba
- Kinga
- Utafiti/Research/Study
Matibabu/Tiba inahusika na Kuzuia magonjwa kutosababisha madhara zaidi kwenye mwili wa Binadamu (Baada ya mtu akishapatwa nayo) na pia kuzuia kifo na hii mara nyingi ndo watu huiiona kwa sababu iko Mahospitali na Bituo vingi vya afya.
Kinga hii inafanya kazi kwa ukaribu sana na hiyo ya kwanza ambapo Mtu huweza kuzuia Magonjwa kabla hayajatokea kwa Kutoa Dawa kinga kama Prophylaxis na hasa Chanjo (Ambazo najua wengi wanazo)..
Utafiti/Research/Study Hapa tunadeal sana sana na kufanya Reseaech kuhusu Magonjwa yaani Hapa mambo ya Epidemiology na Biostatistics sana kujua magonjwa yanatokeaje magonjwa haya yanapata watu gani na kwanini yawepate na yanaambukizwaje na hawa ndo wenye jukumu la kuingia maabara na kuja na suluhisho la matibabu au kutoa suluhisho la Chanjo kwa ajili ya Ugonjwa..
Sasa, Hivi vitengo haviingiliani japo vinafanya kazi kwa pamoja huwezi kuta Mtu wa chanjo anamwambia Mtu wa matibabu kwanini unatibu wakati mimi natoa chanjo ya huo ugonjwa?
Au mtu wa matibabu anawambia mti wa chanjo kwanini unatoa Chanjo wakati mimi natibu huu ugonjwa??
Kwahyo kitengo cha kinga hakiwezi kumwingilia kitengo cha matibabu japo watu wanaofanya kazi kwenye Kinga wanaweza kufanya kazi kwenye matibabu pia..
Sasa kulingana na Kazi yao hawa hupokea Mrejesho wa kimatibabu na Kikinga kutoka kwenye utafiti na kuufanyia kazi..
Ikumbukwe kwamba wanaofanya utafiti pengine wana elimu sawa na wanaofanya Tiba au kinga ila ni kuachiana majukumu tu..
Japo haiko Limited kwa yoyote anayefanya kazi kwenye Utafiti/tiba/Kinga kutofanya kazi za hao wengine na wengine nao hivyo hivyo likewise..
Wanaofanya kwenye Tiba huwa ni HOSPITALI,VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI..
wanaofanya Kwenye Kinga ni Chanjo,Vituo vya afya Kitengo cha kinga n.k
Wanaofanya Utafiti ni NIMR,na IFAKARA pia wanafanya
Sasa Tunapokosea ni kuchukua Swali la NIMR au IFAKARA kumuuliza Daktari anayefanya kazi Kwenye Kinga au Tiba badala ya kuuliza Daktari anayefanya kazi kwenye Utafiti
Karibu kwa maswali zaidi BICHWA KOMWE -
Vipi nafasi ya sekta ya tiba mbadala/traditional healing/herbal medicine?Tubaki na manesi wenye D MBILI hadi pale tutakapopata wataalamu wa KWELI KWELI.