BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
-
- #61
Acha porojo bwana, ungekuwa makini ungeelewa tafsiri niliyoitoa ya neno "DAKTARI".Ngoja nikupe elimu kidogo kwanza daktar,nesi, hawahusiki kabisa na kuvumbua dawa za magonjwa sugu yanayotusumbu huwezi kuelewa sababu upo out of this field.
Matusi ya nesi mbumbumbu mwenye D MBILI.F***a kweli ww, tukutane opd either utakuja mwenyewe au utaletwa tu
Ah wapi, mimi ni zaidi ya daktari, ndio maana nina ubavu wa kuwabagaza kwa marefu na mapana.Nilichogundua ulikuwa unatamani sana kuvaa koti jeupe lakin ndo hivo tena qualifications zilikutema hata hizo D mbili ulikosa
NO.Kuhusu Cancer hilo ni somo tofauti na linahitaji maarifa kulijadili
kwa kifupi tu; Cancer haisababishwi na wadudu ( Bacteria au Virusi).
Madactari watanisaidia ufafanuzi hapa
Mwanzo wa andiko langu nimetoa TAFSIRI ya neno DAKTARI.Mleta mada ameandika vizuri ila kwa kuchanganya mambo, kila kada ina kazi yake na kazi ya daktari sio hiyo uliyotaja. Daktari hahusiki kabisa kwenye uvumbuzi wa dawa wala vifaa tiba, wenzetu ni kweli Mungu kawapa uwezo zaidi yetu ila daktari sio kazi yake kugundua dawa kwa ajili ya ugonjwa fulani.
Labda ungetupia lawama kwa pharmaceutical scientists, lakini sio daktari.
Asante kwa kuniinua wizo 🥰🥰🥰🥰Wizo una hoja naomba usikilizwe 😘😘
Alafu wengi siku hizi wanatumia google search kutibu wagonjwa. Hata mambo madogo tu ambayo yanahitaji logic ya kawaida, ukimpiga maswali anashindwa kujibu.Nimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.
Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.
Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.
Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.
Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.
Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.
Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.
Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.
Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.
MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Full ukanjanja.Alafu wengi siku hizi wanatumia google search kutibu wagonjwa. Hata mambo madogo tu ambayo yanahitaji logic ya kawaida, ukimpiga maswali anashindwa kujibu.
Kimsingi, na ukweli wa mambo ni kwamba uponyaji unatoka kwa Mungu tu, haya mengine ni process tu.
Mkuu BICHWA KOMWE -Umeeleza kisanii zaidi, haujatoa majibu.
Lengo langu sio kutaka kujua AINA ZA VITENGO, lengo langu ni kutaka kujua kwanini kuna misukule nchini katika sekta ya afya!
Sasa unijibu swali, Kwanini kansa haina dawa?
Utakuwa ulikosa nafasi ya kusoma u-daktari! Pole sana kwa kweli!Nimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.
Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.
Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.
Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.
Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.
Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.
Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.
Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.
Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.
MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Likiugua hapo litajambajamba kwenda hospitali! Sijui litatibiwa na nani?Inaonyesha una dharau sana na taaluma za watu
Lakini inaonyesha taaluma hio unayoizungumzia huijui na wala haikuhusu ndio maana unaropoka ropoka tu
Misukule hutengenezwa kwa mifumo ya mwanga au mchawi ambaye ndio huendesha taratibu zote
Na kama umeona madaktari ni misukule basi wametengenezwa na serikali
Mikakati ya serikali kuboresha mafunzo kwa watoa huduma za Afya Tanzania inaionaje?
Vifaa vyenye teknolojia ya hali ya juu katika kugundua magonjwa na matibabu vipo?
Usiongee upumbavu na kukashifu watoa afya wakati ndugu zako , wewe na familia yako mnawategemea hao hao ambao mnawaona misukule
Una taaluma gani mkuu... Tuanzie hapaUmesahau misukule mingine ni mifamasia hii mijamaa,inachajua ni kupanga dawa kwenye shelves na kugawa dawa tu,ukiiambia itengneze dawa hata ya kutibu mafua haiwezi,hovyo kabisa.
Daktari pekee angalau ni yule anayefanya upasuaji wengine wote ni misukule.
Unaweza ukawa na ukweli kidogo. Ila nadhani andiko lako limejaa chuki. Wasije wakawa wamekuumiza kimapenzi. Yaani madaktari wote waliopo bongo wanaookoa ndugu zetu wako hivyo? Wapi madaktari wazuri zaidi tukawachukue na kuwaweka Tanzania, ambako hata consultation fee ya daktari ya shilingi 8,000/= serikali inataka iiondoe kwa sababu wananchi hawawezi afford? Tanzania ni kati ya nchi za Africa ambazo mifumo yake ya afya ni mozuro sana. Usisikilize story za vijiweni.Nimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.