Madaktari wengi ni misukule walio hai

Mwanzo wa andiko langu nimetoa TAFSIRI ya neno DAKTARI.
Tafsiri ya daktari kwa ulivyoandika ni MISUKULE, ndivyo ulivyodefine hilo neno.

Mada nzito namna hii inahitaji details, sio kila mwanasayansi ni daktari ila madaktari wote ni wanasayansi. Nakubaliana na wewe kuwa kada nyingi nchini tumeshindwa kufanya kile tunachotakiwa, zaidi tumekariri ila ukitaka kujadili vitu kwa makini lazima uweke details, kazi ya daktari sio kudeal na drugs na chemical compositions...laumu kada nyingine.
 
Anhaaa dah misekule ?
Kwa yanayoendelea hapa sikatai sana ila kikubwa koti linavaliwa na wanakijiji wananiita dokta

Na kesho kutwa NMB italia triiiiiii , basi sina neno ila boss leo umetuamkia
 
Mtoa hoja alitaka kueleza jambo la ndani zaidi, ambalo watu wengi hatulioni.

Anae angalia mambo kwa nje, bila kuingia kwa ndani, ataona kuwa mtoa hoja, hana heshima, na shukurani.

Lakini yeye, amejaribu kuona mambo kwa ndani, na kuona makosa ya elimu yetu. Neno "makosa" hapa linamanisha kuwa, elimu haitakiwi kuwa hivi ilivyo.

Elimu yetu yote: sio tu, kwenye afya bali maeneo yote: ni elimu huduma. Inatuandaa kuwa "Watumiaji" badala ya "Waumbaji". Asili ya mtu, ni Muumbaji, na maana ya mtu, ni Muumbaji.

Makosa ya elimu yetu:

Mtu anasoma kwa ajili ya kuwa "Mtumiaji". Yaani mtu unasoma kwa ajili ya ujira, mshahara.

Angalia watu wetu wanaosoma: wale wanajiendeleza au kusomea zaidi, kwa maana ya obobevu katika taaluma fulani; au wale wanaojibidiisha kwenye kazi au ajira zao. Je, wanalenga nini? Ni nini wanatafuta katika hayo? Kusema ukweli, wanatafuta: Vyeo, na kupanda madaraja au mshahara.

Kwa hiyo, kilichomo ndani ya mtu ni kitu gani, yaani mtu anasoma kwa lengo gani? Elimu yetu inatufundisha kuwa kitu gani? Elimu yetu inatufundisha kuwa sisi au mimi ni nani?

Unakwenda kusomea ualimu au udakitari au uchungaji au upadiri, kwa sababu gani?

Tuna amini nini?

I think this is what the writer is trying to address.
 
Umeeleza vizuri.
 
Soma Post #47 Mkuu
 
H.A.P.A.N.A

Hichi ulichoandika ni elimu ya kukariri ambayo inatugharimu sana.

Hii ELIMU DANGANYIFU imechukua maisha ya watu wengi sana, kwa sababu usipochojua chanzo halisi cha tatizo KWA KWELI hautoweza kupata tiba milele.

Hakuna kitu chochote kibaya kinachoingia mwilini kinachoweza kukwepa WHITE BLOOD CELLS, Unless WBCs ziko severely compromised.

Tatizo sio cancerous cells, tatizo ni udhaifu au mashambulizi dhidi ya WBCs yanayosababishwa na SUMUU. Bassiiiiiiiiiiiiiii

This happens mostly when TOXINS and HEAVY METALS hijack and take hold of the THYMUS and BONE MARROW.

Hiyo ndiyo sayansi ya KWELI, na sio CANCEROUS CELLS.

A cancerous cell is simply a piece of cake for WBCs.

Somehow somewhere kuna SAYANSI DANGANYIFU ambayo wewe umekuwa dalali wake kwa kujua au kwa kutokujua.
 
Mh wewe umenipa kazi mpya juu yako
 
Kama ulisema Ulifirana na kaka yako wa damu basi sikushangai kuropoka Pumba...MD wa Bongo anaweza kupata kazi hata S.A bila kikwazo Chochoote Mtu anapomaliza MD pale Mhimbili basi Elimu yake haina walakini hata kidogo..kivipi useme ni ya kukariri wakati ndio kozi inayoongoza kwa Vutendo?Yani Mwanafunzi daktari na CO mwaka wa Pili sheria inamlazimu aende wodini kila siku asubuhi kabla ya Kuingia darasani..huko wodini wanaenda kucheza? HAPANA wanaenda kujifunza kwa vitendo

Wewe ni aidha umefeli au uneumwa ugonjwa usio na Tiba kutokana na Tabia zako za kufukuana mitaro hivyo unaona Madaktari wote ni Misukule
POLE SANA
 
Sasa nimejua Shida iko wapi?
Unachofikiri ni kwamba Cancer inatokana na Invasion from wadudu au ni foreign body fulani hivi au Parasite fulani hivi ndo maana Unasema kuhusu WBC and such..and such unaelezea Vitu na pathological Mission kama engalfing zinazofanywa na Macrophages from WBC..
πŸ˜€πŸ˜€

Sasa nimeelewa πŸ˜€πŸ˜€..

Naomba nikuambie kwa heshima Zote za Urafiki wangu Mimi na wewe Na Adabu Yote kabisa kwamba Mawazo yako kuhusu Cancer na maelezo yako yote Si kweli..

na hichi ndo nilikuwa nakitafuta Nikisikie kwanza una Jua nini kuhusu Cancer!
Na jibu lako limedhihirisha unahitaji elimu zaidi kuhusu Cancer..
Wengi sana wanaamini kama unavyoamini wewe kuwa cancer ni kama ugonjwa wa virusi hivi cancer ni pathological condition au disorder na sio Infection au infestation


Narudia Tena cancer sio Ugonjwa kama unavozungumzia Infection na Infestation...

Sasa nisikilize..
Cancer inatokana na cells Zenyewe ndani ya mwili ku Undergo Mabadiliko ya ghafla ya kiumbo na kikazi na kitabia (Cell mutation) ambayo mabadilioo hayo huwa kwa haraka sana kufikia Cells kushindwa kumudu Shughuli xa kawaida na kwa bahati mbaya Mabadiliko hayo ya cells hubadilika na kuathiri Cell za jirani (Metastasis) nazo pia hupata mabadiliko hayo kwa haraka sana..

Sasa mabadiliko hayo kadiri yanavyozidi kutokea husababisha Tissue Husika kutokufanya kazi vizuru hivyo organ pia na mfumo mzima wa sehemu athirika....

Na hiyo Ndiyo cancer..
Umezungumzia kuhusu Damu kupambana na magonjwa Damu pia Hupata Cancer na cells zake zikaynder go.mutation na Mwisho tukapata Leukemia..

Ukielewa Dhima nzima Cancer ni nini Huwezi kupata shida kujua kwanini hakuna Dawa ya moja kwa moja..

Asante
Nakukaribisha kwa maswali zaidi rafiki angu
 
Uhuru wa miguu na mikono
Akili imefingwa mnyororo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…